International Forum

News and Stories from rest of the World
China imeendelea kupongezwa kutokana na utawala bora ambao umechangia pakubwa maendeleo ya kiuchumi nchini humo. Taarifa hii inakuja wakati ambapo China inatarajiwa kuwa yenye uchumi mkubzwa zaidi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Maandamano yameibuka Nchini Chad ambapo Waandamanaji wanataka Utawala wa Kiraia kurejeshwa baada ya Jeshi kuchukua madaraka kufuatia kifo cha Rais Idriss Deby. Imeripotiwa watu wawili wamepoteza...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Vikosi vya usalama Burkina Faso vinakabiliana na wanamgambo Wanahabari wawili wa Uhispania waliotekwa nyara karibu na eneo la hifadhi ya asili mashariki mwa Burkina Faso wameuawa, Waziri Mkuu...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Mvuto wa Mlima Taishan Mount Taishan Attracting Visitors Mohamed Mwinyi Mohamed BAKITA TANZANIA Mlima Taishan wenye historia ya miaka mingi ni mojawapo la machimbuko ya utamaduni wa kale wa...
1 Reactions
0 Replies
795 Views
Ndani ya saa 24 zilizopita, India imerekodi visa vipya 323,144. Ni siku ya sita kwa Taifa hilo kuripoti maambukizi mapya zaidi ya 300,000 na visa vimefikia Milioni 17.64 Hospitali zimekuwa...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
DRC wachelewa kampeni za chanjo za Covid. Shirika la Kimataifa linaloshughulikia masuala ya watoto-Unicef zimechukua zaidi ya dozi milioni mbili za chanjo ambazo zililengwa kwa ajili ya Jamuhuri...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Rais Mohamed Abdullahi Farmajo ametoa rai ya kufanyika Uchaguzi baada ya kitendo cha Wabunge kumuongezea miaka miwili madarakani kusababisha sintofahamu Nchini humo. Kumekuwa na shinikizo la...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Royals Don't Vote It might seem strange, but the royal family and politics do not go hand in hand. The royals do not vote because they are not supposed to express political opinions, and they are...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanaharakati wanaopinga utawala wa kijeshi nchini Myanmar wamewataka watu kuacha kulipa bili za umeme na mikopo ya kilimo, na kutowapeleka watoto shuleni, wakipinga ahadi ya kiongozi wa kijeshi ya...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Marekani itagawana dozi za Chanjo ya AstraZeneca zipatazo Milioni 60 na Mataifa mengine. Licha ya kuwa Mamlaka hazijatoa idhini ya AstraZeneca kutumika kwa Umma, Marekani imekuwa na akiba ya...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Wanajeshi 33 wa kambi ya jeshi Mainok katika jimbo la Borno wameuawa na wanaodhaniwa kuwa wapiganaji wa dola ya kiislam (IS). Wanamgambo walifika kambini hapo kwa kuvaa nguo za jeshi na kutumia...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Matokeo ya vita baridi ya Soviet na Americans ni mgogoro wa Kashmir ulivyozigawanya India na Pakistan. MGOGORO WA KASHIMIR ULIVYO ZIGAWANYA INDIA NA PAKISTAN, UHASAMA BAINA YAO ULIZIFANYA...
12 Reactions
21 Replies
8K Views
Gazeti la Financial Times la Uingereza limetoa makala likilitilia mashaka Pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia Moja” BRI na kusema uwekezaji wa China katika sekta ya miundombinu barani Afrika...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Idara ya Chakula na Dawa nchini Marekani (FDA), imeidhinisha dawa aina ya "Cabenuva" iliyoundwa dhidi ya virusi vya Ukosefu wa kinga ya mwili (VVU) kutumika mara moja kwa mwezi. Maafisa wa...
22 Reactions
124 Replies
15K Views
Idadi ya maambukizi na vifo vinavyotokana na #COVID19 nchini #India imeongezeka kwa kasi. Marekani na Uingereza na Ulaya zimetuma pisi 600 za vifaa ili kuisaidia Vifaa vilivyotumwa ni pamoja na...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Profesa Patrick Lumumba Profesa Lumumba alikuwa ametua mjini Lusaka pale idara ya uhamiaji ilipomkatalia kuingia nchini humo na kumrudisha kwenye ndege ya kurudi Nairobi. Sababu zilizotolewa za...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Binafsi sioni kama Israel ni taifa kioo kwa Mataifa Mengine. Sawa Israel imebarikiwa kulingana na Biblia Takatifu, lakini Je, inapaswa kuendelea kuitwa taifa teule na kuendelea kuhubiriwa...
12 Reactions
48 Replies
4K Views
Ufanisi wa utawala wa chama cha kikomunisti nchini China umesifiwa sana kutokana na ufanisi wake katika kutokomeza ufisadi nchini humo. Sera dhabiti za uongozi zilizopo zimeweza kuwakabili...
0 Reactions
1 Replies
583 Views
Ugunduzi wa kundi kubwa la watu ambao miili yao inaweza kupambana na kudhibiti Virusi vya UKIMWI nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo unaleta matumaini ya kupata tiba ya virusi hivyo. Utafiti...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Napendekeza formula Mpya itakayoweza kumaliza kabisa mzozo wa waisrael na wapalestina. Formula hii inazingatia : 1. Msingi wa tatizo 2. Ukweli wa kihistoria 3. Kanuni za urithi Ninaamini...
12 Reactions
113 Replies
13K Views
Back
Top Bottom