International Forum

News and Stories from rest of the World
Ripoti mpya iliyotolewa na shirika la waandishi wa habari wasio na mipaka RSF, inasema kwamba uhuru wa vyombo vya habari duniani kote umezuiliwa wakati wa janga la virusi vya corona Janga la...
0 Reactions
2 Replies
883 Views
Dollar inflows from African countries into Kenya dropped 65.9 per cent in the first three months this year, with Tanzania overtaking South Africa as the biggest source of remittances. New data...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Rais Yoweri Kaguta Museveni ametangaza muda mfupi uliopita kwamba kutokana na kufuatwa na mtu fulani aliyedai ameoneshwa na Mungu maono kwamba amwambie Museveni aandae siku ya maombi ya Kitaifa...
5 Reactions
46 Replies
6K Views
Mtu mmoja ameshtakiwa nchini Uhispania kwa tuhuma za kumuua mamake, kisha kuukata vipande mwili wake na kuula. Alberto Sanchez Gomez alikamatwa mwaka 2019 baada ya maafisa wa polisi kwenda katika...
0 Reactions
1 Replies
685 Views
Jeshi la Chad limetangaza kuwa Rais wa nchi hiyo Idriss Deby amefariki baada ya kupata majeraha kwenye mapambano dhidi ya waasi. Deby alienda mwishoni mwa wiki kuvitembelea vikosi vya nchi hiyo...
10 Reactions
227 Replies
24K Views
Ireland has joined European Commission plans for possible legal action against AstraZeneca over its "complete failure" to meet delivery and contractual agreements, its health minister has said...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Mji mkuu- naypyidaw Mji mkubwa- yangon Lugha- kiburma Serikali - rais thein sein Imepakana na china, bgladeshi, laos, uthai,na uhindi Toka karne ya 9bk nchi ilitawaliwa kifalme kutoka mji mkuu wa...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Waasi nchini Chad wametishia kumng'oa madarakani mtoto wa Rais aliyeuawa baada ya kuteuliwa kuwa kiongozi wa mpito nchini humo. Kundi la waasi ambalo jeshi limelilaumu kwa mauaji ya Rais Idriss...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Umoja wa Mataifa unasema mamilioni ya watu nchini Myanmar wanakabiliwa na njaa katika wakati ambapo taifa hilo linapambana na mkwamo wa kisiasa na kiuchumi kutokana na hatua ya jeshi kuchukuwa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Jeshi la Anga la Syria limetungua makombora ya utawala haramu wa Israel ambayo yalikuwa yamelenga eneo moja la Damascus. Uvamizi huo umetekelezwa usiku wa kuamkia leo Alhamisi baada ya wakuu wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
The United Arab Emirates, which has rolled out one of the world’s fastest coronavirus inoculation programs, is considering restrictions on people who haven’t yet taken a vaccine despite being...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kufuatia kifo cha Rais Idriss Deby kilichotangazwa leo Aprili 20, 2021 imeelezwa Jeshi litaongoza Nchi kwa kipindi cha miezi 18, na Baraza litaongozwa na Mtoto wa Rais, Mahamat Kaka, ambaye pia...
4 Reactions
34 Replies
5K Views
The space agencies of India and France signed an agreement on Thursday to assist in India's Gaganyaan mission. The Department of Space (DoS) has envisaged a national effort to achieve the vision...
0 Reactions
1 Replies
451 Views
Shirika la haki za binadamu la Amnesty International limesema mataifa manne ya ukanda wa mashariki ya kati, yakiongozwa na Iran, yalitekeleza adhabu ya kifo mnamo mwaka 2020 licha ya kupungua...
0 Reactions
0 Replies
925 Views
Rais wa Chad Idriss Deby ametangaza kutoa huduma ya maji bure kwa miezi sita. Pia serikali italipia gharama zote za umeme kwa miezi mitatu. Serikali inatarajia kuajiri watumishi 1638 wa afya. Na...
5 Reactions
27 Replies
3K Views
Mwaka 2015, China ilitangaza kuwa itaongeza maendeleo ya dijitali kuwa sehemu ya miradi ya Ukanda Mmoja na njia moja. Hii ni njia moja ya kutosheleza mahitaji yanayoongezeka ya mtandao wa kasi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Utafiti mpya uliofanywa na “Pendekezo la Utafiti kati ya China na Afrika” CARI la Chuo Kikuu cha Johns Hopkins cha Marekani umeonesha kuwa mwaka 2019, mikopo iliyotolewa na China kwa Afrika...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Mkuu wa Majeshi nchini Chad, Ahmat Koussou Moursal amefukuzwa kazi baada ya kuandika barua ya wazi kumkosoa Rais Idriss Deby. Katika barua yake, mkuu huyo alimlaumu Rais kuwasahau rafiki zake...
1 Reactions
25 Replies
5K Views
Israelis are no longer required to wear masks outdoors. The country is nearly fully open. #Coronavirus === With most of its population vaccinated against COVID-19, Israel on...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Runinga ya serikali ya Iran imemtaja mwanamume ambaye vitengo vya ujasusi vinadai alihusika katika shambulio la kinu cha nyuklia cha Natanz siku chache zilizopita. Reza Karimi alitoroka muda...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Back
Top Bottom