International Forum

News and Stories from rest of the World
Watu wanane wamekamatwa na polisi wa Kiislamu katika jimbo la kaskazini mwa Nigeria Kano kwa madai ya kukataa kufunga Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Polisi wa Hisbah wanasimamia sheria za Kiislam...
5 Reactions
45 Replies
5K Views
Hatimaye, baada ya maka 62, taifa la Cuba litaamka siku ya Jumatatu bila kuwa na Kiongozi wa Nchi anayeitwa Castro! Raúl Castro anatarajiwa kuachia madaraka kama Katibu Mkuu wa Chama, cheo...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Leader and founder of The Synagogue Church of All Nations Temitope Balogun Joshua, commonly referred to as T. B. Joshua would never stop at anything to see the deadly coronavirus completely...
4 Reactions
49 Replies
6K Views
Waziri wa Afya wa Austria, Rudolf Anschober ametangaza kuachia wadhifa huo kwasababu ya uchovu, akisema miezi 15 aliyokuwa ofisini imeonekana kama miaka 15. Anschober (60) aliyeteuliwa Januari...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Msemaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesisitiza kuwa, kadhia ya mateka Wapalestina ni suala la msingi na kwamba mkakati wa kuwakamata mateka askari wa Kiisrael ni njia...
0 Reactions
0 Replies
608 Views
Urusi imewataka wanadiplomasia 10 wa Marekani kuondoka nchini humo katika hatua ya kulipiza kisasi baada ya Marekani kuwafukuza wanadiplomasia 10 wa Urusi kwa madai ya udukuzi na kuingilia kati...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Marekani imewaamuru Wanadiplomasia wake ambao sio muhimu kuondoka Nchini Chad kutokana na hofu ya kutokea mashambulio katika Mji Mkuu wa N’Djamena. Kauli hiyo imetolewa wakati matokeo ya awali ya...
0 Reactions
0 Replies
927 Views
Rais wa zamani wa Peru, Martín Vizcarra amepigwa marufuku kushika wadhifa wa umma kwa muda wa miaka 10 kufuatia madai kuwa aliruka foleni kupokea Chanjo ya COVID19 Bunge iliidhinisha marufuku...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za ISIS na mauwaji nchini Msumbiji zimesambaa sana na zimeanza kujadiliwa mpaka Umoja wa Mataifa.Bila kujali ukubwa wa taarifa hizo na umbali zilikofika tujaribu kuwa watulivu ili...
6 Reactions
140 Replies
11K Views
Baada ya vita vya pili vya dunia 1945, Dunia ilishuhudia uwepo wa mataifa mawili yenye nguvu kijeshi na kiuchumi. Ambayo ni USA na Russia iliyokuwa na nguvu chini ya rais Joseph Stalin. Mataifa...
4 Reactions
6 Replies
2K Views
Takriban watu 41 wamefariki dunia Nchini Tunisia baada ya boti kuzama wakati wakijaribu kuvuka bahari ili kufika Kisiwa cha Italia cha Lampedusa Kwa mujibu wa Mamlaka, miili ya watu 41 akiwemo...
0 Reactions
4 Replies
909 Views
cc. Tony254 Gezaulole Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
2 Reactions
170 Replies
16K Views
Who Should be Charged for Treason of Our Frontline Who Took the Poisonous Vaccine? When we said Covid-19 is part of a scam of money making machinery what did we get? (Insults) Who benefitted...
0 Reactions
0 Replies
405 Views
Habari wana Jamvi, Jumla ya Viungo Vya Uume (Penis) 7,221 vyenye asili ya Africa vimekamatwa na Wafanyakazi Wa Usalama Wa Bandari China katika meli ya mizigo iliotokea Lagos (Nigeria). Na kuweka...
2 Reactions
104 Replies
11K Views
Polisi wa Chicago wametoa picha za afisa aliyempiga risasi mtoto wa miaka 13 kwenye uchochoro wa giza. Video hiyo inaonesha polisi huyo akipiga kelele “dondosha” kabla ya kumpiga risasi Adam...
0 Reactions
0 Replies
753 Views
Imeripotiwa kuwa Serikali ya Marekani inatarajia kuweka vikwazo dhidi ya Urusi, hatua ambayo imetajwa kuwa majibu dhidi ya mashambulio ya kimtandao yaliyolenga Marekani ikiwemo madai ya kuingilia...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Wazayuni wana wasiwasi wa Iran kulipiza kisasi cha hujuma dhidi ya kituo cha nyuklia cha Natanz Apr 15, 2021 13:38 UTC [https://media] Waziri mkuu wa zamani wa utawala haramu wa Kizayuni wa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Iran yaufanyia majaribio mfumo wa makombora wa Bavar 373 kwa mafanikio makubwa Naibu Waziri wa Ulinzi wa Iran, Ghasem Taghizadeh amesema kuwa jeshi la Iran limeufanyia majaribio mfumo wa ulinzi wa...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Hivi karibuni, miji mingi nchini China ikiwemo Beijing, Shanghai na Guangzhou imezindua kazi ya kuwapatia kwa hiari raia wa kigeni chanjo dhidi ya ugonjwa wa COVID-19, ikiwa ni juhudi za kuwapa...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Virusi vya Corona : Mkuu wa CDC aonya ‘hali itakuwa mbaya zaidi’ nchini Marekani Dr Rochelle Walensky amesema sasa 'amehofishwa' na ongezeko la visa vya Corona nchini Marekani Mwanasayansi...
2 Reactions
63 Replies
6K Views
Back
Top Bottom