International Forum

News and Stories from rest of the World
Mashambulizi ya Anga yametokea tena katika eneo la mpakani kati ya Syria na Iraq, Mashambulizi hayo ya usiku wa kuamkia Jumanne yasemekana yameharibu maghara ya Silaha na inasemekana Wanajeshi...
6 Reactions
96 Replies
9K Views
Uungwana ni kitendo au vitendo, kumuona rais wa nchi akijishusha ni nadra sana hapa duniani. Joe Bidden apiga goti kwa mtoto wa George Floyd aliyeuawa mwaka jana Rais wa Marekani, Joe Biden...
9 Reactions
64 Replies
6K Views
Bwawa la Grand Renaissance Dam ambalo limekuwa likijengwa nchini Ethiopia kwa zaidi ya miaka 10 sasa linatajwa kuwa ndio litakuwa kubwa kabisa Afrika kwa sasa. Bwawa hili limefikia hatua ya...
5 Reactions
67 Replies
7K Views
Mkuu wa shughuli za kibinadamu katika Umoja wa Mataifa Mark Lowcock amesema ukatili wa kijinsia na ubakaji unatumiwa kama silaha za vita katika jimbo la kaskazini mwa Ethiopia la Tigray, ambapo...
0 Reactions
0 Replies
753 Views
Pamoja na kwamba maambukizi ya maradhi ya corona nchini Brazil kutajwa kuwa makubwa na kwamba siku ya Ijumaa pekee watu zaidi ya 4000 walikufa kutokana na athari za maradhi hayo. Pamoja na hivyo...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Ili kurejesha Serikali ya Kidemokrasia kufuatia Mapinduzi ya Kijeshi ya mwaka jana, Mali itafanya Uchaguzi wa Wabunge na Urais Februari 2022. Shinikizo na vikwazo kutoka kwa Viongozi wa Afrika...
1 Reactions
0 Replies
712 Views
Former President John Agyekum Kufour has disclosed that he had a fear of being overthrown through coup d’état when he ascended the Presidency, a reason why he appointed his brother, Addo Kufour as...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Zimbabwean troops are girding for war after President Emmerson Mnangagwa and other regional leaders agreed an "immediate technical deployment" to help Mozambique fight Islamic insurgents who have...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Watoto 20 wamefariki dunia katika ajali ya moto iliyotokea Shule moja katika Mji Mkuu wa Niger, Niamey. Imeelezwa, moto ulianza wakati watoto wakiwa kwenye vipindi na wengi wao walikuwa madarasa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Marekani imeogopa kupeleka meli mbili za kivita black sea baada ya baada ya Russia kutoa onyo kua Marekani ikae mbali na Black Sea wakati huohuo Russia imepeleka meli 15 Black Sea na Joe Biden...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Nchi hiyo inawatuhumu baadhi ya washirika wake kwa nje kwa wake kudhoofisha Uhuru wake baada ya Serikali kutishiwa na vikwazo kufuatia uamuzi wa kuongeza mamlaka ya Rais kwa miaka miwili...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kiwanda cha nyuklia nchini Iran kilipigwa na "hujuma " siku moja baada ya kufichua kifaa kipya cha urutubishaji wa madini ya urani, amesema afisa wa ngazi ya juu wa masuala ya nyuklia nchini Iran...
1 Reactions
36 Replies
4K Views
India imerekodi visa 200,739 ndani ya saa 24 zilizopita huku Hospitali nyingi zenye wagonjwa wa Virusi vya Corona zikiripoti uhaba wa vitanda na Oxygen Taifa hilo linakabiliwa na wimbi jipya la...
0 Reactions
0 Replies
810 Views
Mkuu wa Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Haki za Binaadamu Michelle Bachelet ameonya kuhusu uwezekano wa uhalifu dhidi ya ubinaadamu Myanmar na kusema nchi hiyo inaonekana kuelekea katika mzozo mkubwa...
1 Reactions
2 Replies
898 Views
Thirty years ago, Dubai was nothing but a desert but it has rapidly developed to become one of the main commercial hubs and tourist destinations in the the world But like every other nation...
1 Reactions
24 Replies
5K Views
Rais wa Somalia, Mohamed Abdullahi Mohamed amesaini Sheria Tata inayoongeza mamlaka yake kwa miaka miwili, huku hatua hiyo ikipingwa vikali na Wafadhili. Kwa mujibu wa Shirika la Habari la...
0 Reactions
0 Replies
862 Views
Viongozi wa upinzani nchini Somalia na majimbo ya mkoa wa Jubbaland na Puntland, pamoja na baraza la seneti la nchi hiyo, wamepinga uamuzi wa bunge la nchi hiyo kuongeza muda wa urais kwa miaka...
0 Reactions
2 Replies
932 Views
Mkuu wa polisi huko Minneapolis, amesema polisi aliyemuua kwa kumpiga risasi Mmarekani mweusi mjini humo hakunuia kumuua kwa kuwa alitoa bastola yake kwa bahati mbaya wakati mtu huyo alipokuwa...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Maandamano yameibuka katika Mji wa Minneapolis baada ya Polisi kumpiga risasi Daunte Wright (20) Raia mwenye asili ya Mmarekani Mweusi kwenye gari lake eneo la Brooklyn Center Mamia ya watu...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Nimefanya utafiti wa takwimu za rangi na matabaka ya kijamii na ambavyo wanaathirika na mfumo wa utoaji haki na kuzuia uhalifu nchini Marekani 1. Wamarekani Weusi wako hatarini zaidi kuuawa na...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom