WASHINGTON—
US President Biden called on members of Congress on Wednesday (April 7) to approve his $2 trillion infrastructure plan. Biden said that China and other countries ran ahead of the...
Hellow,
Wakuu naomba kujuzwa kuhusu habari hii tajwa hapo juu ama kama kuna threads ilishawai kuzungumzia Palestina pamoja army power yake tafadhali.
Kuna mahala nilisikia kwamba Palestina...
Je, siri ya China kupunguza umaskini ni nini?
-------usawa wa kijinsia katika elimu ni muhimu kufanya umaskini ‘kutorithiwa’.
na Hassan Zhou
Ofisi ya habari ya Baraza la Serikali la China hivi...
Jina lake halisi ni (Sultan Haji Hassanal Bolkiah Mu'izzaddin Waddaulah ibni Al-Marhum Sultan Haji Omar Ali Saifuddien Sa'adul Khairi Waddien Sultan and Yang di-Pertuan) wa Brunei taifa lilopo...
Je, siri ya China kupunguza umaskini ni nini?
------Ni kwa jinsi gani ‘kijiji cha kwanza cha China katika kupambana na umaskini’ kilivyofanikiwa?
Na Hassan Zhou
Ofisi ya habari ya Baraza la...
On Tuesday, joint negotiations between the P5+1 group were kicked off in Vienna with a goal to determine a path to a possible full restoration of the Joint Comprehensive Plan of Action (JCPOA)...
Hakika hakuna kinachoshindikana chini ya mbingu. Mwanasheria nchini Kosovo amekuwa Rais wa kwanza wa kike na mwenye umri mdogo zaidi. Hongera kwake
The 120-seat parliament gave 71 votes to...
Mamlaka za nchini Saudi Arabia zimesema watu waliopata chanjo ya corona peke yake ndio wataruhusiwa kufanya ibada ya Hija mwaka huu huko Mecca.
Wizara ya Hija na Umrah imetoa taarifa kuwa watu...
Mzozo uliokosa suluhisho katika Jimbo linalotaka mamlaka ya ndani (Tigray) nchini Ethiopia ambao kiufupi uliwaka Moto Usiku wa tarehe 3-4 mwezi November mwaka 2020 wakati majeshi ya Tigray katika...
Inaelezwa kuwa walifungwa na nyaya za umeme, kushambuliwa na kuibiwa vito vyao vya thamanijiji Paris.
Bernard Tapie, mwenye miaka 78 aliyewahi kuwa waziri kwa muda mfupi anadaiwa kuwa ni mtu...
Barack Obama aliingia madarakani akibeba matumaini makubwa sana ya watu weusi wa Marekani na waafrika wengi kwa ujumla. Watu walifurahi sana na nyimbo nyingi zikaimbwa kusherehekea ujio wa nabii...
Waziri Mkuu wa Australia, Scott Morrison amesema Wanasiasa pamoja na Majaji Nchini humo hawatokuwa na kinga dhidi ya kanuni za unyanyasaji wa kijinsia katika maeneo ya kazi.
Kauli ya Waziri Mkuu...
Chama Tawala cha Korea Kusini, Democratic Party kimepata pigo kubwa baada ya kushindwa Uchaguzi wa Meya katika Miji miwili mikubwa zaidi Nchini humo, Seoul na Busan. Wagombea wa Upinzani...
Seven deaths in UK among AstraZeneca jab recipients after blood clots
SATURDAY APRIL 03 2021
This picture shows vials of the AstraZeneca Covid-19 vaccine in Paris on March 11, 2021.AFP PHOTO
By...
Rais wa Nigeria Muhammad Buhari alienda Uingereza kupata matibabu lakini Wanaharakati wakiongozwa na Reno Omokri ambae anaishi Marekani wakafunga Safari mpaka London wakajumuika na Wananchi...
There is a lot of talk katika mji wa Mirerani kuhusu uchimbaji na biashara ya madini ya Tanzanite sasa kudhibitiwa na Rwanda, na ukikaa kwenye sehemu za starehe utasikia kila kitu, hata usiyopenda...
Polisi wanalaumu shambulio hilo lilifanywa na kundi linalotaka kujitenga la wenyeji wa Biafra, ambalo lilipigwa marufuku
Mamlaka ya kitaifa ya magereza nchini Nigeria imethibitisha kwamba zaidi...
Nimesikia kesho mtakuwa na kikao cha wakuu wa nchi za jumuia ya SADC .wito wangu unganisheni nguvu za kijeshi kuwashambulia hao wanamgambo kaskazini mwa msumbiji.
Mkishindwa mseme niwasaidie!
Mashirika mawili ya Umoja wa Mataifa yamesema theluthi ya wakazi wa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wanakabiliwa na njaa kali na wametoa wito wa kuongezewa fedha za dharura ili kukabiliana na...
Korea Kusini imesema itasitisha kwa muda utoaji chanjo ya AstraZeneca kwa watu chini ya miaka 60, huku ikiidhinisha Chanjo ya Johnson & Johnson.
Sintofahamu kuhusu ubora na madhara ya baadhi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.