International Forum

News and Stories from rest of the World
This is amazing. The country is nearly fully open. Today there are 96% fewer cases compared to the peak in mid-January. This is thanks to the vaccination rollout in Israel.
0 Reactions
1 Replies
659 Views
Chama cha upinzani cha kisoshalisti nchini Algeria FFS kimetangaza kitasusia uchaguzi wa bunge wa mapema uliopangwa kufanyika mnamo Juni 12 kikisema mazingira ya kufanyika uchaguzi huo...
2 Reactions
4 Replies
843 Views
Kwa mujibu wa takwimu za Wizara ya Afya, India imerekodi maambukizi mapya 103,558. Idadi hiyo imetajwa kuwa kubwa zaidi kurekodiwa katika siku moja Visa vya Virusi vya Corona Nchini humo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Flores Mashariki mwa Indonesia ni miiongoni mwa maeneo yaliyoathiriwa zaidi na mafuriko hayo Watu wapatao 50 wamefariki kufuatia mafuriko na maporomoko ya udongo kukumba Indonesia na Timor Leste...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Polisi 22 wameuawa na wengine 30 wakijeruhiwa katika jimbo lenye utajiri wa dhahabu la Chhattisgarh, India baada ya kuvamiwa na wafuasi wa Chama cha Kikomunisti cha India (Maoist). Kulikuwa na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kesi ya ufisadi dhidi ya Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, inatarajiwa kuendelea ambapo Mahakama iliyopo Jerusalem itasikiliza ushahidi kwa mara ya kwanza. Netanyahu (71) anakabiliwa na...
0 Reactions
1 Replies
980 Views
Kundi la kutetea haki za binaadamu nchini Myanmar limesema idadi ya watu waliofariki kutokana na kamata kamata inayofanywa na jeshi imefikia 550 wakiwemo watoto 46 tangu kulikofanyika mapinduzi ya...
0 Reactions
3 Replies
833 Views
Wanafikra Wazayuni: Israel ni dhaifu na tete katika kukabiliana na vita vya pande zote Kituo cha tafiti za usalama wa ndani cha utawala haramu wa Kizayuni wa Israel kimesema, hatari kuu...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Serikali ya Ujerumani imesema kuwa inasitisha matumizi ya chanjo ya corona ya Oxford-AstraZeneca kwa watu wenye umri ulio chini ya miaka 60, kwasababu wanahofia watu kuganda damu baada ya kupata...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kampuni maarufu kwa viatu vya michezo ya Nike imeshinda keshi dhidi ya kampuni ya MSCHF juu ya ‘Viatu vya shetani’ vilivyosababisha utata ambavyo zinasemekana kuwa na tone la damu ya binadamu...
3 Reactions
47 Replies
6K Views
Salehi: Mkwamo katika mapatano ya JCPOA umeanza kuondoka Apr 03, 2021 07:28 UTC [https://media] Mkuu wa Taasisi ya Nishati ya Atomiki ya Iran amesema kuwa, mkwamo katika mapatano ya kimataifa...
1 Reactions
4 Replies
807 Views
Mahakama ya mji mkuu wa Moscow nchini Urusi, imeitoza Twitter faini ya fedha ruble milioni 3.2 kwa ukiukaji wa kiutawala. Kesi iliyowasilishwa na Idara ya Teknolojia ya Habari ya Serikali ya...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
There are sure things in life that ought to be done with some restraint as opposed to in overabundance since they can hurt our bodies whenever done in abundance. Drinking cocktails isn't unlawful...
0 Reactions
3 Replies
761 Views
Sanders: Dhulma isiyoelezeka Marekani, watu 50 wana utajiri kuliko wa nusu ya Wamarekani Mar 27, 2021 02:33 UTC Bernie Sanders, seneta wa chama cha tawala cha Democratic cha Marekani...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Waasi wameamua kumaliza kabisa sasa washaingia wilaya ya Palma ambapo ndo kitovu cha mafuta na Gas toka Juzi mpka sasa washachoma kila kitu cha serikali kambi ya jeshi ipo mikononi mwao kituo cha...
9 Reactions
41 Replies
5K Views
New Delhi [India], March 23 (ANI): India and Pakistan on Tuesday here began the annual meeting of the Permanent Indus Commission (PIC). The meeting is being held after a gap of more than...
0 Reactions
0 Replies
408 Views
Yemen yashambulia vituo 'nyeti' vya kijeshi vya Saudia jijini Riyadh Msemaji wa vikosi vya jeshi la Yemen ametangaza habari ya kushambuliwa vituo nyeti na hasasi vya Saudi Arabia katika mji mkuu...
0 Reactions
0 Replies
742 Views
Salehi: Mkwamo katika mapatano ya JCPOA umeanza kuondoka Mkuu wa Taasisi ya Nishati ya Atomiki ya Iran amesema kuwa, mkwamo katika mapatano ya kimataifa ya nyuklia ya JCPOA umeanza kuondoka na...
0 Reactions
0 Replies
456 Views
There's been a security incident outside the capitol, one policeman is receiving treatment, while one officer succumbed to injuries. The suspect too, was neutralized on sight after he lunged at...
1 Reactions
4 Replies
810 Views
Mabibi na mabwana pana habari za kutia moyo sana tokea kwa wale magwiji wa tiba ambako mh. Kabudi aliwahi kufuata dawa ya kutibu Corona kwa niaba yetu. Hatimaye Madagascar rasmi wamejisajili leo...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Back
Top Bottom