Jeshi la Myanmar limeamuru hii leo kufungwa kwa huduma za intaneti wakati waandamanaji wanaopinga mapinduzi ya kijeshi wakiendelea kupuuza kitisho cha matumizi ya silaha yaliyotolewa na jeshi...
Madagascar imeamua kubadili mtazamo wake juu ya kukabiliana na virusi vya corona na kujumuika na jitihada za kimataifa kupata chanjo ya corona.
"Kuna hatua kadhaa ambazo inabidi kupitia kabla ya...
Japan nchi za Umoja wa Ulaya na Marekani zimesema wanasayansi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) walichelewa kufuatilia asili ya Virusi vya Corona.
Aidha wamesema hawakupewa ushirikiano wa kutosha...
Shirika la Kimataifa la kutetea haki za Binadamu la Human Rights Watch, limeishtumu Rwanda kwa kuendelea kubana, kuwatishia na kuwakamata wanaotumia mitandao ya Youtube na Blogu mbalimbali...
Serikali ya Ujerumani imesema kuwa inasitisha matumizi ya chanjo ya corona ya Oxford-AstraZeneca kwa watu wenye umri ulio chini ya miaka 60, kwasababu wanahofia watu kuganda damu baada ya kupata...
Kwa mujibu wa vyombo vya habari vya ndani ya nchi, iliripotiwa kuwa milio ya risasi ilisikika ikizunguka ikulu ya rais katika mji mkuu wa Niamey nchini Niger na kudumu kwa karibu nusu saa, na...
Serikali ya Ujerumani Yazuia Matumizi ya Chanjo Ya Corona Kwa Walio Na Umri Chini Ya Miaka 60 Kutokana Na Changamoto Ya Kuganda kwa Damu!
Germany restricts use of AstraZeneca vaccine to over 60s...
Ujerumani imewashauri raia wake kuondoka nchini Myanmar haraka iwezekanavo kufuatia ongezeko la machafuko katika taifa hilo la kusini mashariki mwa Asia.
Ofisi ya mambo ya nje ya Ujerumani...
Rais wa Honduras Juan Orlando Hernandez atoa ujumbe baada ya kaka yake Juan Antonio "Tony" Hernandez kupatikana na hatia ya ulanguzi wa madawa ya kulevya nchini Marekania, huko Tegucigalpa...
Rais Juan Orlando Hernandez wa Honduras amejitangaza kuwa mshindi wa uchaguzi wa rais baada ya kupata karibu asilimia 44 ya kura.
Kwa mjibu wa matokeo ya awali yaliyokwisha patikana mtangazaji...
Watafiti nchini Mexico wanadai kuwa wamebuni mtindo mpya wa Barakoa (mask) ambao utamuwezesha mtumiaji kuweza kula, kunywa na hata kuzungumza huku akiwa bado amejilinda dhidi ya Virusi vya Corona...
Safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa China Tehran; kupandishwa uhusiano kati ya Tehran na Beijing hadi kiwango cha ushirikiano wa kistratejia
Mar 27, 2021 11:29 UTC
Iran na China, zikiwa nchi...
Laurent Gbagbo akiwasalimu wafuasi wake wake Februari 6, 2020 huko Hague
Kesi ya rais wa zamani wa Cote d'Ivoire na waziri wake wa zamani Charles Blé Goudé ilianza mwezi Januari 2016. Wote...
Kupitia katika ujumbe wa video kwa Mkutano wa tano unaofanyika Brussels, Ubelgiji, kuunga mkono Syria na ukanda huo, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametoa wito kwa wafadhili...
Waziri wa mambo ya kigeni wa Marekani Anthony Blinken ameufungua mkutano na washirika wa jumuiya ya kujihami ya NATO kwa kuwaomba wanachama wenzake kushirikiana nayo dhidi ya kitisho cha China...
Habari ndio hiyo ... hutaki unaacha!
============================
Riyadh (AFP) - Saudi Arabia's crown prince hosted a delegation of American Christian evangelicals on Tuesday, state media said...
Katika hali ya kawaida ni vigumu sana kusikia mtu mwenye umri wa miaka 91 bado yupo kazini na wala hana mpango wa kustaafu, na kitu gani kinakuja haraka haraka kichwani mwako unaposikia kuwa yupo...
Imagine Africa ingekuwa nchi, imagine wazo la mzee wetu Kwame Nkrumah lingefanikiwa, leo hii uchumi wa dunia tungekuwa tumeushikilia sisi, tungekuwa tishio kuliko China ilivyo kwa USA.
Uwezo wetu...
Moja ya sababu zilizofanya mitandao ya kijamii kuaminiwa zaidi na watumiaji ni kutokana na hakikisho la usalama wa mawasiliano kwa kutumia mfumo wa msimbo fiche wa mwisho hadi mwisho (end-to-end...
Mapigano yashtadi kati ya majeshi ya Uturuki na Syria, askari kadhaa wa pande mbili wauawa
Feb 04, 2020 07:40 UTC
[https://media]
Askari kadhaa wameuawa na kujeruhiwa katika mapigano kati ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.