International Forum

News and Stories from rest of the World
Beijing to invest $400 billion in Iran in exchange for oil, report says; agreement will strengthen military ties and may undermine US leverage in Middle East TEHRAN — Iran and China on Saturday...
1 Reactions
12 Replies
954 Views
Rais wa Bolivia, Evo Morales amekumbwa na fedheha kubwa baada ya simu yake kutoa sauti zinazoaminika ni za watu wanaofanya ngono wakati akiwa ndani ya mahakama Mkasa huo umetokea wakati Rais...
0 Reactions
14 Replies
9K Views
Wanajeshi 25 wa vikosi vya usalama Msumbiji wameuawa huku wengine 15 wakijeruhiwa baada ya kushambuliwa na wanamgambo wa Kiislamu katika kijiji cha Matambalale eneo la Muidumbe. Kundi la maafisa...
4 Reactions
108 Replies
12K Views
Muungano wa Wafanyakazi nchini Uingereza umeonya kile ilichokiita 'mwanya mkubwa' katika sheria za ajira na matumizi ya teknolojia ya ufahamu bandia (AI) katika mchakato wa ajira. Kutokana na...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Matokeo ya uchaguzi wa Bunge nchini Israel yanaonyesha taifa hilo lililogawanyika huenda likaingia kwenye suru nyingine ya uchaguzi baadae mwaka huu, kufuatia dalili za kutopatikana mshindi...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Jaji wa mahakama hiyo amesema utaratibu wa namna ya kuvaa kwa shule binafsi uachwe mikononi mwa shule hizo kwenye vitu vitakavyo ruhusiwa na visivyoruhusiwa. Hii inaweza kumaanisha kwamba mabinti...
1 Reactions
80 Replies
8K Views
Afisa wa ngazi ya juu katika baraza la haki za binadamu la Ulaya ametahadharisha kuhusu ongezeko la visa vya ubaguzi nchini Ureno. Kamishna wa baraza la haki za binadamu la Ulaya, Dunya Mijatovic...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Ujumbe wa maneva ya kijeshi ya Iran na Russia: Kuimarishwa amani, urafiki na usalama katika eneo Maneva ya usalama wa baharini kati ya Iran na Russia katika mwaka huu wa 2021 ilianza jana Jumanne...
5 Reactions
27 Replies
3K Views
Mwanahistoria na Mwanaharakati nchini Morocco Maati Monjib aliyekuwa jela na kugoma kula kwa siku 19 ameachiliwa huru baada ya kushikiliwa kwa kipindi cha miezi mitatu. Msomi huyo mwenye umri wa...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Lithuania, Latvia na Estonia ambazo ni Wanachama wa Umoja wa Ulaya (EU) zimeitaka Urusi kuruhusu kutolewa kwa huduma za Afya kwa mkosoaji wa Rais Vladimir Putin, Alexey Navalny. Mawaziri wa Mambo...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wapinzani Nchini Belarus wameitisha maandamano mapya dhidi ya Rais wa muda mrefu, Alexender Lukashenko ili kushinikiza aachie madaraka Lukashenko ambaye amekuwa Rais kwa takriban miaka 27...
0 Reactions
0 Replies
619 Views
Bunge la New Zealand limepitisha Sheria inayowapa Wanawake pamoja na wenza wao haki ya kupewa mapumziko yenye malipo pale ujauzito unapotoka au Mama anapopoteza Mtoto kabla au wakati wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa takwimu za Wizara ya Afya, Visa vipya 53,476 vya COVID-19 vimerekodiwa Nchini humo, ikiwa ni idadi kubwa zaidi ya maambukizi ya siku tangu Oktoba 23, 2020. Kwa takwimu za Shirika la...
1 Reactions
6 Replies
838 Views
The Duke of Sussex is to become chief impact officer at the US coaching and mental health firm, BetterUp. Prince Harry said in a statement that he was "really excited" about taking on the new...
4 Reactions
22 Replies
3K Views
Mtu mmoja aliyejihami kwa bunduki amewaua watu 10, pamoja na afisa wa polisi, kufuatia makabiliano ya saa kadhaa katika soko la mboga huko Colorado, polisi wa Marekani wanasema. Shambulio hilo...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Idadi ya vifo vinavyorekodiwa kwa siku Nchini humo vimepita 3,000 kwa mara ya kwanza, ikielezwa mlipuko wa Virusi vya Corona unaendelea kusambaa, huku Hospitali zikikaribia kulemewa Brazil...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ametahadharisha juu ya Uturuki kuingilia kati katika uchaguzi wa rais nchini Ufaransa mwaka ujao. Ameituhumu serikali ya mjini Ankara kwamba inaeneza uwongo...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Denis Sassou Nguesso amechaguliwa kuongoza Jamhuri ya Congo kwa awamu nyingine akipata 88.57% ya Kura kwa mujibu wa matokeo ya awali. Mpinzani mkuu wa Nguesso, Guy Brice Parfait Kolelas...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Shirika linaloshughulikia haki za watoto duniani, Save the Children, linasema kuwa robo ya raia waliouawa ndani ya kipindi cha miaka mitatu nchini Yemen ni watoto, huku misaada ya kibinaadamu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
President Donald J. Trump gives a fist bump to the press. (Official White House Photo by Tia Dufour) Former President Donald Trump is planning to launch his own social media platform within the...
6 Reactions
69 Replies
7K Views
Back
Top Bottom