Rais Joe Biden wa Marekani mwenye miaka 78 ameanguka mara tatu kwenye ngazi za ndege ya Airforce one akiwa anaelekea mji wa Atlanta. Lakini baadae aliamka na kuendelea na safari.
Rais Biden ndie...
Waziri Mkuu wa Ethiopia amekiri uwezekano wa kuwepo kwa matendo ya uhalifu dhidi ya binadamu kwa mara ya kwanza tangu kuanza kwa mapigano katika eneo la Tigray mwezi Novemba mwaka jana.
Abiy...
Serikali ya Uingereza yapitisha sheria ya faini ya pauni 5,000 kwa watu wote wataosafiri nje ya nchi hiyo kwa ajili ya mapumziko.
Sheria hiyo itaanza kutumika (England) kuanzia wiki ijayo...
Wagonjwa wa mwisho waliothibitishwa kuwa na maambukizi ya #Ebola Nchini DR Congo wameruhusiwa kutoka katika Vituo vya Afya huko Kivu Kaskazini
Mamlaka za Afya Nchini humo zimesema Taifa hilo sasa...
Israeli company 'SaNOtize' invented a life-saving nasal spray that protects and prevents viral infections.
Israel is at the forefront of finding medical solutions that are blessing humanity.
---
A...
Akihojiwa leo na kituo cha televisheni cha ABC NEWS Rais Biden amesema anaamini Rais wa Urusi, bwana Putin ni muuaji na atalipa iyo gharama.
Ameongeza kuwa amewahi kumwambia Putin kuwa ni mtu...
Kansela wa Ujerumani Angela Merkel ametangaza leo kuongeza muda wa vizuizi vya kufunga shughuli hadi Aprili 18.
Merkel ameonya ni lazima Ujerumani izuie kuongezeka kwa wimbi la tatu la...
Marekani imetangaza vikwazo vipya dhidi ya maafsaa wawili wa China kwa kile inachodai ni ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu dhidi ya waislam wa Uyghur, Xinjiang. Marekani ilishirikiana na Umoja...
Vikosi vya usalama vya Myanmar vimemuua kwa kumpiga risasi mwandamanaji mmoja, wakati serikali ya Australia ikithibitisha kuwasaidia raia wake wawili waliokuwa kizuizini kujaribu kuondoka nchini...
Serikali ya raisi Tayep Erdogan imejiondoa rasmi kwenye mkataba wa kimataifa unaotaka kuwalinda wanawake dhidi wa matendo ya udhalilishwaji. Hatua hiyo imetajwa kuwa ni ushindi mkubwa wa viongozi...
Kiongozi wa upinzani nchini Jamhuri ya Kongo (Congo-Brazzaville) na mgombea wa kiti cha urais amefariki kwa COVID-19 ikiwa ni saa chache tu baada ya vituo vya uchaguzi kufungwa.
Guy-Brice Parfait...
Maelfu ya Waisraeli wameandamana nje ya makazi rasmi ya Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu Jumamosi usiku, wakitaka Waziri Mkuu huyo wa muda mrefu aondolewe katika kinyanganyiro cha uchaguzi wa bunge...
Wanamgambo wenye msimamo mkali wameuwa wanajeshi 30 wa serekali katika mfululizo wa mapigano kaskazini mashariki mwa Nigeria toka Jumatano, kwa mujibu vyanzo vya kijeshi na raia.
Shirika la...
Mataifa makubwa barani Ulaya yamesema yataanzisha upya matumizi ya chanjo ya AstraZeneca baada ya chombo cha udhibiti wa kitabibu cha Ulaya kusema chanjo hiyo ni salama na inafanya kazi vizuri...
Congo inafanya Uchaguzi wa Rais leo huku Denis Sassou Nguesso (77) aliyeongoza kwa miaka 36 akitarajiwa kuwashinda Wagombea wenzake sita
Waangalizi kutoka Umoja wa Mataifa (UN) na Umoja wa Ulaya...
Katika hali ya sasa nchini Thailand inashangaza kuona mgahawa unauza chakula ambacho bangi ni kiungo moja wapo, hasa ukiangalia historia ya taifa hilo ambalo lilikuwa lina sheria kali zikipinga...
Baraza la mji wa Minneapolis nchini Marekani limeidhinisha makubaliano ya kuilipa familia ya George Floyd kiasi cha dola milioni 27 (Takriban Tsh. Bilioni 63) karibu mwaka mmoja tangu Mmarekani...
At least 13 people have been killed in an ambush on a police convoy by a suspected criminal gang in central Mexico.
The victims were all police officers and agents from the state prosecutor's...
Miezi miwili kabla ya 'mapinduzi', plans zilitangazwa za kujenga chuo kikubwa sana kilichopewa jina la Robert Mugabe University.
Siku chache tu kabla ya 'mapinduzi' kuna main road/highway muhimu...
Watu nane, wengi wao wakiwa Wanawake wa asili ya Asia wameuawa katika matukio matatu ya kupigwa risasi yaliyotokea Georgia Nchini humo.
Korea Kusini imethibitisha watu wanne miongoni mwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.