Champ na Major ambao ni mbwa wa Rais Joe Biden, wamehamishwa kutoka White House na kupelekwa Delaware kwenye makazi binafsi ya Joe Biden.
Hii ni baada ya mbwa mmoja (Major) kumng'ata afisa wa CIA...
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametoa wito juhudi zifanyike kutokomeza unyanyasaji dhidi ya wanawake
Guterres ameyasema hayo jana siku ya kwanza ya mkutano wa kimataifa kuhusu...
Huku Virusi vya Corona ukiendelea kushika kasi Nchini humo, Rais Jair Bolsonaro ametangaza kumteua Waziri mpya wa Afya, akiwa mtu wa nne kushika nafasi hiyo tangu kuanza kwa mlipuko.
Marcelo...
Shirika la Afya Duniani (WHO) limetoa wito kwa Mataifa kutositisha Chanjo za Virusi vya Corona. Wataalamu wa Shirika hilo wanatarajiwa kukutana leo kuzungumzia Chanjo ya Oxford-AstraZeneca
WHO...
Hii ni kwa mujibu wa tweet ya Zitto Kabwe.
Ameichagiza BAKWATA kuishikiniza serekali ya awamu ya 5 iruhusu chanjo kwa Watanzania ili waweze kutekeleza hii nguzo muhimu sana kwa Waislamu.
Hili ni...
Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imeahirisha kampeni ya kutoa chanjo ya AstraZeneca. Taifa hilo limepokea dozi milioni 1.7 ya chanjo hiyo dhidi ya Covid-19 na ilitarajiwa kuanza zoezi...
Facebook imesema itaanza kuwekea alama mabandiko yote kuhusu Chanjo. Mtandao huo umekuwa ukikosolewa watunga Sheria pamoja na Watafiti kwa kuruhusu taarifa potofu kusambazwa katika jukwaa lake...
Baada ya subira ya muda mrefu, hatimaye ripoti ya timu ya wataalamu wa Shirika la Afya Duniani, WHO iliyopewa kazi ya kuchunguza chanzo cha maambukizi ya virusi vya corona inatarajiwa kutolewa...
Miaka 10 tangu kuanza kwa mapigano nchini Syria, Mke wa dikteta na rais wa Syria, Bashar al-Assad, Asma al-Assad anakabiliwa na mashtaka ya uhalifu dhidi ya binadamu na kushawishi uhalifu dhidi ya...
Maelfu ya watu wameandamana kupinga unyanyasaji wa kijinsia dhidi ya Wanawake. Maandamano hayo yamechochewa na shutuma kadhaa ambazo zimehusisha Bunge la Nchi hiyo
Miongoni mwa shutuma hizo ni...
Uholanzi nayo imeamua kusitisha matumizi ya chanjo ya corona ya Oxford-AstraZeneca kwa kuhofia kuwa na madhara.
Serikali ya Uholanzi imeamua kuchukua hatua hiyo mpaka Machi 29 ili kuchukua...
Polisi ya Urusi imewakamata leo kiasi wanasiasa 200 wa upinzani na viongozi wa manispaa waliokuwa wakihudhuria mkutano mjini Moscow katika wakati utawala nchini humo unazidisha mbinyo dhidi ya...
Denmark suspends AstraZeneca COVID shots for two weeks after blood clot reports
Denmark has put using AstraZeneca’s COVID-19 vaccine shots on hold for two weeks after reports of cases of blood...
Mfalme wa Wazulu wa Afrika Kusini, Goodwill Zwelithini amefariki katika Hospitali ya KwaZulu-Natal alipokuwa anatibiwa kisukari
Mfalme Zwelithini ameugua kwa takribani kabla ya umauti kumkuta...
Rais wa North Korea Kim Jong-Un hatimaye kaibuka kwenye media baada ya kuzuliswa habari za kifo na kwamba mamlaka yake ya kuiongoza NK yameshakabidhiwa kwa dada yake.
Kim kaonekana akiwa fiti...
Idadi ya watu waliokufa kutokana na vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Syria imekaribia laki nne tangu vilipoanza muongo mmoja uliopita, na hadi sasa hakuna ishara ya lini vitamalizika.
Kwa...
Shirika la Marekani la Utafiti wa Anga (NASA) limesema ndege yake ya utafiti imefanikiwa kutua katika Sayari ya Mirihi (Mars) imefanikiwa kutua salama na kushusha kifaa cha utafiti kilichopewa...
Mwanamke wa miaka 57 huko Bulgaria amefariki mara tu baada ya kupewa chanjo ya astrazeneca. Serikali ya nchi hiyo imesitisha utoaji wa hiyo chanjo mpaka ipate uhakikisho wa kimaandisho kutoka...
Hamed Bakayoko enzi za uhai wake
Waziri Mkuu wa Ivory Coast, Hamed Bakayoko, amefariki dunia katika hospitali moja nchini Ujerumani, mamlaka imesema.
Bakayoko, aliyekuwa akipata matibabu ya...
Rouhani amwambia Johnson: Kama si Jenerali Soleimani hii leo London isingekuwa na amani
Jan 09, 2020 13:33 UTC
Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameitaka serikali ya Uingereza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.