Jumla ya nchi saba tayari zimesitisha utoaji wa chanjo💉 ya Astrazeneca:
✓ Denmark
✓ Iceland
✓ Austria
✓ Estonia
✓ Lithuania
✓ Luxembourg
✓ Latvia
Sababu ya kusimamishwa kwa shughuli hii ni kesi...
Brazil imerekodi idadi kubwa zaidi ya vifo ndani ya siku moja vinavyotokana na virusi vya corona tangu kuanza kwa mlipuko.
Jumla ya watu 2,286 walifariki dunia ndani ya saa 24 pekee siku ya...
Wenzetu hao!
You see, the hotel is going to be in space. No, seriously. A California-based company called Orbital Assembly is currently working on what would be the first-ever hotel orbiting...
Vifaa vilivyotumiwa na majasusi wa Umoja wa Kisovieti katika vita baridi hivi karibuni vyanadiwa.
Kikundi cha urithi wa vita baridi ikiwemo silaha za siri za Umoja wa Kisovieti hivi karibuni...
Rais mstaafu wa Congo DR, Joseph Kabila Kabange apokonywa walinzi wa kikosi cha jeshi waliokuwa wakimlinda na kupewa ulinzi wa Polisi wa kawaida.
Haijulikani sababu ya uamuzi huu uliofanywa na...
Papa Francis atasafiri Iraq leo Ijumaa katika ziara ya kwanza rasmi nchini humo na safari yake ya kwanza ya kimataifa tangu kuzuka kwa la corona.
Safari hiyo ya siku nne inakusudiwa kuihakikishia...
Rais wa Niger Mahamadou Issoufou ameshinda tuzo maarufu ya Mo Ibrahim.
Tuzo hiyo utolewa kwa kiongozi ambaye utawala wake unazingatia utawala wa sheria na utawala bora barani Afrika.
-----...
Nchi ya Malawi nayo leo imepokea Shehena ya Chanjo kwa ajili ya raia wake ili kujikinga na Ugonjwa hatari wa Corona .
Natoa wito kwa serikali ya Malawi kuwahurumia watanzania wa mpakani ili nao...
The IDF is updating its attack plans against Iran's nuclear facilities, Defense Minister Benny Gantz revealed on Thursday in an interview with Fox News.
"If the world stops them before, it's very...
Vifo vimeongezeka baada ya kutokea mfululizo wa milipuko katika kambi za jeshi Equatorial Guinea na kufikia zaidi ya watu 98.
Kwa mujibu wa taarifa ya wizara ya afya kwa sasa watu walio jitolea...
Baraza la Seneti la nchini Marekani limepigakura kuidhinisha mpango mkubwa wa msaada wa fedha wa trilioni 1.9 ambazo Rais Joe Biden amesema zitasaidia kuufufua uchumi.
Wajumbe wa chama cha...
Katika nchi ya Canada ambayo ni mwanachama wa Jumuiya ya Madola ya Mataifa ya Uingereza, takriban nusu ya watu wameitaka nchi yao iwakilishwe na rais atakayechaguliwa badala ya Malkia wa...
Watu takriban 15 wamefariki dunia huku wengine zaidi ya 100 wakipata majeraha katika mfululizo wa milipuko iliyotokea nchini Equatorial Guinea, Wizara ya afya imesema.
Baadhi ya watu 500...
OFISI KUU ya Mafunzo ya Imani ya Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Marekani.
Pamoja na maaskofu wa dayosisi kadhaa nchini humo wamewaonya wana kondoo wao kuepuka chanjo ya Covid-19...
Hili ni moja ya kundi hatari kabisa la kimafia duniani. Kwanza ni kwa sababu jamaa ni wasomi na wanaujuzi wa hali ya juu. Wengi waliokuwa watu wa KGB walijiunga huku.
Sasa Russia kuna pombe za...
Alianza Julius Malema kwa kuanzisha chama cha siasa baada ya kujitoa kwenye uongozi wa umoja wa vijana wa ANC.
Alianzisha chama chake chenye mlengo wa kupingana na ANC na kweli aliweza kuongoza...
Ikulu ya Marekani imeonesha wasiwasi wake baada ya shambulio dhidi ya huduma ya Exchange ya Microsoft ikitaka taasisi binafsi na za serikali zilizoathiriwa kuchukua hatua za haraka ili kuepusha...
Tuendelee juwa na subra, kwenye bustani ya wanyama ya sandiego huko San Diego, nyani na sokwe ndiyo wanyama wa kwanza kupatiwa chanjo tofauti na binadamu kwa kupokea chanjo ya COVID-19.
Habari...
Mamlaka nchini Senegal imetoa agizo kwa mashirika yanayotoa huduma ya mtandao kuzima intaneti nchi nzima, wakati maandamano dhidi ya kuzuiliwa kwa kiongozi wa upinzani yanazidi kuongezeka, shirika...
Zaidi ya watu 100 wamesaini barua kuitaka Kamusi ya Mtandaoni nchini Italia, Treccani kubadilisha kisawe cha neno mwanamke katika kamusi yake.
Kampeni hiyo inalenga kuondoa neno 'puttana' kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.