Watawala wa Jeshi Nchini humo wasema wamemfuta kazi Balozi wa Taifa hilo Umoja wa Mataifa (UN) ikiwa ni siku moja baada ya kauli yake ya kuomba msaada ili Jeshi liondolewe madarakani
Katika...
Ottawa Canada February 17 (ANI):
CANADA'S main opposition party — the Conservative Party — on Tuesday urged the Prime Minister Justin Trudeau-led government to pressure the International Olympic...
Brazil imeendelea kuweka rekodi ya vifo vingi kwa siku ya pili mfululizo baada ya kurekodi vifo 1,910 siku ya Jumatano pekee, huku watu 71,704 wakipata maambukizi mapya.
Hii ni baada ya vifo vya...
Nchi jirani za Afrika ya Magharibi za Ghana na Ivory Coast wiki hii zimepokea mzigo wa chanjo za bure aina ya Covax na kuanza kuwachanja raia zao.
Wa mwanzo kuonesha mfano wa kupokea chanjo hizo...
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema kuna hatari kubwa ya mlipuko wa Ebola uliopo Guinea kusambaa Mataifa jirani. Shirika hilo limesema baadhi ya Nchi hizo hazijajiandaa kwa kampeni za Chanjo...
Polisi nchini China na Afrika Kusini wamekamata maelfu ya dozi bandia za chanjo ya Covid-19 na kuwakamata wahusika, Polisi wa kimataifa, Interpol wameeleza.
Polisi wamewakamata watu 80 kwenye...
Life is unbelievably full of surprises! Most of us live normal lives with normal sickness and conditions but other people have daily challenges because of their unexplained conditions.
So in very...
Maandamano yameendelea kwa siku ya pili Nchini humo baada ya mvutano kati ya Wafuasi wa Kiongozi wa Upinzani, Ousmane Sonko, na Polisi kufuatia shutuma za ubakaji ambazo Mwanasiasa huyo...
Takriban watu 38 wameuawa baada ya Vikosi vya Ulinzi na Usalama kuwafyatulia risasi Waaandamaji wanaopinga Utawala wa Kijeshi katika Miji kadhaa. Imeelezwa, watu hao walikuwa wanafanya Maandamano...
Chanjo dhidi ya Covid-19 imeanza kutolewa nchini Rwanda kwa wahudumu wa afya, wizara ya afya imetangaza.
Afisa wa wizara ya afya ameiambia BBC kuwa chanjo dhidi ya corona inaanza kutolewa mapema...
Serikali nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imewashtumu waasi wa FDLR wenye asili ya Rwanda, kwa kumshambulia na kumuua balozi wa Italia nchini humo Luca Attanasio hapo jana karibu na mji wa...
Rwanda inapokea awamu ya kwanza ya chanjo ya Covid 19 yenye dozi zipatazo 240,000 za Astra Zenneca kutokea za Oxford. Dozi hizo zinatarajiwa kufika nchini humo siku ya jumatano asubuhi.
Aidha...
Kizaazaa kilitokea wakati wahudumu katika makaburi walitoa mwili katika jeneza na 'kuuteka nyara' kwasababu ya deni.
Kisa hicho cha kushtua kilitokea Accra, Ghana. Iliripotiwa kuwa familia ya...
CHINA YARUSHA CHOMBO KWENDA MARS
Jamhuri ya watu wa China imefanikiwa kurusha chombo chake aina ya Tianwen_1 kuelekea katika sayari ya Mihiri {Mars} jana saa 6 na dakika 41 mchana kwa saa za...
Kamishna wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa ametoa rai kwa Ethiopia kuruhusu Wataalamu huru Nchini humo ili kuchunguza ukiukwaji unaoendelea, ambao unaweza kupelekea uhalifu wa kivita Tigray...
Takriban wanafunzi saba wamefariki dunia na wengine watano wamejeruhiwa vibaya baada ya kuanguka kutoka ghorofa ya nne kufuatia kuvunjika kwa chuma kilichokuwa katika korido katika Chuo Kikuu cha...
Namaki: Iran inakaribia kuwa kitovu kikuu cha uzalishaji na uuzaji nje chanjo
Waziri wa Afya, Tiba na Mafunzo ya Utabibu wa Iran ametangaza kuwa: Hadi kufikia msimu ujao wa machipuo Iran itakuwa...
Mashambulio hayo ya roketi katika mji wa Irbil yaliharibu uwanja wa ndege wa mji huo.
Jeshi la Marekani limetekeleza shambulio la angani lililolenga wanamgambo wanaoungwa mkono na Iran nchini...
Watekaji magaidi ambao wengi wao ni Fulani waliowateka wasichana wanafunzi katika shule ya boarding kaskazini mwa Nigeria wamewaachia huru wanafunzi wote haraka sana bila hata kuwadhuru wala...
Rais wa Rwanda, Paul Kagame amemfukuza kazi Waziri wa Sheria ambaye pia ni Mwanasheria Mkuu, Johnston Busingye
Amefukuzwa kazi kwa kufanya kazi kwa kufuata matakwa yake badala ya kufuata sera za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.