International Forum

News and Stories from rest of the World
Gavana wa Texas Greg Abbott ametoa agizo linaloondoa marufuku ya uvaaji barakoa na vizuizi vya biashara katika jimbo hilo la Marekani, ikiwa ni ulegezaji mkubwa wa hatua za kiafya hadi sasa katika...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Nasa's Perseverance rover landed on Mars at 20:55 GMT on 18 February after almost seven months travelling from Earth. Since then, it has sent back some amazing images from around its landing site...
3 Reactions
28 Replies
2K Views
  • Closed
Dunia hadaa ulimwengu shujaa. Wenzenu hapo kwa Biden wameamua kwa moyo mkunjufu kufanya ibada na kuiabudu sanamu ya mstaafu Trump. Nawasilisha. === Fact check: Picha aliyoweka mtoa mada...
5 Reactions
65 Replies
5K Views
Paris, Ufaransa (AFP). Taasisi ya Waandishi Wasio na Mipaka (RSF) imesema leo kuwa imefungua kesi ya uhalifu katika mahakama ya Ujerumani dhidi ya mwanamfalme Mohammed bin Salman kwa "uhalifu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mamlaka nchini Misri zimetekeleza adhabu ya kifo watu 11 siku ya Jumanne baada ya kuwakuta na hatia ya mauaji, chanzo kimoja ndani ya vyombo vya usalama vya Misri kimeiambia Shirika la Habari la...
0 Reactions
3 Replies
993 Views
Biden kutazama upya uhusiano wa karibu wa Marekani na Saudia Nov 15, 2020 12:27 UTC Vyombo vya habari vya Marekani vimeripoti kuwa, Rais mteule wa nchi hiyo, Joe Biden anatazamiwa kuangalia upya...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Mgombea Mkuu wa Upinzani, Saleh Kebzabo ametangaza kujiondoa katika mbio za Uchaguzi utakaofanyika Aprili 11 akimtuhumu Rais Idriss Deby kwa kutumia nguvu kuwatishia Wapinzani. Kauli yake inakuja...
1 Reactions
4 Replies
825 Views
A man was arraigned before a Kiambu court on Monday over a Facebook post where he threatened to shoot President Uhuru Kenyatta. Simon Muchiri, 22, was charged under the Computer Misuse and...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Makamu wa Rais wa Zimbabwe, Kembo Mohadi amejiuzulu kufuatia ripoti za Vyombo vya Habari Nchini humo kuhusu mienendo yake isiyo na maadili. Katika barua iliyotolewa na Wizara ya Habari, Mohadi...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Former French President Nicolas Sarkozy has been sentenced to three years in jail - two of them suspended - for corruption. Sarkozy, 66, was found guilty of trying to bribe a magistrate by...
3 Reactions
30 Replies
3K Views
Uingereza yaishutumu Urusi kwa udukuzi Maafisa wa Uingereza wamesema kuwa idara ya ujasusi ya jeshi la Urusi, GRU inahusika na mfululizo wa mashambulizi mapya ya mitandaoni duniani. Waziri wa...
3 Reactions
74 Replies
7K Views
More to comes, stay tuned Israel said to believe Iran behind blast on Israeli-owned cargo ship Vessel's owner says damage likely caused by missiles or mines, but unlikely it was targeted...
4 Reactions
58 Replies
6K Views
Wafanyakazi wanne wa vyombo vya habari wamekamatwa na vyombo vya usalama katika eneo lililokuwa na mapigano la Tigray nchini Ethiopia. Tangu kuzuka kwa mapigano mwezi Novemba mwaka jana baada ya...
0 Reactions
0 Replies
790 Views
Kiongozi wa upinzani Venezuela anakabiliwa na kifungo cha miaka 30 jela Feb 27, 2019 08:04 UTC Juan Guaidó, kiongozi wa upinzani aliyejitangaza kuwa rais wa mpito wa Venezuela anaandamwa na...
15 Reactions
62 Replies
9K Views
Waziri wa Sheria wa Malawi amesafiri kwenda Geneva nchini Uswizi kuhudhuria Mkutano wa 46 wa Baraza la Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, Mkutano uliofanyia kwa njia ya kidigitali, na kuhutubia...
15 Reactions
33 Replies
3K Views
Habari! Israel imetangaza Alhamisi kuwa inashirikiana na Marekani katika mpango wa uundaji wa mfumo mpya wa ulinzi wa anga dhidi ya makombora ya balistiki unaojulikana kama Arrow-4 ambao...
3 Reactions
38 Replies
4K Views
Mamlaka wa Mawasiliano imeushutumu Mtandao wa Kijamii wa Twitter kwa kukiuka Sheria ya Nchi ikisema haijatimiza baadhi ya matakwa ya Urusi iliyotaka Kampuni hiyo kufuta maudhui yaliyopigwa...
1 Reactions
4 Replies
975 Views
Aliyekuwa Rais wa Marekani, Donald Trump amezungumza kwa mara ya kwanza tangu Joe Biden kuwa Rais na kusema hana mpango wa kuanzisha Chama kipya cha Siasa Akizungumza akiwa Florida, Trump amesema...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Marekani jana Jumamosi imeidhinisha chanjo ya kampuni ya Jonhson & Johnson kwa matumizi ya dharura, na kuipatia nchi hiyo chanjo ya tatu ya kukabiliana na janga la virusi vya corona ambavyo vimeua...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Polisi wamewakamata wanaharakati 47 kwa "kupanga kuipindua serikali " katika Kanda Maalum ya Utawala ya Hong Kong. Imetangazwa kuwa watu hao 47 watafikishwa mahakamani siku ya leo. Imeelezwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom