Of course habari zao za kesi za kusafirisha madawa ndizo tunazozisikiaga ila amini usiamini hawa ni idadi ndogo sana, ila ni vile tu ndio habari pekee ambazo wengi huzisikia.
Aisee hawa viumbe...
Waziri wa Mambo ya Nje wa Italia ameuomba Umoja wa Mataifa kufanya uchunguzi kuhusiana na mauaji ya balozi wake nchini DRC katika shambulizi la kushtukiza.
Mwana Diplomasia Luca Attanasio, mwenye...
Maafisa wa afya nchini Marekani wameripoti kuwa, barakoa bandia milioni 11 zimenaswa nchini humo sambamba na nchi hiyo kuendelea kukabiliwa na uhaba mkubwa wa barakoa.
Wizara ya Usalama wa Ndani...
Ayatullah Khamenei: Urutubishaji madini ya urani nchini yumkini ukafikia asilimia 60 kulingana mahitaji ya taifa
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa Jamhuri ya Kiislamu...
Chanjo ilitolewa duniani, na kuna baadhi ya viongozi mashuhuri duniani tuliona hadharani wakichanjwa kama kuonyesha umuhimu wa chanjo na uwajibikaji pia.
Ninavyofahamu mimi layman katika masuala...
Australia imepitisha Sheria ya kwanza ulimwenguni inayolenga kuzifanya Google na Facebook kulipia maudhui ya habari yaliyomo kwenye majukwaa yao.
Mamlaka zilishutumu kampuni hizo ambazo...
Israel’s Health Ministry said Saturday that coronavirus vaccines were “dramatically” effective and the latest data shows the shots were 98.9% effective at preventing death caused by COVID-19...
Baada ya msuguano baina ya serikali na mtandao wa Twitter kufuatia maandamano ya wanaharakati wanaotaka mageuzi ya kilimo kuhusu kuondolewa kwa maudhui yanayodaiwa kupotosha na kuhatarisha usalama...
Tuna kila sababu ya kuwa na wasiwasi na mambo mengi yanayohusu tiba hasa kutoka magharibi. Kuna mahali niliwahi soma jinsi waAfrika walivyokuwa wakitumika kama viumbe wa majaribio ya tafiti na...
Kampuni ya Facebook imesema itarejesha maudhui ya taarifa za Habari kwa Watumiaji Nchini Australia baada ya kuyafungia mwishoni mwa wiki iliyopita
Facebook ilichukua hatua hiyo kufuatia mvutano...
Hapa nchini Afrika ya Kati (CAR) yalipo Makazi yangu Kikazi (japo Tanzania huko ni Nyumbani) kuna Mauzauza mengi kutoka kwa Rais wa hapa.
Kwanza japo ni Katili na ana Chuki kwa Watesi (Critics)...
Washambuliaji ambao hawajajulikana wamevamia msafara wa UN na kupelekea kifo cha balozi wa Italia nchini Congo DRC pamoja na bodygurd wake.
----
Italian ambassador killed in DR Congo attack...
Kasri la Buckingham
Mwanamme mmoja amekamatwa ndani ya makao ya kifalme nchini Uingereza ya Buckingham baada ya kuvuka ua.
Mwanamme huyo wa umri wa miaka 41 alipatikana katika uwanja wa kasri...
Shule zimeshindwa kufunguliwa leo baada ya Walimu kugoma wakisema hawapo salama katika mazingira ya kazi. Wametoa madai kadhaa kwa Serikali ikiwa ni pamoja na posho ya hatari ya COVID19.
Wiki...
Rais wa Botswana Dr Masisi ametangaza kuhutubia taifa week hii kueleza hatua inayofuata katika kupambana na ugonjwa wa Corona.
Tetesi zinasema Rais huenda akafungulia curfew iliyokuwa imewekwa...
Watafiti wanasema watu milioni nne huenda wameambukizwa mjini LagosImage caption: Watafiti wanasema watu milioni nne huenda wameambukizwa mjini Lagos.
Matokeo ya uatafiti nchini Nigeria...
Kamati Kuu inayoshughulika na COVID-19 imetangaza kuzuia wasafari kutoka Sudan, Lebanon, Brazil, Afrika Kusini, Nigeria, Tanzania, Ghana, Ethiopia, Guinea, Sierra Leone kwa siku 15 kuanzia...
Rais Biden alitoa wito kwa taifa kuungana nae katika wakati wa ukimya katika sauti ya chini sana alielekeza matamshi kwa wale ambao wamepoteza wapendwa wao kutokana na virusi vya COVID-19.
Rais...
Mamlaka yasema Wananchi wamekuwa hawafuati kanuni na taratibu zilizowekwa ili kudhibiti Ugonjwa wa Ebola ambao umeibuka tena hivi karibuni. Hadi sasa visa sita na vifo vinne vimerekodiwa.
Waziri...
Mgonjwa aliyepandikizwa mapafu amekufa baada ya kupokea #mapafu yaliyoambukizwa na Covid-19, kulingana na utafiti wa kimatibabu ulioelezea kesi ya kwanza kama hiyo nchini Marekani.
Kulingana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.