Korea Kaskazini imeshikwa ikijaribu kuiba teknolojia inayotumika kutengeneza chanjo ya virusi vya corona kutoka kwa kampuni ya utengenezaji dawa ya Marekani Pfizer, kulingana na maafisa wa...
Waziri Mkuu wa Georgia amejiuzulu leo kufuatia mpango wa kumkamata kiongozi mmoja mkuu wa upinzani. Giorgi Gakharia amesema kukamatwa kwa kiongozi huyo Nika Melia, huenda kukauzidisha mzozo wa...
Silaha za NATO zakamatwa katika makao ya ISIS Homs, nchini Syria
Feb 18, 2021 08:16 UTC
[https://media]
Jeshi la Syria limegundua ghala la silaha ziliundwa na Shirila la Kujihami la Nchi za...
Admeri Khanzadi: India itajiunga na mazoezi mseto ya kijeshi ya Iran na Russia katika Bahari ya Hindi
Feb 17, 2021 02:26 UTC
[https://media]
Kamanda wa Jeshi Majini la Jamhuri ya Kiislamu ya...
Rais Rouhani: Iran haina mpango wa kutumia silaha za maangamizi ya umati
Feb 17, 2021 08:07 UTC
[https://media]
Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema nchi hii haijawahi...
Metali kubwa ya kisiri yaibuka tena nchini India
Metali kubwa ya kisiri iliyoonekana katika miji 30 hivi kote duniani, hivi sasa imeibuka tena nchini India.
Habari kutoka gazeti la India Today...
Ms. Maryam Salim is the new Country Manager of the World Bank for Albania. Ms. Salim has around twenty years of experience in the World Bank, during which she has led a number of Program and...
Wadukuzi wa Myanmar wamedukua tovuti za serikali baada ya Internet kuzimwa kwa siku ya nne mfululizo.
Tovuti zilizodukuliwa ni pamoja na Tovuti ya Jeshi ya Kufanyia Propaganda, wavuti ya kituo...
Siku kadhaa baada ya mkuu wa michezo ya Olimpiki nchini Japani kulazimishwa kujiuzulu kwasababu ya maneno yake ya kudhalilisha wanawake, chama chake kimeamua kualika wanawake kuhudhuria mikutano...
Umoja wa Mataifa umesema utaingilia kati hatua ya mamlaka ya Milki za Kiarabu (UAE) kumshikilia bila hiari Malkia Latifa, binti ya mtawala wa Dubai.
Malkia Latifa amemlaumu baba yake kwa...
Hiyo tunayoiita chanjo inayotengenezwa na kampuni ya Pfizer ikishirikiana na kampuni ya BioNTech ya ujerumani si sawa na chanjo zinazojulikana ambazo hutumia virusi vya ugonjwa huo huo...
The Vatican’s liturgy office last month issued new guidance for priests celebrating Ash Wednesday, which ushers in the Lenten season leading up to Easter. The guidelines call for the masked priest...
Iran imeanza kutengeneza madini ya uranium, licha ya kuonywa na mataifa yenye nguvu duniani kwamba ni uvunjaji mwingine wa mkataba wa nyuklia wa mwaka 2015.
Wakaguzi wa Shirika la kimataifa la...
Within a few years, the air force will have 75 F-35s. The IDF also plans to purchase another squadron of Boeing’s F-15s
The purchase of the Boeing KC46 refueling aircraft had been deemed urgent...
09 February 2021
Harare, Zimbabwe
Balozi wa Zimbabwe nchini Mozambique apoteza uhai kwa Covid-19
(Video : courtesy of pixie pearls)
Kamanda mwingine aliyeshiriki kumungoa Robert Mugabe afariki...
Watu 80 wanashikiliwa na polisi nchini China kwa kutengeneza dawa inayofanana na chanjo ya COVID19 ambayo ni maji yenye chumvichumvi tu.
Hadi sasa katika jimbo la Jiangsu na Shandong chanjo feki...
Picha: Rais wa Malawi Lazarus Chakwera
Rais wa Malawi Lazarus Chakwera awafuta kazi Mkuu wa Idara ya Usimamizi wa Majanga na Mwenyekiti wake pamoja na Maafisa wengine, kwa kushindwa kutunza...
Mwanadada Yvonne Idamange ameugeuka shujaa ghafula nchini Rwanda kwa kuikosoa serikali. Amepost video kwa lugha ya kinyarwanda, akimkosoa Kagame na serikali yake kwa kulifunga jiji la Kigali...
Kama ilivyokuwa kwa mkoa wa California mnamo mwaka jana sasa mambo si mambo viunga vya Texas ambapo mahitaji ya nishati ya umeme yamezidi ugavi, na miundombinu imeelemewa.
Watu wapatao milioni...
Guinea yatangaza kukumbwa na maambukizi mapya ya virusi vya Ebola.
Guinea yatangaza kukumbwa na maambukizi mapya ya virusi vya Ebola.
Nchini Guinea, karibu miaka mitano baada ya kumalizika kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.