13 February 2021
Ni wajumbe 57 walikubaliana na tuhuma wakati wajumbe wa senate 43 wamemuona hana hatia .
Baraza la Senate kwa utaratibu wake wa kutoa adhabu ya kumuona Rais anawajibika kwa...
Kuwa mwanasheria ni jambo moja lakini kuwa na uwezo wa kuichambua sheria kifungu kwa kifungu ni jambo lingine kabisa.
Niko natazama mubashara impeachment trial ya Donald Trump hakika huyu...
Kuna barabara chache nchini DRC na shughuli nyingi za usafiishaji wa mizigo na abiria hufanywa kwa njia ya mto.
Maafisa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imesema zaidi ya watu 60 wamezama baada...
Wizara ya mazingira ya Namibia imesema kwamba serikali ya nchi hiyo inapanga kuuza ndovu 170 kutokana na hali mbaya ya kiangazi na idadi kubwa ya ndovu katika nchi hiyo ya Kusini mwa Afrika...
Hon Dr Ngozi Okonjo- Iweala from Nigeria is appointed as the next WTO Director General. Dr Okonjo Iweala makes history as the first woman and the first African to lead the WTO.
Her term stars...
She' only 23 but already has 11 biological children. See how she did it
Well, a 23-year-old Russian woman, Christina Ozturk has shown that she's not tired of having children. The young mom is...
AstraZeneca said Thursday its product sales grew by 10% in 2020, a year in which the drugmaker garnered attention for its work developing a coronavirus vaccine..
The Anglo-Swedish pharmaceutical...
Even as the world eagerly waits for a Covid-19 vaccine, tech billionaire Elon Musk has said that he would not take one when it becomes available.
In an interview on the New York Times` podcast...
Magari ya kivita yakiwa katika mitaa kadhaa
Magari ya kivita yametanda katika mitaa ya miji kadhaa nchini Myanmar huku kukiwa na ishara kwamba wanajeshi wanaandaa msako dhidi ya wale wanaopinga...
Hii ndiyo maana halisi ya jeshi, jeshi kazi yake ni kulinda nchi na watu wake kwenye hatari zozote zile, zinazoonekana na zisizoonekana.
Jeshi la South Africa ni la kuigwa mfano, kwenye katikati...
Ni habari ya kushtua sana ya kifo cha Jasusi mbobezi.
Taarifa kutoka vyanzo vya kuaminika zinathibitisha kuwa Jaques Musemakweli Lt Jenerali wa Jeshi la Ulinzi Rwanda amefariki huku sumu...
TAZAMA VIDEO HAPA
Ni siku ambayo media ilileta taharuki kwa kuijazia chumvi habari ya Mwafrika kuuwawa na mapolisi kitu kilichopelekea Wafanya biashara kuingia hasara kwa kuvamiwa maduka , Watu...
Kwa mara nyingine tena, siasa za kumchafua Trump zimekwama, Democrats wana hofu sana na huyu kiumbe mpaka kufikia hatua ya kumu impeach mara 2 kwa makosa ambayo yamepikwa na wenyewe ili wamtoe...
Kama ilivyotokea kipindi cha Obama pale 2006 alipoahidi kulifunga gereza la Guantanamo hatimaye Biden nae ameahidi kulifunga ndani ya hiki kipindi chake cha uongozi. Obama baada ya kuahidi...
Mmangaka Coreen Tumagole is bold, strong and driven youngster who comes from Botswana she is likewise a radio character and 2020 Maya awarde champ.
The 27-year-old left with the Entertainment...
Jill Biden ameweka alama za moyo na katika kila moyo ameandika ujumbe
Healing, Courage, Love, Compassion, Gratitude, Peace, Amor, Strength, Kindness, Family, Unity. Love Jill
KATMANDU NEPAL
Kikundi hasimu cha chama tawala cha Kikomunisti cha Nepal (NCP), kinachoongozwa na Pushpa Kamal Dahal na Madhav Kumar kimefanya maandamano kwa kuwasha mwenge huko Kathmandu dhidi...
Je ni kweli kinachozungumzwa kina ukweli juu ya alipo Waziri huyu muhimu hapa Bolivia? Katika saa 24 zilizopita zimeiacha familia yake ikiwa na taharuki kubwa. Hawana pakwenda kusemea.
Mliopo...
Mamlaka ya China imepiga marufuku BBC kurusha matangazo Nchini humo ikikosoa Kituo hicho kikubwa cha Habari Kimataifa kwa namna kinavyoripoti mlipuko wa CoronaVirus na masuala mengine
China...
Shirika la Ndege la Namibia, Air Namibia limetangaza kusitisha shughuli zote za usafirishaji na kurudisha ndege zote zilizokuwa zikifanya safari, ikiwataka abiria wote waliokuwa wamekata tiketi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.