Ndege hiyo imelazimika kutua kwa dharula baada ya moja ya injini yake kupata hitilafu na kushika moto
Abiria wote 90 waliokuwa kwenye ndege hiyo iliyokuwa ikitoka Jijijini Addis Ababa wametua...
Shirika la Utangazaji la Uingereza BBC limeshtumiwa kwa uchochezi wa chuki dhidi ya 'Uislamu na wanawake Waislamu'.
Katika kipindi kimoja cha "Wakati wa Mwanamke" kwenye Redio ya BBC 4...
Hawa jamaa ni hatari aisee
YANI wameweza kupitisha drone juu ya KAMBI zote za jishi la IZRAEL bila ya kushtuka hata mmoja
Aisee KUMBE
I.T ni FANI
ya kukimbilia mzee
The court allowed for New York County District Attorney Cyrus Vance to obtain Trump’s tax returns and other financial records as part of a criminal investigation, a blow to the former president’s...
Kampuni za electroniki za Samsung na LG zimesitisha rasmi mkataba wa kuiuzia kampuni ya Huawei vioo au screen panels zinazotumika kwenye simu.
Kampuni ya Samsung ndiyo muuzaji mkubwa wa vioo vya...
Dunia ikiwa katika kizungumkuzi cha kupambana na janga/mlipuko wa gonjwa la corona, maafisa 27 wa Ikulu ya Sudan Kusini wamethibitihswa kuwa wameambukizwa virusi vya corona.
Kufuatia hali hiyo...
Rais wa Argentina Alberto Fernandez amekemea vikali kashfa ya Chanjo dhidi ya Ugonjwa wa COVID-19 ambayo imepelekea kujiuzulu kwa Waziri wa Afya wa Nchi hiyo
Gines Gonzalez Garcia alijiuzulu...
Ni Huzuni, majonzi & mshtuko
Mratibu wa Chama cha Rwanda National Congress (RNC) nchini Afrika ya Kusini ameuawa akiwa Cape Town.
Mwendazake Seif Bamporiki ameuawa kwa kupigwa risasi (silencer)...
Lavrov: Maombi ya nchi za Ulaya ya kununua chanjo ya corona ya Russia yanazidi kuongezeka
Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ameitaja chanjo ya Sputnik- V kuwa moja ya chanjo bora zilizopo duniani...
WASHINGTON – The Senate on Friday confirmed Lloyd Austin as the nation's first Black defense secretary, the second nominee of President Joe Biden to be confirmed by the chamber.
Austin is a...
CBS NEWS
Wakati Mbunge Edward Cruz akishutumiwa vikali kwa kujijali mwenyewe na familia yake kwa kuwakimbia wananchi wenye majanga kwenda safari ya mapumziko kisiwani Cancun Mexico maelfu ya...
The long-term development of football in east Africa received a substantial boost with the inauguration of a new FIFA Regional Development Office in Kigali, Rwanda, following a signature and...
Mtandao wa Facebook umewafungia watumiaji wa Australia ikiwa ni njia ya kupinga suala la Australia kutaka Facebook wawalipe watumiaji wake wanaochapisha habari mbalimbali nchini humo
Australia...
Utararibu wa kawaida umerejea korea ya kaskazini 2021 jana usiku.
Mwaka jana Kim jong un alionekana akilia na kuomba msamaha mbele ya gwaride kwa kushindwa kudhibiti covid na uchumi , ilikwa tu...
Namibia has been ranked as the country with the best roads in Africa for the fifth consecutive year.
=====
For the fifth consecutive year Namibia has retained its position at the top of the list...
Kwa mfuatiliaji/msomaji wa biblia yeyote anaelewa vyema kisa cha Firauni/Farao wa Misri katika kitabu cha kutoka. Firauni bwana alikuwa jeuri kwelikweli.
Kisa cha wana Israel kutoka Misri...
Imeelezwa kuwa athari za corona nchini India ikiwemo idadi ya maambukizi na vifo imeshuka kwa kiwango cha juu bila kupatiwa maelezo ya kitaalamu.
Awali ugonjwa huu ulipoanza hapo mwaka jana...
G7 pledges extra $7bn towards Covid vaccines for world's poorest
G7 pledges extra $7bn towards Covid vaccines for world's poorest (msn.com)
Nearly $7bn (£5bn) of extra funding was pledged by the...
Trump azungumza kwa mara ya kwanza ya vyombo vya habari baada ya kuondoka White House, asema Biden ana matatizo ya kiakili
Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump amevishambulia vikali vyombo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.