International Forum

News and Stories from rest of the World
Wanasheria wa Donald Trump wamesema wafuasi wa Rais huyo wa zamani walivamia jengo la Bunge lililopo Washington DC mapema mwezi uliopita kwa maamuzi yao wenyewe. Wameeleza kuwa, taarifa za FBI...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Katika miaka hii ya karibuni inaonekana taifa dhalimu la Israel limezidi kiburi chake, linapiga linapotaka bila kumuogopa yeyote na hakuna anayeilaumu kwa matendo yake haya isipokuwa wale...
7 Reactions
138 Replies
14K Views
Viongozi wa upinzani Nchini humo wametangaza kutomtambua tena Rais Mohamed Abdullahi Mohamed baada ya muhula wake kuisha bila muafaka wa kisiasa juu ya mpango wa kufanyika Uchaguzi. Uchaguzi usio...
0 Reactions
4 Replies
856 Views
The world is eagerly awaiting the release of several COVID-19 vaccines, but Brazilian President Jair Bolsonaro is not. “I’m not going to take it. It’s my right,” he said in a Nov. 26 social media...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Kuna wakati Tanzania enzi za Rais Julius Nyerere tulikuwa tunachukuliwa kama kinara wa misimamo mikali ya dunia ya tatu dhidi ya wakubwa walioendelea. Halafu tukazorota, mpaka tukapelekeshwa mputa...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Marekani imetangaza mipango ya kurejea katika Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa, ambamo rais wa zamani Donald Trump aliitoa karibu miaka mitatu iliyopita. Akitangaza hatua hiyo...
1 Reactions
4 Replies
928 Views
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imetangaza mlipuko mpya wa ugonjwa wa Ebola katika jimbo la Kivu Kaskazini hapo siku ya Jumapili baada ya mwanamke mmoja kufariki kwa ugonjwa huo, ikiwa ni miezi...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi ametoa msamaha kwa raia wa nchi hiyo waliojiunga na wanamgambo wa kiislamu katika jimbo lenye utajiri wa mafuta lililopo kusini mwa nchi hiyo la Cabo Delgado. Rais...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Christophe Mboso N'Kodia Pwanga mwenye umri wa miaka 78 ndiye Spika mpya wa Bunge, nchini DRC. Wadhifa huo ameupata baada ya kupata wingi wa kura kutoka kwa wabunge katika uchaguzi uliofanyika...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
SYDNEY - Clinical trials of a COVID-19 vaccine being developed by Australia’s University of Queensland in partnership with biotech company CSL have been abandoned after participants returned false...
0 Reactions
3 Replies
863 Views
(E-Commerce Research Center) 1. IBM PC 5150 computer hardware in 1981 IBM company the first personal computer IBM PC 5150 is the originator of modern PC, marking that personal computer has...
0 Reactions
2 Replies
724 Views
Waziri Mkuu wa Sudan, Abdalla Hamdok amevunja Baraza la Mawaziri na anatarajiwa kutangaza jipya leo. Taarifa ya Ofisi yake imesema Mawaziri watasalia Ofisini hadi wapya watakapochukua madaraka na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Things are getting worse and worse while the authorities are still reluctant to even warn the people at least to know that the enemy is in their livelihoods, And now the "mosquito" has landed on...
5 Reactions
18 Replies
1K Views
Afrika Kusini imesitisha kwa muda kampeni yake ya chanjo dhidi ya COVID-19 Jumapili baada ya utafiti mpya kubaini kuwa chanjo ya AstraZeneca haifanyi kazi vizuri dhidi ya aina mpya ya virusi...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Despite the Covid-19 death count in the United States rapidly accelerating, a startlingly high percentage of health care professionals and frontline workers throughout the country—who have been...
0 Reactions
1 Replies
598 Views
Wanadiplomasia kutoka Ujerumani, Sweden na Poland wamefukuzwa Urusi baada ya kuungana katika maandamano yaliyofanyika kumuunga mkono Mpinzani Alexei Navalny aliyefungwa mapema wiki hii Wizara ya...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Baada ya kukaa kizuizini kwa zaidi ya miaka minne, mwandishi wa habari wa Al Jazeera, Mahmoud Hussein ameachiwa siku ya Ijumaa. Hussein, raia wa Misri, alikamatwa mwezi Disemba mwaka 2016 kwa...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
The impenetrable jungle of Rwanda conceals many secrets. Here the Swedish scientists discovered the so-called cemetery of the aliens. First, the archaeologists found their discovery of the ruins...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ni dhahiri kabisa Rais Biden afya yake ya akili imezorota sana. Akiwa anatoa hotuba kasema kuna dozi za ziada bilioni 100 (badala ya kusema milioni 100) na zitakuwa kwajili ya wamarekani 300...
2 Reactions
56 Replies
5K Views
Raia wa Urusi Yuri Dushechkin amefariki akiwa Live YouTube kwenye challenge ya kunywa pombe. Alikunywa lita 1.5 ya Vodka kwa mara moja na ghafla akaanguka huku Watu zaidi ya 150 wakimfatilia...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom