International Forum

News and Stories from rest of the World
Nchi ya Myanmar, imetanga kuufunga mtandao wa kijamii wa Facebook, ikiwa ni siku chache tu kupita tangu wanajeshi waipindue serikali iliyochaguliwa kidemokrasia. Maofisa nchini humo wanasema...
1 Reactions
2 Replies
927 Views
Tunajadili kwa jazba na wengine kuchochea na kutaka waletewe chanjo. Hii ni hisia mbaya za kuamini dunia ina matatizo hata kama sisi hali siyo mbaya kiasi hicho. Swali langu kuu ambalo linanipa...
5 Reactions
21 Replies
3K Views
Rais wa Malawi Lazarus Chakwera ametangaza mipango ya adhabu kali dhidi ya wale wanaofanya unyanyasaji wa kijinsia, baada ya kuongezeka kwa kesi na aina hiyo wakati wa janga la corona. Katika...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Utawala wa Rais wa Marekani Joe Biden umesema unafikiria kuzuia Trump asipewe taarifa za siri nzito za Nchi hiyo ambazo kwa kawaida Marais Wastaafu huwa wanapewa dokezo, Msemaji wa Ikulu Marekani...
3 Reactions
56 Replies
5K Views
Purukushani za hapa na pale zilitokea baaada ya walinzi wa Putin kukataa kuweka suitcase zao zisipite kwenye scanner, inasemekana kwamba suitcase hizo zilikuwa zina code za siri za silaha za...
3 Reactions
13 Replies
3K Views
Nchi za Ulaya na Marekani hawataki kuamini na kupokea ukweli kwamba chanjo ya Covvid 19 kutoka Urusi ni bora ziaidi ya chanjo zao. Wazungu wa Ulaya wanaona aibu kuikubali.
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Wataalamu wa siasa wanahofu kua iwapo Joe Biden na chama chake hawatafanya mabadiliko makubwa basi Trump anaweza kurejea kwenye urais mwaka 2024 bila shida. Wachambuzi wanasema Kwa miaka zaidi ya...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Catholic nuns running a children's home in #Germany had allegedly rented out orphaned boys to businessmen and priests, who committed horrific acts of rape and sexual abuse, a secret report...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Iran itatuma sataliti zaidi katika anga za mbali kwa kutumia kombora jipya + Video Mkuu wa Kamandi ya Majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema nchi hii imeweza kupata mafanikio makubwa...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Mwanzilishi wa Amazon, Jeff Bezos ataachia wadhifa wa Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni hiyo na kuwa Mwenyekiti, hatua ambayo amesema itampa muda na nguvu za kuelekeza jitihada zaidi kwenye biashara...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Habar JF, Mapinduzi ya kijeshi ya nchi ndogo ya Myanmar yameshika headline kwenye vichwa mbalimbali. Ambayo yamempindua kipngozi wa kidemokrasia Suu Kyii, mwanamke aliyeongoza taifa hilo kabla...
2 Reactions
4 Replies
891 Views
WED FEB 3, 2021 / 11:16 AM EST Swiss delay AstraZeneca COVID vaccine approval, order more shots from others ZURICH (Reuters) - Switzerland has withheld approval for AstraZeneca's COVID-19...
0 Reactions
2 Replies
576 Views
Hali mbaya Marekani; wenye maambukizi ya corona wapindukia milioni 27. Tovuti ya upashaji habari ya Worldometers imeripoti kuwa, watu waliopatwa na maambukizi ya kirusi cha corona nchini Marekani...
0 Reactions
6 Replies
946 Views
Katika hali ya Uhasama inayoendelea baina ya US na Iran Leo Iran imeitungua Ndege isiyokua na Rubani aina ya Global Hawk uko mashariki mwa Iran maeneo ya Jask! RQ-4 Global Hawk ni aina ya Drone...
17 Reactions
338 Replies
35K Views
Reuters) - The impeachment proceeding against Donald Trump on a charge of inciting the Jan. 6 attack on the U.S. Capitol has fueled speculation online that he could lose some of the benefits...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Sylvestre Ilunga Ilunkamba amejiuzulu rasmi kama waziri mkuu wa Jamuhuri ya kisemokrasi ya Congo, na kuwasilisha barua yake kwa Rais Félix Tshisekedi. Bw Ilunga, ambaye ni mshirika mkuu wa...
2 Reactions
29 Replies
4K Views
Wapalestina watungua ndege ya kijasusi ya Israel Feb 01, 2021 08:19 UTC Wanamapambano wa Kiislamu wa Palestina, usiku wa kuamkia leo wametungua ndege moja isiyo na rubani ya utawala wa Kizayuni...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Waendesha mashtaka wa-Democratic walishtaki maneno na vitendo vya Trump kabla ya shambulizi yalipelekea wafuasi wake kushambulia jengo la bunge wengine wakiwa na silaha wakijaribu kuzuia utaratibu...
0 Reactions
5 Replies
795 Views
Rais Joe Biden amesaini mikakati mitatu ya kiutendaji inayolenga kuziunganisha familia za wahamiaji zilizotenganishwa na sera ya Donald Trump. Vilevile, ameagiza ajenda pana ya uhamiaji ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom