Serikali ya Zimbabwe inazidi kugonga vichwa vya Habari kufuatia ukiukaji wa haki za binadamu. Ni kulingana na ripoti ya HRW
Wanaharakati Zimbabwe wanaishutumu serikali ya Rais Emmerson Mnangagwa...
Habari!
Mwanasayansi wa nyuklia wa Iran aliyeuawa karibu na mji mkuu Tehran mwezi Novemba mwaka 2020, aliuawa kwa bunduki ya otomatiki iliyoingizwa nchini humo na shirika la ujasusi la Israel...
Katika muhula huu, Rais Biden ameweka rekodi yake mpya ya aina yake isiyo na mpinzani kwa kuifanya channel ya youtube ya Ikulu ya Marekani kupata dislikes nyingi kutoka kwa wananchi pale kila...
Jipya limeibuka wamarekan kulalamika account zao za instagram kufollow account ya Biden bila ruhusa yao.
Kwa tafiti zilizofanywa ni kwamba ilikuwa ni aibu kwa Biden kuwa na followers chini ya...
Maziar Motamedi
7 Feb 2021
Tehran, Iran – Iran’s representative to the United Nations has protested recent Israeli military action threats against the country, calling on the intergovernmental...
Tamasha la Sikukuu ya Mwaka mpya wa jadi wa China ni tafrija kubwa kwa wachina nyumbani na nje ya nchi. Ni alama muhimu kabisa ya kujumuika kwa familia na marafiki.
Tamasha hili huleta kumbukumbu...
Kwa upande wa Tanzania raisi wa nchi hiyo Makufuli alipokuwa akizindua shamba la miti kwao Chato alisema tuendelee kuchukua tahadhari ya ugonjwa lakini hakuna haja ya kujawa na hofu na kwamba watu...
Hii ni habari mpya kabisa kutokea nchini Marekani wakati Dunia ikipambana na kusambaa kwa Virusi vya Corona
Wanasayansi wa nchi hiyo sasa wanasema uvaaji wa Barakoa moja hautoshi kuzuia...
Zikiwa zimepita siku chache tangu Rais wa Tanzania aonye na kuomba Watanzania kutotumia chanjo za Corona hadi tuwe na uhakika na ubora wake, Afrika kusini wamesitisha utoaji wa chanjo za...
Mzee Biden amekuwa maarufu kwa hii tabia yake mpya ya kuchomoka nduki akimaliza hotuba, Hataki kuulizwa maswali kabisa.
Akimaliza kusoma hotuba yake kwenye telepromter, huwa anaondoka bila...
Ukisikia uoga wa Israel linapokuja suala la kuishambulia ndani ya Iran ndo hapa
Wanaelewa uwezo wa Iran wa kuifanya Israel ibaki magofu na chakavu kama walivyoweza kuzichakaza kambi za marekani...
Bunge litafungwa kwa wiki tatu kutokana na ongezeko la visa vya CoronaVirus miongoni mwa Wabunge na Watumishi. Imeelezwa kuwa, Watumishi wapatao 151 na Wabunge 17 wamepata maambukizi
Spika Alban...
Shirika la Afya Duniani (WHO) limeendelea kupendekeza matumizi ya Chanjo ya AstraZeneca hata katika Nchi ambazo zikabaliana na aina mpya ya Kirusi cha Corona.
WHO imesema Chanjo hiyo inaweza...
February 9, 2021
Bujumbura, Burundi
The Ethiopian Head of State in an official two-days visit in Burundi
The Federal Democratic Republic of Ethiopia Head of State made an official two-days visit...
Mahakama Kuu Nchini humo imeamuru Mamlaka kuzifungua akaunti za benki za watu 20 waliohusishwa na maandamano makubwa ya kupinga ukatili unaofanywa na Polisi
Awali Benki Kuu ilisema akaunti hizo...
Baraza la Seneti lilipiga kura 56 kwa 44 za kuendelea na kesi dhidi ya Trump, likizipinga hoja za mawakili wake kwamba Rais hawezi kushtakiwa pindi anapomaliza muda wake.
Maseneta ambao...
Iran ndiyo taifa kubwa na lenye nguvu middle East ukiondoa ISRAEL. Hivi karibuni kumekuwa na tetesi ya kushambuliana
Kwanza israel [emoji1134] imekua ikihisiwa kutaka kuishambulia Iran
Sababu...
Mkuu wa Ujumbe wa Shirika la Afya (WHO) uliokwenda Wuhan Nchini China kuchunguza asili ya janga la Virusi vya Corona amesema hakuna uwezekano kuwa vilitokea Maabara.
Peter Ben Embarek kazi zaidi...
Polisi katika Mji Mkuu wa Nay Pyi Taw wametumia maji ya kuwasha kwa watumishi ambao wanaendesha mgomo nchi nzima kuoinga mapinduzi ya kijeshi.
Maelfu ya watu wakiwemo Walimu, Wanasheria, Maafisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.