International Forum

News and Stories from rest of the World
Rais Evariste Ndayishimiye apokea ujumbe wa UNHCR uliofika kumuona Mwakilishi wa UNHCR Abdul Karim Ghoul ktk mazungumzo yake na Mh Rais Evariste Ndayishimiye amebainisha kuwa kutokana na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Rais Cyril Ramaphosa ametangaza kulegeza baadhi ya masharti yaliyowekwa kudhibiti maambukizi. Fukwe zitafunguliwa, marufuku ya mauzo ya pombe imeondolewa na mikusanyiko midogo ya kidini nayo...
1 Reactions
2 Replies
998 Views
Mtandao wa kijamii wa Twitter umezifungia kwa muda akaunti za baadhi ya watu waliojihusisha na maandamano ya kutaka mabadiliko katika sekta ya kilimo, ikiwamo akaunti ya gazeti maarufu la Caravan...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Rais wa Marekani, Joe Biden ametishia kuirejeshea Myanmar vikwazo baada ya Jeshi la Nchi hiyo kuchukua madaraka, huku likikataa kukubali matokeo ya Uchaguzi uliofanyika Novemba 2020. Biden...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nafahamu kwamba makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lissu kwa sasa anaishi Ubelgiji. Kupitia taarifa ya habari ya Al jazeera wameonekana wananchi wa Ubelgiji wazungu na wale wenye asili ya...
9 Reactions
47 Replies
4K Views
Wanamgambo wa Al-Shabaab nchini Somalia wamehusika katika makabiliano ya polisi na vikosi vya usalama katika hoteli moja iliyopo mji mkuu wa Mogadishu. Kundi la Al-Shabab limekiri kutekeleza...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mhubiri aliyejulikana kama Nabii Pierre Barakikana wa kanisa la kievanjelisti la Emmanuel alikamatwa na kufungwa gerezani tarehe 8 mwezi wa sita mwaka 2019. Kama mkazi wa wilaya ya Bubanza, kijiji...
5 Reactions
30 Replies
5K Views
Sudan Kusini imepanga kubadili muda kuanzia Februari 1 ambapo itakuwa saa moja nyuma ya saa za Afrika Mashariki Wanarudi kwenye ukanda wa muda wa UTC +2 ambapo kwa sasa wapo UTC +3. Katibu wa...
5 Reactions
75 Replies
11K Views
Maoni Mtoto wa Mkulima 02/02/2021 Katika kuperuzi peruzi mtandaoni, nikakutana na habari ya kushtusha japo sio ya kushangaza, kupitia ukurasa wa facebook wa Jamiiforum juu ya nchi ya Rwanda...
0 Reactions
2 Replies
918 Views
Friday, January 29, 2021 I WENT TO WASHINGTON, DC. TO ATTEND BIDEN’S INAGURATION CEREMONY AND IT JUST BROKE MY HEART BY MOHAMED MATOPE Yesterday, my wife and I went to Washington DC to witness...
2 Reactions
6 Replies
888 Views
Jeshi la Myanmar limethibitisha kulidhibiti taifa hilo baada ya kumuweka kizuizini kiongozi wa taifa hilo Aung San Suu Kyi pamoja na wanasiasa wengine mapema hii leo. Baada ya kumkamata kiongozi...
6 Reactions
46 Replies
5K Views
Nigeria imesema iko tayari kushirikisha ujuzi wake wa mapambano dhidi ya wanamgambo wa Kiislamu Nigeria imejitolea kuisaidia Msumbiji katika mapambano dhidi ya wanamgambo wa Kiislamu katika jimbo...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
China imetumia lugha kali zaidi katika kuamiliana na Taiwan kwa kuonya kuwa, kisiwa hicho kujitangazia uhuru ni sawa na kutangaza vita na kwamba vikosi vya jeshi la nchi hiyo vimesha jiweka tayari...
5 Reactions
41 Replies
5K Views
Amnesty International tawi la Nigeria inaripoti kuwa wakulima 43 wa Kijiji cha Maiduguri kilichopo Jimbo la Borno. Wakulima 43 wa Jimbo la Borno, Nigeria wamechinjwa katika mashamba ya mpunga...
4 Reactions
144 Replies
11K Views
Chanjo ya Iran ya COVID-19 inaweza kukabiliana na 'kirusi cha Uingereza' Jan 30, 2021 12:16 UTC Chanjo ya Iran ya COVID-19 au corona ambayo majaribio yake yanakaribia kumalizika ina uwezo wa...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Chama kikuu cha upinzani katika Jamhuri ya Congo kimesema kitasusia uchaguzi uliopangwa kufanyika Machi 21. Kwenye uchaguzi huo Rais Denis Sassou Nguesso aliyepo madarakani kwa miongo kadhaa...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Rwanda na Burundi zimeunganishwa na Tanzania, Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo na Afrika Kusini ambazo pia zimewekewa marufuku hiyo na Uingereza. Hatua hiyo inalenga kudhibiti kuenea kwa aina...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Wizara ya Afya ya Zimbabwe imetangaza kuongeza Lockdown ambapo baa, migahawa, sehemu za mazoezi na biashara zisizo na umuhimu zitafungwa Baadhi ya watu ameonekana kutofuata masharti ya Afya hivyo...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Pope Francis to have COVID-19 vaccine, says it is the ethical choice for all By Reuters Staff VATICAN CITY (Reuters) - Pope Francis said on Saturday he planned to be vaccinated against COVID-19...
2 Reactions
34 Replies
2K Views
Baba Mtakatifu Francisko tarehe 26 Januari 2021 amehudhuria Ibada ya Misa Takatifu kwa ajili ya kumwombea Prof. Fabrizio Soccorsi aliyekuwa daktari wake binafsi kuanzia mwaka 2015-2021. Na Padre...
5 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom