Baada ya zaidi ya nusu mwaka ya mchaka mchaka wa virusi vya corona wanasayansi wamekuwa hawana jibu moja kuhusiana na ugonjwa huo na kila njia wanayoelekea inawapeleka upande tofauti na...
Rais Joe Biden wa Marekani ameomba msamaha baada ya baadhi ya wanajeshi waliokuwa wamewekwa kulinda eneo la Capitol kupigwa picha wakiwa wamelala katika eneo la kuegesha magari.
Zaidi ya...
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema Mataifa manne barani Afrika yameripoti aina ya Kirusi cha COVID19 ambacho kiligundulika kwa mara ya kwanza Afrika Kusini. Nchi hizo ni Botswana, Zambia...
Serikali imetangaza kufuta usajili wa Chama tawala katika Jimbo la Tigray, TPLF. Hatua hiyo inathibitisha kuwa Chama hicho hakitashiriki katika Uchaguzi ujao.
Bodi ya Uchaguzi imesema imefanya...
(CNN) — The words "vaccine passport" have a reassuring ring to them, perhaps conjuring up the image of a sleek, embossed document with watermarked pages and official stamps of approval. Flourished...
Mzuka wanajamvi!
Rais wa Iran Hassan Rouhani ana mpango wa kuishtaki 'TBC' ya Iran Iran Broadcasting Corporation (IRIB),kwa kumtukana na kumkosea heshima.
Rais huyo ambaye anafahamika kwa upole...
Kesi ya Rais wa zamani wa Marekani itaanza wiki ya pili ya Februari katika Bunge la Seneti, baada ya kuwasilishwa mashitaka katika taasisi hiyo mapema wiki ijayo, maafisa wa chama cha Democratic...
Wanabodi,
Siku moja tu baada ya kuachia nafasi yake serikalini, Waziri wa mambo ya nje (secretary of state) wa Marekani aliyemaliza muda wake, Mr Mike Pompeo, pamoja na jamaa wangine waliokuwa...
Tired of city life? what about getting away to a wide-open town? A spot with outside air, new water, and numerous wonderful scenes. Fortunately, Europe is home to the absolute most pleasant towns...
Biden kuondoa vizuizi vya viza kwa waislamu,
Rais mteule wa Marekani, Joe Biden, atatia saini amri za kupinga maamuzi kadhaa ya Donald Trump ikiwemo "marufuku ya viza kwa nchi za Kiislamu" na...
This was confirmed this Friday by government spokesperson Nick Mangwana.
Matiza is said to have been hospitalised this past week.
He is also former Mashonaland East governor and was current Zanu...
Hakika madaraka ni matamu sana.
Katika hotuba yake ya mwisho kama Rais wa Marekani Trump ameaga na kuwaahidi Wamarekani na dunia kwa ujumla kwamba atarejea kivingine soon.
Hakika Tanzania tuna...
The world has more riding on Joe Biden than any US president in decades
Here's where the UK-US special relationship could go under Biden 04:21
(CNN)On Wednesday, Joe Biden will be sworn in as the...
Wakuu,
Kama tunavyojua tayari Rais wa Marekani ameapishwa na tayari ameanza kazi.
Pamoja na mambo mengine ya kujifunza kwenye tukio la kuapishwa kwake lakini moja wapo ni Biblia aliyotumia...
Rais wa 46 wa Marekani Biden ameanza kazi jana kwa kutengua sera za Trump.
- Mojawapo ni kurudi kwenye mkataba wa mabadiliko ya hali ya hewa.
- Kujiunga tena na shirika la afya Duniani WHO.
-...
Kuapishwa kwa Joe Biden kama Rais wa Marekani leo kumefuatiliwa na wananchi wa dunia na pengine imefurahiwa na wengi kwa vile walio wengi wanatarajia mabadiliko ya utekelezaji wa sera za Marekani...
Taifa la Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR) limetangaza hali ya tahadhari kwa siku 15 wakati Majeshi na Vikosi vya Umoja wa Mataifa (UN) vikijaribu kukabiliana na makundi ya waasi wanaotaka kupindua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.