Watu watatu wamehukumiwa adhabu ya kifo kwa kumkashifu mtume Muhammad kwenye mitandao ya kijamii. Kitendo hicho ni kufuru kwa mujibu wa Katiba ya Pakistan na adhabu take ni kifo.
========...
Miundo mbinu ya reli ikiwemo stesheni za reli, nyaya za umeme , hata lifti ktk majengo ya stesheni za reli nchini Afrika ya Kusini imekwapuliwa na vibaka waliowasili wakiwa na malori hivyo kufanya...
The depopulation concept on videos is directed to the whole world. Africa is part of the order. They want to deal with the worthless of Africans in economy. Business with African people is...
Mwaka 2008 Obama alipata kura 69m (popular votes) akashinda uraisi wa marekani, mwaka 2012 kura za Obama zilipungua alipata kura 66m lakini alishinda uraisi kwa awamu ya pili.
Tuje kwa Trump...
Wengi tumepigwa butwaa baada ya mitandao ya kijamii kama twitter na youtube kumfungia Raisi Donald Trump account zake huku wakati huo huo account za ma dictator zikiwa bado zinapumua bila bugudha...
Kutokana na ongezeko la maambukizi Nchini humo, Shule zinatarajiwa kufungwa kwa angalau siku 15 kuanzia leo Januari 18, ikiwa ni harakati za kudhibiti mlipuko
Katika hotuba yake kwa Taifa, Rais...
Ghasia kati ya Polisi na Waandamaji zimeendelea katika Mji Mkuu wa Tunis na maeneo mengine Nchini humo kwa siku ya pili mfululizo huku Mamlaka zikikamata watu zaidi ya 200 wanaotuhumiwa kuharaibu...
Kiongozi wa Kanisa Katoliki ulimwenguni Papa Francis Jumatatu amefanya marekebisho rasmi ya sheria ya kanisa hilo ili kuruhusu wanawake kuchukua majukumu zaidi kinyume na ilivyokuwa hapo awali...
Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Dkt. Tedros Ghebreyesus amesema si sawa kwa Vijana na watu wenye Afya njema katika mataifa tajiri kupata chanzo za COVID-19 mapema kuliko watu walio kwenye...
Maisha kila kukicha kwa nchi za ughaibuni ni kutaka kufanya zaidi ya mawazo ili kisicho wezekana kiwezekane.
Huku ujerumani jopo la wataalamu wamegundua kijiroboti ambacho kitawa saidia wale...
Jamhuri ya Ajentina | Argentine Republic au República Argentina
Argentina ni taifa linalopatikana bara la Amerika Kusini likiwa na mipaka baina ya Bolivia, Brazil, Chile, Paraguái, Uruguay na...
Timu kutoka Shirika la Afya Duniani (WHO) imewasili katika Jiji la Wuhan Nchini China ili kuanza uchunguzi wa asili ya Ugonjwa wa COVID19 ambao umeathiri watu zaidi ya Milioni 87 Ulimwenguni kote...
Bilionea wa kampuni kubwa ya vifaa vya kielektroniki nchini Korea Kusini Lee Jae-yong amerejeshwa gerezani hii leo baada ya mahakama nchini humo kumhukumu kifungo cha miaka miwili na nusu kutokana...
Hawa Twitter wamemfungia Trump account wakitoa sababu kuwa anahatarisha usalama na kunajisi demokrasia. Lakini Hiyo hiyo Twitter imekuwa inawaacha wanaharakati wa Afrika hata kama watawala wake...
Dustin Higgs, mfungwa aliyekuwa amehukumiwa kifo katika gereza la Indiana, amenyongwa katika utekelezaji wa mwisho wa adhabu hiyo chini ya utawala wa wa Rais wa Marekani Donald Trump siku chache...
Madaktari katika Jimbo la Darfur wanasema zaidi ya watu 80 wamepoteza maisha na mamia kujeruhiwa ndani ya siku mbili kufuatia mapigano baina ya makundi ya kikabila yaliyotokea eneo la El Geneina...
Katika pitapita yangu mitandaoni, nikakutana na taarifa hii kwenye gazeti maarufu la THE GUARDIAN yenye kichwa cha habari: South Korea's population falls for first time in its history | South...
Rais mteule wa Marekani, Joe Biden anayetajai kuapishwa Januari 20, ameandika kuwa miaka minne ijayo ni miaka ya kuirejesha demokrasia.
Ametaja kutakuwa na upya wa siasa ambayo itakuwa inatatua...
Serikali imesema ipo katika hatua za mwisho za mazungumzo kwa ajili ya kupata chanjo ya ugonjwa wa covid- 19 kwa ajili ya wananchi.
Kwa mujibu wa Wizara ya Afya, mazungumzo hayo na kampuni ya...
The “mainstream”, a.k.a Satanic media, have been lying about everything that really matters.
They have a large share of the population believing the opposite of the truth:that is lies.
We know...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.