IAEA yathibitisha mpango wa Iran wa kuzalisha uranium Shirika la kimataifa la Nishati ya Atomiki (IAEA) limethibitisha mpango wa Iran wa kuzalisha uranium.
Mwakilishi wa nchi hiyo katika IAEA...
Rais Lazarus Chakwera ameomba msaada kusaidia kudhibiti Ugonjwa huo akisema kiasi cha Dola za Marekani Milioni 220 zinahitajika, akisisitiza zitatumika kikamilifu na watakaofanya ubadhirifu...
Katika karne ya 19 wakati huo China ikitawaliwa na mfalme (Kipindi cha Qing Dynasty), Serikali ya China ya wakati huo ilitafuta fedha za kujenga reli kutoka jimbo la Hunan hadi mji wa Guangzhou...
Mzuka wanajamvi!
Donald Trump ataanzisha chama chake. Kitakuwa na nguvu sana na wafuasi wengi sana na wengi watakihama republican na kujiunga nacho.
Kwa mara ya kwanza utakuwa mwisho wa vyama...
Armed men who are said to be ADF rebels made an incursion into the Masini village of Badibongo Siya groupement in Irumu territory, in Ituri province on Thursday, January 14, 2021.
If the toll...
Wanawake 15 na watoto sita waliokuwa wametekwa na Wanamgambo wa Islamic State katika jimbo lenye utajiri wa mafuta la Cabo Delgado nchini Msumbiji wameokolewa na jeshi.
Wengi wao walikuwa...
Austrian astronaut jumped from 128000 feet height from spaceship and traveled for 1236 kilometre reached earth within 4 minutes 5 seconds.
He saw earth rotating clearly. Please watch the video...
Ujenzi huo utaanza miezi minne ya mwanzoni mwa mwaka huu wa 2021. Usafiri wote wa umma utakuwa chini. Mwanamfalme Salman ametangaza lengo lake la kuanzisha mradi wa ujenzi wa mji usiokuwa na...
Kiongozi wa Ujerumani mama Angela Markel amepinga uamuzi wa Twitter kumfungia Donald Trump kwa kusema utaratibu huo haukubaliki.
Markel amesema vyombo vya ulinzi na usalama ndivyo vilitakiwa...
The US House of Representatives has impeached President Donald Trump for "incitement of insurrection" at last week's Capitol riot.
Ten Republicans sided with Democrats to impeach the president by...
Jeshi la Ethiopia limetangaza kwamba limemuua waziri wa zamani wa mambo ya nje Seyoum Mesfin, mmoja wa wanachama waanzilishi wa chama Tigray People’s Liberation Front (TPLF).
Bw.Seyum, ambaye...
Shirikisho la Wafanyabiashara wa India (CAIT) limeiomba serikali izuie mtandao wa WhatsApp, Facebook na Facebook Messenger kutokana na sera mpya ya Faragha.
Wafanyabiashara wamemuandikia Waziri...
The election of Donald Trump was more a rejection of Hillary Clinton candidature than his candidacy overall acceptance. Most voters in the rusty belt states starting with Pennsylvania - Joe Biden...
Wanaharakati wawili waliokamatwa Septemba 2020 wakati wa maandamano ya kupinga nia ya Rais Alpha Condé's kuwania muhula wa tatu wamehukumjwa kifungo cha mwaka mmoja na kutozwa faini ya Dola za...
Habari!
Shinikizo jipya sambamba na mashitaka ya kumuondoa madarakani Rais wa Marekani Donald Trump vimeibuka upya na kushika kasi baada ya vurugu zilizozuka hivi karibuni bungeni, Washington DC...
Sasa ni wazi kabisa Urais wa Donald Trump unaisha kwa aibu na fedheha kubwa.
Kitendo cha kuhamasisha wafuasi wake jana kuvamia jengo la Bunge la Congress (Capitol Hill) ili kuzuia bunge lisifanye...
Lisa Montgomery - mfungwa pekee wa kike aliyekuwa anakabiliwa na hukumu ya kifo nchini Marekani- amenyongwa baada ya kutekeleza mauaji.
Alidungwa sindano ya sumu katika gereza la Terre Haute...
Waziri wa Serikali za Mitaa, Lingson Belekenyama na Waziri wa Usafirishaji, Sadik Mia wamefariki Januri 12 asubuhi kutokana na COVID19.
Rais wa Malawi, Lazarus Chakwera ametangaza siku tatu za...
Burundi yafunga mipaka yake baada ya kuongezeka kwa wagonjwa wa corona.
Rais wa Evariste Ndayshimiye aliwataka Warundi wajitokeze kupimwa corona.
Burundi imetangaza kufunga mipaka yake ya ardhi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.