International Forum

News and Stories from rest of the World
Kila mwaka huko kaitika Kisiwa cha Sulawesi, Tana Toraja, Indonesia, wafu hufukuliwa kutoka makaburini ili kubadilishwa nguo na kuwatembeza Kijini hapo, watu wa eneo hilo wa kabila la Toraja wana...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Indonesia has called for better Boeing cockpit systems and oversight by U.S. regulators after design flaws helped bring down a Lion Air 737 MAX jet - a crash that was compounded by errors from...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kume kuwa na fununu kwamba president Trump anaweza kujiunga tena Myspace baada ya kupigwa kufuli na social media nyingine. Vile vile mtoto wake wa kiume Trump Jr amedokeza wanaweza kuanzisha...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Serikali ya Burundi imetangaza kuwa itafunga mipaka yake ya majini na ardhini kuanzia Jumatatu ijayo, ili kudhibiti maambukizi ya virusi vya corona ambayo yameonekana kuongezeka wiki hii. Hatua...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un ameliita taifa la Marekani kuwa ni adui yao mkubwa na amezungumza kuwa mipango yao ya nyambizi zenye kutumia nyuklia imeshakamilika Korea Kaskazini...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Yemen yaionya Israel isijaribu kuivamia, yajibu vitisho vya Tel Aviv Wizara ya Mambo ya Nje ya Serikali ya Uokovu ya Yemen imetahadharisha kuwa, vita vikubwa vitaibuka katika eneo la Asia...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Wanajamvi, Kauli za wakuu wa nchi ni nzito sana!Na huwa kauli zozote wanazozitoa, huwa zinachukuliwa kwa uzito wa juu. Iwe ni kutamka kwa mdomo, ama hata kupitia mtandao mfano twitter. Kwa kiasi...
6 Reactions
29 Replies
6K Views
Revered women’s shoe designer Sergio Rossi has died of coronavirus complications at the age of 84, according to the Maurizio Bufalini Hospital in Cesena, in northern Italy. A source at the...
2 Reactions
2 Replies
972 Views
Mshirika huyo ambaye alikuwa mtu wa karibu na Paulo Kagame anayeenda kwa Jina la Paulo Muvunyi alikamatwa siku ya mkesho wa Christmas na hadi sasa bado anashikiliwa. Kachero huyo ambaye pia no...
7 Reactions
53 Replies
7K Views
Kwa wale wenye umri kama wa kwangu enzi hizo watakuwa na uzoefu wa majina ya miji ya kipalestina ambayo kwa sasa yote imezingirwa na makazi ya mayahudi wanaohamishwa kutoka mataifa mengine duniani...
8 Reactions
144 Replies
14K Views
Inasemekana ameanza kuandaliwa kutokana na halihalisi ya mwenye Mamlaka? Inasemekana ameongezewa hata Ulinzi pamoja na kuwepo mabadiliko mengine ya kiitifaki?
5 Reactions
74 Replies
14K Views
"If we want to bring about real change, then the choice isn’t between protest and politics. We have to do both," wrote the former president. After releasing a statement on the police killing of...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Kiongozi mkuu wa kidini nchini Iran, Ayatollah Ali Khamanei amepiga marufuku kuingia kwa chanjo ya korona kutoka ulaya na marekani nchini kwake. Amesisitiza kama kutakua na ulazima basi wataagiza...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei amesema ni marufuku kwa Nchi yake kupokea chanjo ya Corona kutoka Marekani na Ulaya, huku akisema kama kutakuwa na ulazima wataagiza chanjo kutoka...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Chama cha Democratic kimepata ushindi muhimu katika duru ya pili ya uchaguzi wa viti viwili vya Baraza la Seneti katika jimbo la Georgia kwa kunyakua kiti kimoja na kuongoza katika kiti cha pili...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Waziri wa Elimu wa Marekani Betsy DeVos ametangaza kujiuzulu baada ya ghasia zilizotokea mjini Washington Jumatano, pale wafuasi wa Rais Donald Trump walipovamia bunge la nchi hiyo. Katika barua...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Baada ya kikao kilichochukua muda mrefu, hatimaye Bunge la Congress limemthibitisha Joe Biden kuwa Rais wa Marekani na Kamala Harris kuwa Makamu wa Rais kwa muhula unaotarajiwa kuanza rasmi...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
China yajenga mtandao wa kwanza wa mawasiliano ya habari wa Quantum wa ardhi na setilaiti duniani Chuo kikuu cha sayansi na teknolojia cha China kimetangaza kuwa timu ya utafiti ya China...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa amezungumzia vurugu zilizotokea Marekani baada ya wafuasi wa Rais Donald Trump kuvamia jengo la bunge Capitol Hill. Bwana Trump alichochea wafuasi wake...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Rais wa Marekani Donald Trump amesaini amri ya Rais ya kupiga marufuku kampuni nane za China zenye program ya kutoa huduma ya ulipiaji wa bidhaa kwa njia ya mtandao. Programu hizo ni pamoja na...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Back
Top Bottom