Mbunge mmoja wa Zambia amelinganisha usambazi wa mipira ya kondomu nchini humo na glavu kutokana na bidhaa hizo mbili kushindwa kuafikia viwango vya usalama na ‘mauaji ya kimbari’.
‘’Kile ambacho...
Rais Donald Trump wa Marekani amenajisi misingi imara ya demokrasia nchini humu kwa dhana potofu kwamba labda yuko juu ya sheria. Kwa kitendo cha wafuasi wake kuvamia bunge la nchi hiyo kwa nia ya...
Ni miaka miwili toka Rais Donald Trump achaguliwe kuongoza taifa la Marekani. Kauli na maamuzi mengi ya kiongozi huyo yanaashiria kuwa taifa hilo ambalo lilikuwa ndio watetezi wakubwa wa...
Chama cha Wafungwa wa Palestina kimetaka Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) kuweka shinikizo kwa utawala wa Tel Aviv kuwaruhusu Wapalestina katika magereza ya Israel kupewa chanjo dhidi ya corona...
Wapinzani wa Rais wa Marekani Donald Trump katika mabunge yote mawili wametoa wito wa rais huyo kuondolewa madarakani baada ya wafuasi wake waliokuwa wakifanya vurugu kuvamia bunge.
Seneta wa...
Boeing imekubali kulipa faini ya Dola bilioni 2.5 sawa na takriban Tsh. Trilioni 5.7 kwa kosa la kuficha taarifa za kiusalama za ndege 737 Max ambayo ilipata ajali na kuua watu 346
Sehemu ya...
Mahakama ya Uingereza imekataa ombi la Marekani la kumkabidhi kwake mwanzilishi wa mtandao wa WikiLeaks Julian Assange ili akabiliwe na mashtaka ya ujasusi. Mahakama imeamua kuwa hatua ya...
Wakati kura za kumtafuta mwanademokrasi bora katika Bara la Afrika na mchuano mkali ukiwa kati ya Rais wa Tanzania na Rais wa Ghana, leo Rais wa Ghana ndugu Nanaa Akufo Adoo ameapishwa baada ya...
Polisi imethibitisha kuwa mwanamke mmoja aliyepigwa risasi wakati wa vurugu zilizotokea baada ya wafuasi wa Trump kuvamia bunge, amefariki dunia kwasababu ya majeraha aliyopata.
Bado maafisa...
Mwakilishi Nancy Pelosi alichaguliwa tena kuwa spika wa Baraza la Wawakilishi la Marekani Jumapili kwa kipindi chake cha nne, akiwa na wingi uliopungua wa wawakilishi wa chama cha demokrat na...
Geneva, Switzerland (AFP). Zaidi ya waandishi wa habari 600 wamekufa kwa ugonjwa wa corona tangu Machi 1, mwaka jana, taasisi ya kutetea uhuru wa vyombo vya habari imesema ikitoa wito kwa kada...
Mauzo ya magari yanayotumia umeme yafikia 54% ya mauzo ya magari yote mapya huko nchini Norway, ikiwa ni mara ya kwanza kwa nchi hiyo kurekodi mauzo ya juu ya magari hayo dhidi ya yale yatumiayo...
Kwa yanayotokea Marekani hasa baada ya Trump kushika uongozi unaweza kabisa kuyalinganisha na yalitokea Russia mwishoni mwa miaka 80 na mwanzoni mwa miaka 90. Inasemekana Marekani ilimwandaa...
Alizaliwa Disemba 30, 1963
Amehudumu akiwa Mkuu wa Idara ya Ujasusi Marekani (CIA) na sasa ndiye Waziri wa Mambo Ya Nje Wa Marekani
Pamoja na kupokea taarifa nyingi kutoka nchi mbalimbali, Mike...
Facebook ba Twiter wameifuta account za Rais wa Marekani Dornad Trump kwa walichodai kuwa zimekiuka sera na taratibu za mitandao.
Hii naileta jukwaani ila wanaharakati watukanaji wasome na...
Wafuasi wa Rais Donald Trump wameandamana Washington Dc wakizingira Bunge lililopo Capitol Hill
Hatua hiyo imekuja mara baada ya bunge kumuidhinisha Joe Biden kama Rais ajaye wa #Marekani
Trump...
Rais Faustin-Archange Touadera ametangazwa Mshindi wa Uchaguzi wa Rais uliofanyika tarehe 27 Desemba katika Jamhuri ya Afrika ya Kati. Matokeo yaliyotangazwa na tume ya uchaguzi ya nchi hiyo usiku...
Former President George W. Bush will attend President-elect Joe Biden's inauguration.
Bush and former first lady Laura Bush will attend the inauguration, according to Freddy Ford, Bush's chief of...
Kama wengi tunavyojua, mlipuko wa ugonjwa wa coronavirus umeuweka uchaguzi wa Marekani wa mwaka 2020 katika mazingira magumu sana. Ugumu huo unatokana na kauli za mara kwa mara za Bwana Trump za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.