International Forum

News and Stories from rest of the World
Argentina leo hii imezindua kampeni ya matumizi ya chanjo ya Covid-19 iliyotengeneza Urusi ya Sputnik V. Na hivyo kulifanya taifa hilo kuwa la kwanza katika upande wa mabara ya Amerika kutumia...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Mkurugenzi wa shirika la ujasusi la Marekani Bi Gina Haspel atafanya mahojiano na wajumbe wa bunge la Congress juu ya mauaji ya mwanahabari Jamal Khashoggi. Vyombo vya habari nchini Marekani...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Vice President-elect Kamala Harris and her husband, Doug Emhoff, received their first doses of Moderna's coronavirus vaccine on Tuesday, with the incoming vice president getting her shot on camera...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Mchumba wa mwandishi wa Saudia Jamal Khashoggi aliyeuawa nchini Uturuki amewasilisha kesi mahakamani dhidi ya mwanamfalme wa Saudia, akimtuhumu kwa kuagiza mauaji hayo. Inaelezwa kuwa Kashogi...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
France is somewhere I will never even think of going even if I was rich and famous because of the historical facts like this, It's colonial history is worse brutal than all colonists and still...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Pollard, a former intelligence analyst for the US, was detained in 1985 for spying for and providing top-secret intelligence to Israel, serving 30 years of a life sentence before he was paroled in...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Rais Mteule wa Marekani, Joe Biden amesema japokuwa wanajiandaa kuchukua madaraka, Timu yake haipatiwi taarifa inazohitaji ikiwemo zile kutoka Wizara ya Ulinzi Biden amesema wanakosa taarifa...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Chanjo dhidi ya Virusi vya Corona iliyotengenezwa na Kampuni ya AstraZeneca kwa kushirikiana na Wanasayansi wa Chuo cha Oxford imeidhinishwa kwa ajili ya matumizi. Waziri wa Afya, Matt Hancock...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
New Year's Eve 2018: celebrations around the world - [Live Updates] The Guardian: Follow all the celebrations as the clock strikes midnight and countries see out 2018 to welcome in 2019! Happy...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Maafisa wa wanyama pori wamesambaza picha za nyoka mwenye macho matatu aliyepatikana katikati ya barabara kaskazini mwa Auustralia. Shirika la huduma kwa wanyama pori na bustani za wanyama...
2 Reactions
27 Replies
4K Views
Maelfu ya wapinzani wa Waziri Mkuu wa Nepal K.P. Sharma Oli leo hii wamekusanyika katika mitaa ya jiji la Kathmandu wakimshinikiza waziri mkuu huyo kubatilisha uamuzi wake wa kulivunja bunge na...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Mwandishi wa Habari Zhang Zhan amehukumiwa kifungo cha miaka minne baada ya kukutwa na hatia ya kuchochea majibishano na ugomvi, shtaka ambalo mara nyingi hutolewa kwa Wanaharakati Raia huyo wa...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Baraza la seneti la Argentina, limepitisha mswada wa sheria wa kihistoria unaohalalisha uavyaji mimba katika taifa ambalo Kanisa Katoliki limekuwa na ushawishi mkubwa kwa muda mrefu. Argentina...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Chanjo dhidi ya virusi vya corona inayotengenezwa na kampuni ya dawa nchini Uingereza ya AstraZeneca na chuo kikuu cha Oxford imepata mafanikio makubwa katika hatua ya majaribio na sasa iko tayari...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mamlaka zimetoa onyo kwa Migahawa kutumia mbinu mbalimbali kuuza pombe na kukiuka marufuku ambayo imeweka hivi karibuni kufuatia ongezeko la maambukizi ya COVID19. Waziri wa Polisi, Bheki Cele...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Mkuu wa Vituo vya Afrika vya Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa Afrika anasema "tunaendelea kubaki na matumaini" kwamba Tanzania itashirikiana kwa kutoa takwimu zake za COVID-19 hata kama Rais wa nchi...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Mkuu wa shirika la polisi la Ulaya, Catherine De Bolle, amesema visa vya uhalifu wa kuwadhalilisha watoto kingono mitandaoni vinaongezeka kwa kipindi hiki cha vizuizi kutokana na janga la Corona...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Tume ya uchaguzi katika Jamhuri ya Afrika ya kati imesema zaidi ya asilimia 14 ya vituo vya kupigia kura nchini humo, vilishindwa kuendesha zoezi la kura ya urais na bunge kutokana na waasi...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Seneta Norma Durango aliwasilisha muswada bungeni ili kumfanya kiungo huyo, ambaye alifariki wiki mbili zilizopita akiwa na umri wa miaka 60, kuwa kwenye noti ya 1,000 sawa na dola ($ 12, £ 9)...
6 Reactions
10 Replies
3K Views
Wakiwa na lengo la kupindua matokeo ya uchaguzi wa Marekani, mbunge wa baraza la wawakilishi Louie Gohmert na wenzake wa Republican Jumatatu walifungua kesi ya madai dhidi ya makamu wa rais Mike...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom