International Forum

News and Stories from rest of the World
Rais wa Rwanda Paul Kagame ametangaza kwamba nchi yake iliamua kutuma askari katika Jamuhuri ya Afrika ya kati ili kulinda askari wa nchi hiyo waliomo katika kikosi cha umoja wa mataifa ambao...
1 Reactions
85 Replies
7K Views
Tarehe 7 June 1981 Israel ilifanya mashambulizi katika vinu vya nuclear huko Iraq,hii ilikuwa ni shambulizi la ghafla katika mradi huo chini ya Sadam Hussein, hii ilijulikana kama operation opera...
13 Reactions
80 Replies
13K Views
TUZUNGUMZIE UBAGUZI WA RANGI, UBAGUZI WA KIPATO, NA VURUGU NCHINI MAREKANI Leo 10:50hrs 22/11/2020 Mwaka 2016 Dr Ben Carson alialikwa na Rev Shapton kwenye mkutano wa watu weusi kule New York...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Maandamano ya wakulima yanayoendelea nchini India hasa hasa jimbo la Punjab yamepelekea minara ya simu ipatayo 1500 kuharibiwa. Uharibifu huo ni kwa kuiba majenereta yanayoendesha mitambo hiyo na...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Afrika Kusini imerejesha hatua kali za kuzuia maambukizi ya virusi vya corona kwa kupiga marufuku mikusanyiko, marufuku ya kutotoka nje usiku na uuzaji wa pombe wakati maambukizi yakipindukia...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Saudi Arabia imechapisha upya vitabu vyote vya shule za nchi hiyo na kuondoa vipengele vilivyokuwa vikiwataja kwa ubaya Wayahudi pamoja na Wakristo. Baadhi ya vipengele hivyo ni kama vile...
5 Reactions
156 Replies
9K Views
Stealth Cage Match: F-22 Raptor vs. Russia's Su-57 Stealth Fighter (The Winner Is...F-22 Raptor ) by Kyle Mizokami Stealth was a foundational feature of the F-22, and the plane’s stealthy...
1 Reactions
34 Replies
6K Views
Mwanaharakati Loujain al-Hathloul (31) amehukumiwa kifungo cha miaka mitano na miezi nane gerezani. Mahakama imemkuta na Hatia ya makosa mbalimbali ikiwemo kufanya jaribio la kuhatarisha Usalama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama vipi D. Trump atangaze hali ya hatari vyovyote vile lakini asiruhusu marionette Biden awe Rais wa USA, kufanya hivyo ni kuhalalisha wizi wa kura na huo ndiyo mwanzo wa mwisho wa Republican...
6 Reactions
93 Replies
8K Views
On Nov. 3rd, the World had a choice between an autocrat who believes the World is ruled by a destructive force under the NWO and a wrongly assumed experienced statesman who recognizes that the...
1 Reactions
32 Replies
2K Views
Afrika Kusini inakuwa nchi ya kwanza barani Afrika kurekodi visa zaidi ya Milioni moja. Waziri wa Afya, Zweli Mkhize amesema maambukizi yamefikia 1,004,413 Rekodi hiyo inakuja siku chache baada...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Rais wa Marekani Donald Trump ameusaini muswada wa sheria wa dola bilioni 900, unaokusudia kutoa misaada kwa watu walioathiriwa na janga la virusi vya corona. Kwa siku kadhaa rais Trump alikataa...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Beit Bridge ni mpaka unaotenganisha South Africa na Zimbabwe. Kutokana na janga la Corona walianzisha utaratibu wa kuwapima madereva mpakani. Foleni ilikuwa inachukua hadi siku 9 kwa madereva...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
As of early 2018, the Su-57 possessed “inadequate and incomplete sensors, incomplete fire-control systems and self-protection suites, no operational integrated avionics and ... unreliable...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Watoto robo milioni wasiokuwa na makazi nchini Msumbiji katika jimbo la Cabo Delgado ambalo limekumbwa na ghasia wako katika hatari ya kukumbwa na magonjwa ambayo yataharisha maisha yao, huku...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Miji kadhaa nchini Iraq inakabiliwa na kitisho cha kushuhudia upungufu mkubwa wa nishati ya umeme baada ya Iran kupunguza kiwango cha gesi inayosafirishwa kwenda nchini humo. Wizara ya nishati...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Ama kweli maajabu hayatakoma duniani! Na kama ulidhani huko kwa wenzetu hakuna mambo ya kiswahili basi ni vema ukabadili mawazo yako na kusoma kisa kifuatacho hapa chini kilichotokea hivi...
0 Reactions
0 Replies
773 Views
Mzuka Wanajamvi! Ayatollah pressure inazidi na anazidi kupata wakati mgumu Wapanda milima (climbers) 10 wamekufa katika milima ya kaskazini mwa Tehran baada ya dhoruba kubwa ya theluji kuanguka...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kumbe Saddam aligawa mlungula kwa Chirac ili amtete asipate kichapo kutoka kwa Bush na Blair. Hawa Maraisi wa Ufaransa wana njaa sana,ndio yale yale ya Sakorsy alivyokula hela za Ghadaff then...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Rais wa zaman wa Burundi Piere Buyoya amefariki Dunia huko Ufaransa. Taarifa zaidi zitakujia hapa hapa. Chanzo cha kifo chake ni Athari za Ugonjwa wa covid19,Familia Yathibitisha hivyo. Piere...
7 Reactions
56 Replies
7K Views
Back
Top Bottom