International Forum

News and Stories from rest of the World
Hatuna uwezo lakini tufanye kitu hata kidogo kama gesture tu kuwa tupo pamoja Si ndiyo sisi husema kutoa ni moyo!? Wenzetu majanga yamekuwa makubwa sana, tusikae tu kama watu useless. Kila siku...
0 Reactions
2 Replies
669 Views
Aina nyingine mpya ya kirusi cha corona imejitokeza nchini Nigeria. Afisa mkuu wa afya katika taasisi ya kukabiliana na maradhi ya kuambukiza barani Afrika John Nkengasong amesema hayo leo...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Habari za sikukuu ya krismas wanajamvi, Naomba Kama Kuna mtu Ana taarifa ya kilichotokea Nashville,nimeona Kuna picha ya magari yameteketea kwa Moto.Mwenye taarifa kamili atujuze.Asante povu...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Hata mimi siku hizi Demu wangu namshika mkono kama Trump !
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye Alhamisi aliwasahemehe wanahabari wanne wa jarida la mtandaoni Iwacu, ambao walikua wanazuiliwa jela tangu Oktoba mwaka wa 2019. Wanahabari hao Agnes...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Askari watatu wa kulinda amani kutoka Burundi wauawa Jamhuri ya Afrika ya Kati Askari watatu wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa ambao ni raia wa Burundi wameuawa katika Jamhuri ya Afrika ya...
1 Reactions
4 Replies
829 Views
Kwa mujibu wa Vyombo vya Habari nchini humo, takriban watu 11 wamepoteza maisha katika Kijiji cha Pemi kilichopo Kaskazini Magharibi mwa Nigeria baada ya Wanamgambo wa Boko Haram kufanya...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Pakistan yaiambia UAE: Katu hatutaitambua Israel Dec 22, 2020 07:23 UTC Kwa mara nyingine tena, serikali ya Pakistan imesisitiza kuwa, kamwe haitoutambua utawala wa Kizayuni wa Israel licha ya...
0 Reactions
10 Replies
995 Views
Kiongozi wa upinzani nchini Mali Soumaila Cisse, aliyekuwa ametekwa nyara na makundi ya wapiganaji kwa muda wa miezi sita, amefariki dunia. Kulingana na familia yake, Cisse amefariki akiwa nchini...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Qatar yaagiza Manowari 7 za kivita kutoka Italia, akijihami na mgogoro wa Ghuba. Manowari hizo zinagharimu kiasi cha Euro Bilioni 5.9. Qatar imeingia katika mgogoro wa kidiplomasia na mataifa...
3 Reactions
80 Replies
8K Views
Tangu juma tatu mpaka hivi sasa navyo ongea naval vessels(yani moja ya meli za kivita ) ya marekani iko kwenye maji yetu yani EAC Afrika masharikii ikiwachukua wanajeshi wake walioko somalia...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Desemba 20 hadi Desemba 27 hakutakuwa na ndege, meli au gari linalotoka kwenye maeneo yenye aina mpya ya #COVID19 litakaloingia Saudi Arabia. Safari zote za ndege zimefutwa na mipaka imefungwa...
5 Reactions
65 Replies
6K Views
Israel na Morocco zimekubaliana kuweka mahusiano ya kidiplomasia. Mataifa hayo yamekubaliana kuanzisha mahusiano ya kidiplomasia chini ya mkataba uliofadhiliwa na Marekani. Morocco inakuwa taifa...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Serikali ya Malawi imefunga mipaka yake, hakuna kuingia wala kutoka hii ni kufuatia COVID 19. Chanzo: ZODIAC TV kupitia king'amuzi cha AZAM. 23 December 2020. ===== Lilongwe — Malawi will close...
3 Reactions
28 Replies
3K Views
Two cases of 'highly concerning' South Africa virus variant detected in UK Sarah Newey, Tom Collins, Will Brown 2 hrs ago Credit: Two cases of 'highly concerning' South Africa virus variant...
0 Reactions
2 Replies
814 Views
Wanajeshi wa Ethiopia wamewauwa watu 42 wenye silaha wanaoshukiwa kufanya mauaji ya watu 100 kwenye jimbo la Magharibi la Benishangul-Gumuz. Kituo cha kimoja cha televisheni chenye mafungamano na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tume ya Haki za Binadamu nchini humo imesema watu zaidi ya 100 wameuawa na washambuliaji wasiojulikana katika Kijiji cha Bekoji kilichopo Magharibi mwa Ethiopia Zaidi ya watu 30 waliojeruhiwa...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari! Marekani imetangaza rasmi [Jumatatu] kuiwekea vikwazo Uturuki baada ya Ankara kutekeleza mpango wake wa ununuzi wa mfumo wa kijeshi wa ulinzi wa anga ujulikanao kama S-400 kutoka nchini...
5 Reactions
94 Replies
9K Views
Urusi imetuma askari wa ziada 300 wa mafunzo katika Jamuhuri ya Afrika ya Kati (CAR) kukabiliana na kile Wizara ya mashauri ya kigeni ya nchi hiyo imesema "kushuka kwa kiwango cha usalama kwa hali...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Rais mteule wa Marekani Joe Biden jana Jumatatu amepokea chanjo dhidi ya virusi vya corona wakati akitazamwa moja kwa moja kwenye televisheni ili kushawishi wamarekani kuwa zoezi hilo ni salama...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom