Ipo siku mtamkumbuka D.Trump wakati tayari mtakuwa mmeshachelewa, kinachokuja huko mbele ni pure evil, hata Kanisa limeanza kuona, D.Trump ndiye pekee aliyekuwa anawazuia Globalist kuwafanya...
Afrika kusini imeripoti maambukizi ya watu 10,000 kila siku kutokana na virusi vya Corona.
Waziri wa afya wa Afrika kusini amesema kwamba idadi ya maambukizi nchini humo imekuwa ikiongezeka kwa...
Dubai hosted a public Chanukah celebration on Saturday night, which served as a symbol of the powerful impact the Abraham Accords are having on the Middle East.
On Saturday evening, a giant...
Kijana mmoja nchini Zambia alietambukika kwa jina la Kaluwayo Mwika (29) amemuua dada mmoja kwa jina la Mapalo Masiku (21) aliyekuwa mpenzi wake kisha naye pia akajiuwa baada ya kutekeleza tukio...
Death of:
👉 04/02/2020: Daniel Arap Moi - Kenya
👉 25/02/2020: Hosni Mubarak - Egypt
👉 30/03/2020: Joachim Yhombi Opango - Congo
👉 08 / 06/2020: Pierre Nkurunziza - Burundi
👉 07/26/2020: Benjamin...
EU countries withdraw from Iran business forum over journalist’s execution
Organizers have now canceled the event, which was set to start Monday.
European countries have pulled out of a business...
Maiduguri-NigeriaMaiduguri-Nigeria Governor Aminu Bello Masari wa jimbo la Katsina ametangaza kuachiwa kwa wanafunzi 344 wa kiume wa shule ya sayansi nchini humo jana alhamisi,ni baada ya...
Raisi wa Russian Vladimir Putin leo alikuwa Live kwenye screen za nje akifanya kikao cha mwisho wa mwaka na waandishi wa habari , ametangaza kufukuza chombo cha habari kilicho kuja ofisini kwake...
Leo tena tumepata kali ya kufungia mwaka huko Katsina jimbo alilozaliwa raisi wa sasa wa Nigaria mheshimiwa Muhammad Buhari ambaye kwa sasa yuko mapumzikoni jimboni kwao.
Inadaiwa watu waliopanda...
BUNJUMBURA, BURUNDI
MAMLAKA ya Burundi imewakamata maafisa wanne wastaafu wa jeshi na kutoa hati ya kukamatwa kwa Rais wa zamani wa nchi hiyo, Pierre Buyoya kwa tuhuma za kushiriki mauaji ya...
The Supreme court in Burundi has Tuesday sentenced former President Pierre Buyoya in absentia and 18 others to life imprisonment for their role in the assassination of the country’s first...
Senata McConnell alizungumza baada ya wajumbe wa uchaguzi -electoral college kuidhinisha rasmi ushindi wa Bw Biden dhidi ya Trump.
Mdemocrat alishinda kura za wajumbe 306 dhidi ya Trump ambaye...
Majimbo manne Kaskazini mwa Nigeria yamefunga shule zote kufuatia tukio la kutekwa nyara kwa mamia ya wanafunzi katika jimbo la Katsina.
Amri hiyo ya shule kufungwa imetolewa katika majimbo ya...
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres amesema viongozi wa dunia wanapaswa kutangaza ''dharura ya hali ya hewa'' kwenye nchi zao ili kuchochea hatua za kuepusha janga la ongezeko la...
Mkosoaji mkuu wa Rais wa Rwanda Paul Kagame ambaye anazuiliwa gerezani kwa mashtaka ya ugaidi amesema ataishtaki kampuni ya ndege ya kibinafsi ya Ugiriki kwa kuongoza njama ya utekaji na kupelekwa...
Emmanuel Macron(42) amekutwa na #CoronaVirus na ana dalili za wazi hivyo atajitenga kwa siku saba. Waziri Mkuu, Jean Castex pia atajitenga kwa kuwa ni mtu aliyechangamana na Rais.
Mapema wiki...
Mshirika wa kundi la kigaidi la Al-Shabaab anayeshutumiwa kula njama kufanya shambulizi la mtindo wa Septemba 11 nchini Marekani amepelekwa New York kukabiliwa na mashtaka ya ugaidi, wizara ya...
Maandamano dhidi ya ubakaji yamekuwa yakifanyika kote nchini Pakistan katika miezi ya hivi karibuni baada ya ubakai mbaya uliotokea mwezi Septemba.
Rais wa Pakistan amesaini sheria mpya...
Mchungaji Shepherd Bushiri anasakwa nchini Afrika Kusini kwa mashitaka ya utakatishaji wa fedha
Waziri wa Usalama wa ndani ya nchi wa nchini Malawi, Richard Banda, amesaini nyaraka kwa ajili ya...
Iran imetekeleza adhabu ya kifo dhidi ya Mwandishi wa Habari Ruhollah Zam aliyewahi kuishi uhamishoni kutokana na kazi zake za mtandaoni zilizosaidia kuhamasisha maandamano ya nchi nzima kuipinga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.