Mahakama Kuu ya Nchi hiyo imekataa jaribio la kutotambua matokeo ya Uchaguzi Mkuu katika Majimbo manne, licha ya Rais Donald Trump kushinikiza suala hilo.
Kesi hiyo iliyowasilishwa wiki hii...
Iran yazindua kombora jipya la balestiki lifikalo umbali wa kilomita 700 baharini
Kombora jipya la balestiki la baharini lililoundwa na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu IRGC liitwalo...
Qasem Soleimani, Jenerali wa vikosi vya kikurdi vinavyoungwa mkono na Iran, ameuawa na vikosi vya Marekani nchini Iraq. Pentagon imethibitisha kuwa aliuawa kufuatia "amri ya rais".
Hayo...
Rais wa Ghana, Nana Akufo-Addo amechaguliwa kuongoza nchi hiyo kwa muhula mwingine. Amepata 51.6% ya kura zote huku mpinzani wake, John Mahama akipata 47.4%
Mahama ambaye alikuwa Rais kuanzia...
Bunge la Wawakilishi nchini Marekani limepitisha azimio linalolenga kumzuia Rais Donald Trump kupigana vita na Iran. Bunge hilo ambalo linafahamika pia kama Kongresi limepitisha azimio hilo kwa...
Salaam kwenu wana Jamvi!
Ebu angalia hawa matapeli wa Nigeria walivyobobea ktk Utapeli.
THE Independent Corrupt Practices and other related Offences Commission and the National University...
Mamlaka ya Chakula na Dawa nchini humo (FDA) imeidhinisha matumizi ya dharura ya Chanjo dhidi ya CoronaVirus kutoka Pfizer na BioNTech
Rais Donald Trump amedai chanjo za kwanza zitatolewa chini...
Waziri Mkuu wa Msumbiji, Carlos Agostinho do Rosario amepinga wito wa wananchi kuwa na silaha katika Jimbo la Cabo Delgado ili kudhibiti mashambulizi ambayo yamekuwa yakiganywa na Wanamgambo mara...
Spika wa Bunge la DRC Jeanine Mabunda ameondolewa katika nafasi yake baada ya wabunge kupiga kura ya maoni dhidi yake iliyowasilishwa bungeni na Upinzani.
Miongini mwa wabunge 484 katika Bunge...
Joe Biden amemteua aliekuwa General wa jeshi la U.S Lloyd Austin kama secretary wa ulinzi, anakuwa Mmarekani mweusi wa kwanza kushika nafasi hiyo. Huyu jamaa alikuwa kamanda wa vikundi vya...
Bunge la Iran limepitisha sheria ya kuwazuia wachunguzi wa Umoja wa Mataifa katika maeneo yao ya shughuli za kinyuklia na kuongeza uzalishaji wake wa Urani.
Sheria hiyo itaitaka serikali...
Are you ready to feast your eyes on the strangest food in the world We all know that different cultures will provide different dishes, sometimes even bizarre dishes, but please wait until you...
Habari JF.
Waziri mkuu wa zamani wa Congo Matata Mponyo na kiongozi moja wa kanisa, wamedai kwa nyakati tofauti kuwa Rais Kagame anataka kuipanua Rwanda. Mpango huo wa Kagame ni kushinikiza...
Serikali ya Uchina imerusha satelaiti angani katika harakati za kufanya majaribio ya teknolojia mpya ya 6G. Ikumbukwe mpaka kufika mwaka 2019 wao ndiyo wamekuwa taifa lililo mbele zaidi kwenye...
Waziri wa Afya nchini humo, Zweli Mkhize amesema nchi hiyo kwa sasa inakabiliwa na wimbi la pili la mlipuko wa CoronaVirus.
Ametaja Majimbo yaliyoathirika zaidi kuwa ni Western Cape, Eastern...
Chama Kikuu cha Upinzani nchini humo, OFC kimetaka Viongozi wake kuachiwa huru kikisema itakuwa ngumu kujiandaa na Uchaguzi Mkuu bila wao.
OFC pia imetaka Ofisi zake zilizofungwa kufunguliwa na...
Kampuni ya YouTube umesema utaanza kuondoa maudhui yanayodai udanganyifu katika Uchaguzi uliofanyika mwezi Novemba ulibadili matokeo
Imesema mabadiliko hayo yatafanyika kwa video mpya, zikiwemo...
Polisi nchini humo wamesema watu watano wamefariki dunia kufuatia vurugu ambazo zimehusishwa na Uchaguzi Mkuu uliofanyika Jumatatu
Katika taarifa yao, Polisi wamesema kumekuwa na mashtaka kadhaa...
Rais mteule wa Marekani Joe Biden ameuainisha mpango wake wa kupambana na janga la virusi vya corona katika siku zake 100 za mwanzo za urais huku akiahidi kwamba serikali yake itatoa chanjo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.