International Forum

News and Stories from rest of the World
Wananchi wamepiga kura katika Uchaguzi wa Wabunge ambao unatarajiwa kumpa Rais Nicolas Maduro utawala wa muhimili pekee ambao bado unatawaliwa na upinzani. Vyama vingi vya upinzani vikiongozwa na...
0 Reactions
1 Replies
841 Views
Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Saudi Arabia mwanamfalme Faisal bin Farhan amesema kurejeshwa kwa uhusiano na Israel ni lazima kuambatane na kuundwa kwa taifa la Palestina iliyo na mamlaka...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Rais Mteule wa Marekani, Joe Biden ameteua timu ya Wanawake pekee kusimamia mawasiliano ya Ikulu ya Marekani (White House), hatua ambayo imetajwa kuwa ya kihistoria katika nchi hiyo. Biden pamoja...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
South Africa Philani NombembeJournalist 06 December 2020 - 12:04 The double-cab bakkie was reported to have been stolen at a garage in Sandton, Johannesburg. Image: SAPS Police at the...
1 Reactions
0 Replies
450 Views
Waziri wa Habari, Osman Abukar Dubbe ameituhumu Kenya kuwa na mpango wa kutaka kuidhoofisha Somalia wakati nchi hiyo ikielekea kufanya Uchaguzi Mkuu. Amesema wanaiheshimu Kenya na ujirani wao...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Rais wa Ghana, Nana Akufo-Addo ambaye anagombea tena kiti hicho amesema wanaamini katika Uchaguzi Mkuu. Amehakikisha kuwa, wapo tayari kupokea maamuzi ya wananchi Rais Addo (76) ambaye ameiongoza...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Many have been wondering this tribe practice such behaviour but according to themits the best method they have used and worked for them. The suri tribe which is found in Ethiopiabelieve that...
0 Reactions
0 Replies
533 Views
Mahakama ya Rufaa nchini humo imeagiza uchunguzi wa muda mrefu wa Mashirika 20 yasiyo ya Serikali (NGOs) yanayotuhumiwa kupokea fedha kinyume ya Sheria kufungwa. Jaji wa Mahakama hiyo, Ali...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Mwanaharakati mwanamke wa Saudia sasa atuhumiwa kufanya ujasusi dhidi ya nchi hiyo Dec 06, 2020 07:16 UTC Mwanaharakati mwanamke mtetezi wa haki za binadamu nchini Saudi Arabia ambaye amefungwa...
0 Reactions
1 Replies
661 Views
Iran anamiliki matani ya silaha za maangamizi ndo maana hana haja na nyuklia Msioijua iran muijue Hii sio nchi ya kimchezo ndo maana wanajiamini na wanamiliki matani ya Silaha za maangamizi za...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Rais Donald Trump ameagiza idadi kubwa ya Wanajeshi wa Marekani waliopo nchini Somalia kuondolewa hadi ifikapo Januari 15, 2021 Marekani ina Wanajeshi takriban 700 nchini humo ambao wamekuwa...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Mkuu wa majeshi wa Nigeria Lt Gen Tukur Yusuf Buratai amesema magaidi nchini humo wataendelea kuwepo hata baada ya miaka 20 ijayo. Maelezo hayo ameyatoa kwenye ukurasa wake wa twitter baada ya...
3 Reactions
39 Replies
3K Views
Mm naona mwisho wa ugaidi ni teknolojia. na kwasababu nchi za kiarabu ndio zinazo fadhili ugaidi na Jeuri yao yote ni mafuta dawa ni kugundua chanza kingine cha nishati. ili mafuta yasiwe na...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa ripoti ya mwaka 2020 iliotolewa na taasisi ya Fire Power imeitaja nchi ya Misri kuwa ndio yenye zaidi ya kijeshi Afrika na inashika namba 9 duniani. --- Budget: $4.4 billion Active...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Umoja wa Mataifa umesema leo kwamba kuna wapiganaji 20,000 wa kigeni na mamluki nchini Libya na umeonya juu ya janga kubwa huku silaha zikiendelea kumiminika katika taifa hilo la Afrika Kaskazini...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Jarida la firepower limeitangaza kwa Mara nyingine tena misri kuwa ndiyo nchi yenye nguvu kijeshi barani afrika ikifatiwa na Algeria na south Africa, pia niya tisa kwa dunia inayoongozwa na...
5 Reactions
46 Replies
3K Views
Wachimbaji 18 wamefariki na wengine 5 bado wako shimoni baada ya kuvujiwa na gesi ya Kaboni Monoksaidi Mgodi huo wa mgodi wa Diaoshuidong Mjini Chongqing, Beijing ulikuwa umefungwa kwa miazi...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Afrika ni mbadala wa Mashariki ya Kati katika mapambano dhidi ya makundi ya Jihadi? Karibu wanajeshi 300 wa Uingereza wamewasili katika nchi iliyo Afrika Magharibi , Mali wakati ambapo ni eneo...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Dunia haiishi vituko. Huko Alabama, Marekani mwanamke anaelitwa Linda Doyle alimuua mume wake mwaka jana 2019 na kisha kujichoma kisu ukeni na kusema mumewe alikua anambaka hivyo alimuua katika...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom