International Forum

News and Stories from rest of the World
Mahakama ya Katiba imemfutia Waziri Mkuu, Prayuth Chan-ocha mashtaka ya kukiuka vifungu vya maadili katika Katiba na kumruhusu kubaki katika wadhifa wake. Alituhumiwa wa Wapinzani kuvunja Sheria...
0 Reactions
0 Replies
951 Views
Iran italipiza kisasi mauaji ya mwanasayansi maarufu, shahidi Fakhrizadeh Nov 28, 2020 04:51 UTC Waziri wa Intelijensia wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa Iran italipiza kisasi...
2 Reactions
46 Replies
5K Views
Jiwe lililoanguka kutoka juu ya anga lambadilisha muuza majeneza kuwa milionea CHANZO CHA PICHA,JOSUA HUTAGALUNG Maelezo ya picha, Josua Hutagalung akishikilia jiwe lililoangukia nyumba yake...
6 Reactions
26 Replies
3K Views
Mwanasheria mkuu wa Marekani William Barr amesema kwamba wizara ya sheria haijapata ushahidi wowote wa kufanyika udanganyifu katika hesabu ya kura kwa uchaguzi mkuu wa Marekani uliofanyika 3...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi linatoa wito kwa viongozi wa serikali ya Ethiopia kutoa fursa ya kufika kwenye kambi zinazowahifadhi maelfu ya wakimbizi wa Eritrea ambao...
0 Reactions
1 Replies
983 Views
Wananchi wapatao 110 wameuawa nchini Nigeria na wengine kujeruhiwa katika shambulio la wakulima kaskazini mwa Nigeria. Mratibu wa Umoja wa Mataifa -UN Edward Kallon,ametoa taarifa hiyo siku ya...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Baqeri aidha amesema ulipizaji kisasi mkali unawasubiri waliotekeleza ugaidi huo kwani watafuatiliwa na kufikishwa kizimbani. Kwa upande wake, Waziri wa Ulinzi wa Iran Brigedia Jenerali Amri...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Shirika la Atomiki la Iran latakiwa kuzalisha urani iliyorutubishwa kwa zaidi ya asilimia 20 Dec 01, 2020 12:53 UTC [https://media] Wabunge wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran)...
2 Reactions
3 Replies
903 Views
Marehemu Alikuwa Ni Profesa Mbobezi wa masuala ya Pharmaceutical Science na akifundisha pia Chuo Kikuu Cha Tiba Rwanda Alipoteza maisha Novemba 23, 2020 baada ya kupigiwa simu na mtu...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Wanasiasa nchini Ufaransa wamesema sehemu ya Sheria tata ya kulinda Polisi itaandikwa upya kufuatia maandamano ya kuipinga yaliyotokea mwishoni mwa wiki iliyopita Chini ya Sheria hiyo, ni kosa la...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Rais mteule wa Marekani Joe Biden ameteua maafisa wa ngazi ya juu kusimamia uchumi wa Marekani unaoathiriwa na janga la virusi vya Corona. Miongoni mwa walioteuliwa ni aliyekuwa mwenyekiti wa...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Mahakama nchini humo imewahukumu Mawaziri Wakuu wawili kifungo cha miaka 5 kutokana na mashtaka ya ufisadi. Ahmed Ouyahia na Abdelmalek Sellal walituhumiwa kufanya makubaliano yasiyo halali na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Imethibiti Israel na Munafikina (MKO) wamehusika katika mauaji ya mwanasayansi wa nyuklia wa Iran Nov 30, 2020 14:01 UTC Utawala wa Kizayuni wa Israel na genge la kigaidi la Munafikina (MKO)...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Watu sita wakiwemo Madaktari wamefungwa gerezani nchini China kwa kutoa viungo vya mwili kinyume cha Sheria kwa watu waliofariki kutokana na ajali, Vyombo vya Habari vya nchini humo vimeripoti juu...
2 Reactions
0 Replies
878 Views
Siku ya tarehe 23 July mwaka 2011 saa kumi na nusu jioni, watu wawili wakiwa na bunduki ambazo walizificha kwenye majaketi waliyovaa, walishuka kutoka kwenye pikipiki katika mitaa ya Bani Hasheem...
36 Reactions
124 Replies
25K Views
Benki kuu nchini Burundi imetangaza kuyafunga maduka yote ya kubadilisha fedha kufIkia siku ya Jumamosi, kwa madai kuwa wamiliki wa maduka hayo wamekuwa wakifanya shughuli zao kinyume na...
4 Reactions
19 Replies
5K Views
Trump athibitisha kuhusika Mossad katika mauaji ya shahidi Fakhrizadeh Nov 28, 2020 07:46 UTC [https://media] Hatua ya rais wa Marekani ya kuusambaza ujumbe ulioandikwa na mwandishi mmoja wa...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Mwanajeshi wa Marekani atiwa mbaroni kwa kushirikiana na magaidi wa Syria Nov 29, 2020 01:31 UTC Mahakama moja ya jimbo la New Jersy la nchini Marekani imetoa amri ya kutiwa mbaroni mwanajeshi...
2 Reactions
3 Replies
779 Views
Maafisa wanne wa Polisi wanachunguzwa kwa kumpiga Raia mweusi, Michel Zecler Mjini Paris mapema mwezi huu ambapo wanakabiliwa na mashtaka ya vurugu za kukusudia Uamuzi wa kuchunguza rasmi tukio...
0 Reactions
0 Replies
949 Views
Ripoti iliyotolewa na Shirika la Afya Duniani (WHO) imesema maelfu ya watu wapo hatarini kupoteza maisha kutokana na Ugonjwa wa #Malaria barani Afrika Shirika hilo la Umoja wa Mataifa limesema...
0 Reactions
1 Replies
921 Views
Back
Top Bottom