Waziri Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed ameiambia jumuiya ya kimataifa isiingilie mzozo wa jimbo la Tigray, katika kipindi hiki ambacho muda wa mwisho wa masaa 72 aliowapa waasi katika jimbo hilo...
Ifuatayo ni orodha ya nchi 7 zinazoongoza kwa usawa wa kijinsia serikalini.
Rwanda
Rwanda, ambayo ni nchi ndogo ya Afrika Mashariki, inajivunia kwa sifa kubwa ya kuwa na idadi kubwa ya wanawake...
KCB Group has signed a deal with London-listed financial services firm Atlas Mara Limited to buy stakes in it's banking units in Rwanda and Tanzania, its chief executive Joshua Oigara announced on...
Mahakama ya Uturuki imewahukumu kifungo cha maisha jela watuhumiwa 500 kwa kufanya jaribio la mapinduzi dhidi ya Rais Recep Tayyip Erdogan mwaka 2016.
Fethullah Gulen, Mhubiri wa Kiislam Marekani...
Jun 01, 2019 04:02 UTC
Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon ametahadharisha kuwa vita dhidi ya Iran havitaishia katika mipaka ya Jamhuri ya Kiislamu bali vitawasha moto katika eneo zima...
Kama wewe ni mmoja wa watu ambao wanategemea kusafiri kwenda nchini India basi ni muhimu kujua kuwa Apps mbalimbali ambazo zinamilikiwa na kampuni za kichina ikiwemo TikTok na nyingine kama...
Waziri mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed, ametoa muda wa saa 72 kwa vikosi vya mkoa wa Tigray kujisalimisha kabla ya jeshi la shirikisho kuanza kuushambulia vikali mji mkuu wa Mekelle.
Waziri mkuu...
Jeshi la Syria limesema Israel imeanzisha mashambulio ya angani eneo la kusini nje kidogo ya mji wa Damascus kunakoaminiwa kuwa na wanajeshi wengi wa Iran. Hili ni shambulio la pili kufanyika...
MTANZANIA JOHN NDUNGURU, anayemiliki kampuni ya Mercy Services of Heath inayojishughulisha na kazi ya kuhudumia wagonjwa majumbani (Home Health Care) nchini Marekani, ametiwa mbaroni nchini humo...
Bunge la Scotland limeupitisha muswada wa kutoa taulo za kike bure. Taulo hizo zitaanza kupatikana katika maeneo yote ya uma ikiwemo shule.
Kwa sheria hii itakuwa ni kazi ya serikali za mitaa...
Dunia inajifunza nini Kwa haya yanayoendelea USA? Kama siyo mihimili au vyombo vya utawala vilivyo huru, huru ya kweli, Marekani ilikuwa inatumbukia kwenye udikiteita kama Tanzania, urusi, china...
Shirika la Afya Duniani WHO siku ya jumanne limezindua mkakati mpya wa kupambana na kuiangamiza Saratani ya kizazi, kwa matumizi mapana ya chanjo, vipimo vipya na matibabu ili kuokoa maisha ya...
Mbabe wa kivita wa zamani ambaye alikuwa akivuruga mtandao wa mawasiliano ya majeshi ya Ethiopia, Debretsion Gebremichael sasa anaongoza mapigano dhidi ya serikali ya Waziri Mkuu Abiy Ahmed...
Ubalozi wa Marekani Iraq ndio pekee duniani unaolindwa kwa mtambo wa makombora ya ulinzi wa anga
Mbunge wa mrengo wa As-Sadiqun katika bunge la Iraq amesema, ubalozi wa Marekani nchini humo ndio...
Biden lead in Arizona shrinks
Mamlaka zimethibitisha kutakuwa ya marudio ya zoezi la kuhesabu kura zilizopigwa katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika mapema mwezi huu, na mchakato utafanywa kwa...
Twitter will hand control of the presidential POTUS account to Joe Biden when he is sworn in on inauguration day, even if President Donald Trump has not conceded his election loss, US media...
Rwanda na Ujerumani wamesaini makubaliano ya ushirikiano katika mradi wa kutumia mbwa kuwatambua walioambukia virusi vya Corona.
Makubaliano hayo yamesainiwa kati ya Balozi wa Rwanda nchini...
Marekani inataraji kuanza utoaji wa chanjo dhidi ya virusi vya corona mwanzoni mwa mwezi Desemba mwaka huu. Taarifa hiyo ni kwa mujibu wa afisa wa juu wa afya katika serikali ya Marekani. Kuanza...
Wafanyakazi wa misaada wa Umoja wa Mataifa wameonya kwamba misaada ya kiutu inaelekea kuisha katika jimbo la Ethiopia la Tigray baada ya wiki za mashambulio katika jimbo hilo.
Msemaji wa shirika...
Aliyekuwa kiongozi wa wanamgambo katika taifa la jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo amehukumiwa kifungo cha maisha jela kwa makosa ya uhalifu dhidi ya binadamu ikiwemo ubakaji wa watu wengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.