International Forum

News and Stories from rest of the World
Mmiliki wa kampuni ya Tesla ya uzalishaji wa magari ya umeme Elon Musk, amempiku mwanzilishi wa Microsoft Bill Gates na kuingia nafasi ya pili kwenye orodha ya matajiri wakubwa zaidi ulimwenguni...
3 Reactions
80 Replies
8K Views
Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu (ICRC) imesema Hospitali na Vituo vya Afya katika Mji Mkuu wa Tigray, Mekelle zinakabiliwa na changamoto ya kutibu waliojeruhiwa katika mapambano Imeelezwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Niaje niaje, Nilikuwa napitia moja ya habari kutoka mtandaoni kwenye website ya CNN Nimekutana na habari ya kushtua kidogo kiongozi na Mkuu wa shirika la Nuclear wa Irani jina lake gumu kidogo...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Na kichapo cha Jana kimeharibu maghara mengi ya silaha ambazo ndizo Irani ilijitapia nazo kuwa itazitumia kujibu mashambulizi ya hit and run ya Israel... Nadhani ni wakati wa Iran kufuata ule...
9 Reactions
54 Replies
6K Views
Kiongozi wa Hong Kong, Carrie Lam amefungiwa akaunti yake ya benki baada ya Marekani kumuwekea vikwazo vya kiuchumi, ikimuadhibu kwa kutangaza sheria mpya ya usalama wa kitaifa iliyoamrishwa na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed amesema majeshi ya nchi hiyo yamechukua udhibiti wa mji mkuu wa jimbo la Tigray, Mekelle. Abiy ametangaza kuwa serikali ya shirikisho sasa imechukua udhibiti...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wiki chache zilizopita Nigeria ilikumbwa na maandamano ya kupinga ukatili wa jeshi la polisi maarufu kama #EndSARS ambapo Jeshi la Nigeria lilituhumiwa kuua watu. Bunge la UK Liliazimia kuwawekea...
1 Reactions
3 Replies
718 Views
The United States on Friday announced economic sanctions on Chinese and Russian companies that Washington said had supported the development of Iran’s missile programme. The four firms, accused...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Baadhi ya wananchi wa Rwanda wa maeneo hatarishi wahamishwa na kupatiwa nyumba za kisasa +SAUTI Nov 26, 2020 17:08 UTC PAKUA Hatimaye serikali ya Rwanda imeafikiana na kundi la wananchi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Angalia jinsi maghorofa mazuri na marefu nchini Dubai yalivyoporomoshwa kitaalamu hapo jana katika kipindi cha sekunde 10 tu. Majengo hayo ni mkusanyiko wa Mina Plaza ambayo yapo eneo la bandari...
1 Reactions
4 Replies
811 Views
Mtoto wa Kike wa miaka 17 aliyefanya vizuri zaidi kwenye Mitihani ya Elimu ya Secondary Nchini Nigeria kwa kupata alama A1 katika masomo yote kutoka Shule yake ya West African Seniour School...
3 Reactions
19 Replies
4K Views
Amadi ambaye aliandika vitabu maarufu kama vile The Concubine,Isiburu,Sunset in Biafra,Peppersoup na The Road to Ibadan alifariki siku ya Jumatano mwendo wa saa tisa,wiki moja moja baada ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Maandamano yanafanyika nchini Ufaransa katika maeneo kadhaa hii leo. Hayo ni baada ya serikali kutangaza sheria mpya ambayo itazuia watu kutumiana picha za maafisa wa polisi wanapowakamata watu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naibu katibu mkuu, Ofisi ya Rais, Utafiti na Mahusiano ya Umma nchini Namibia Ben Nangombe amesema, Namibia imeidhinisha malipo ya kwanza ya dola za Namibia milioni 26.4 ikiwa ni sawa na dola...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Tangu mwaka 1991, Serikali ya Ethiopia imetokana na makundi ya kikabila, huku makundi makubwa yakiwakilishwa na viongozi wa Vyama kutoka Majimboni Hii ilifanya Vyama kuwa na nguvu kwa watu kuliko...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Ni baada ya Balozi wa UN kudumu wa Israel Gilad Erdan kuliomba Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuwa Jeshi la Iran na wafuasi wake waondoke haraka sana nchini Syria kwani itawaangamiza wote...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Mimi ni Mfaransa na nchini yangu Askari Polisi walipiga mtu mweusi na walimsema "Sale nègre" (Mtu mweusi chafu). Video imetazamwa zaidi ya mara 10 Milioni kwenye Twitter Marejeo :
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Brazilian President Jair Bolsonaro said on Thursday evening that he will not take a coronavirus vaccine, the latest in a series of statements he has made expressing skepticism toward coronavirus...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Tume hiyo imesema kuwa imepokea baadhi ya malalamiko kutoka kwa wagombea wa urais na pia kuona taarifa zavyombo vya habari kwamba polisi inazuia na kuvuruga kampeni zao . Wakati huo huo katika...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Netanyahu na Pompeo wafanya ziara ya siri kwa wakati mmoja huko Saudia Nov 23, 2020 12:44 UTC Duru za Kizayuni zimeripoti kuwa, Waziri Mkuu wa utawala huo Benjamini Netanyahu na baadhi ya...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom