Rais Mteule wa nchi hiyo, Joe Biden amesema Chanjo itakapopatikana, raia wa Marekani hawatalazimishwa kuitumia. Amesema, atafanya kila analoweza kama Rais kuhimiza wananchi kuchukua maamuzi sahihi...
Pamoja na mbwembwe alokuwa kaanza nazo Mr Beto na kutangaza kuwa kazaliwa Kwa ajili ya Urais wa Marekani, ameamua kuachana na Mpango huo,
Aidha Trumpa kaandika ujumbe Wa kumkejeli katika ukurasa...
Nchi hiyo imepiga marufuku wananchi kusafiri kutoka mkoa mmoja hadi mwingine kuanzia Desemba 21 hadi Januari 06, 2021 ikiwa ni mkakati wa kudhibiti maambukizi ya #COVID19 wakati wa mapumziko ya...
Warusi walitangaza mapema kabisa kwamba wamepata " Vaccine" dhidi ya COVID-19. Na huyu mwamba Putin akasema binti yake moja amepata hiyo chanjo na iko poa. Yeye mwenyewe amekwepa kupata chanjo...
Habari ya video ni kwa kiarabu lakini tazameni muone Hezbullah inavyo mdharaulisha Israel. Tv ya Urusi imeingia mpaa ndani ya camp yao na kurecords aibu, yani wamewachaa mpaa silaha na menginewe...
Aliyekuwa Rais wa zamani wa Ufaransa Valery Giscard d'Estaing amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 94,baada ya kuugua homa inayosababishwa na Virusi vya Corona. Rais huyu aliiongoza nchi ya...
Kuna watu wanaona dunia na wamarekani hawakumuelewa Trump. Tabia ya kibabe na kujitwisha upolisi wa dunia ni sera iliyoiletea mzigo mkubwa kifedha marekani na kusababisha uchumi wake kuzorota...
Mufti wa ISIS: Niliitembelea Saudia mara mbili kukusanya pesa
Nov 30, 2020 07:04 UTC
[https://media]
Mufti wa genge la kigaidi la Daesh (ISIS) huko kaskazini mwa Iraq amefichua kuwa, aliwahi...
Kwa mujibu wa Ripoti iliyotolewa na UN, takriban watu Milioni 22 nchini humo wanakabiliwa na ukosefu wa chakula, ambapo idadi hiyo imeongezeka kutoka Milioni 15.6 ya mwaka 2019
Shirika la Chakula...
Wizara ya Sheria imeishutumu Kampuni ya Facebook kwa kubagua Wafanyakazi wa nchi hiyo katika ajira na kupendelea wahamiaji
Mamlaka imesema imefungua shtaka baada ya kufanya uchunguzi kwa muda wa...
Mamlaka ya Singapore imekuwa nchi ya kwanza duniani kuruhusu nyama ambayo haijatoka kwa mnyama aliyechinjwa.
Maamuzi hayo yametoa mwanya wa kuanza kuliwa kwa nyama ya kuku ambayo imetengenezwa...
Wanamgambo wa kundi la Kiislamu la Boko Haram wametoa video mpya ambayo inasema wapiganaji wake wa Boko Haram ndio waliotekeleza mauaji ya wakulima 78 katika eneo la Zabarmari karibu na Maiduguri...
Jaribio hilo linatafsiriwa kama mpango wa serikali kuminya mawasiliano ya watu nchini Urusi
Serikali ya Urusi imefanikiwa kufanya majaribio ya mtandao uitwao Runet, ambao ni mbadala wa mtandao wa...
Yes, it is not that far-fetched people.
Trump may run again, as a Republican, in 2024.
Of course, he will have to go through the rigmarole of the caucuses and primaries and win those contests...
Marekani imeiwekea vikwazo kampuni ya CEIEC kutoka nchini China na kuishutumu kuunga mkono jitihada za Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro kuminya Demokrasia.
Mamlaka zimesea CEIEC iliunga mkono...
Inakuwaje!
Makaburi mengi mapya yanachimbwa huko Tehran. Kwanini wanaandaa makaburi mapema. Kweli sababu ni korona? Ndio style gani hii ya msiba?
Aidha wanasayansi wote wa nyuklia Iran wameamua...
Uingereza imeidhinisha chanjo ya COVID19 kutoka Pfizer/BioNTech kwa matumizi ambapo inaweza kuanza kutumika ndani ya siku chache zijazo kwa makundi ya watu waliopewa kipaumbele.
Mamlaka zimesema...
Polisi nchini Nigeria jimbo la Ogun limewakamata washukiwa wawili katika jengo ambalo linatumika kushikilia wasichana na kuwatunga mimba, vilevile watoto wanaozaliwa kuuzwa kimagendo.
Msemaji wa...
Umoja wa Mataifa (UN) na Ethiopia zimefikia makubaliano ya kuruhusu misaada katika Jimbo la Tigray ambapo tathmini itaanza kufanyika leo.
Imeelezwa kuwa, mamilioni ya wananchi wapo hatarini...
Mwanamke mmoja amekamatwa Brazil kwa kujifanya mjamzito kumbe ameficha dawa za kulevya (cocain) kwenye tikiti maji.
Amekamatwa akitaka kupanda basi kwenda Rio de Janeiro, alipokea dawa hizo toka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.