VP-elect Kamala Harris' sister pushing for husband to be named attorney general: report Maya Harris has allegedly worked behind the scenes to lobby for her husband, Tony West
Vice President-elect...
Waliberia wanashiriki leo katika zoezi la kura ya maoni kuhusu mpango wa Rais George Weah wa kupunguza mihula ya urais, huku wakosoaji wakihofia kuwa anaweza akayatumia mabadiliko hayo kubakia...
Shughuli za bunge la DRC zimeahirishwa kwa muda usiojulikana, baada ya kikao kukumbwa na ghasia, ambazo wabunge wa muungano wa rais wa zamani Joseph Kabila wanasema zilisababishwa na wenzao wa...
Mgombea wa Upinzani, John Mahama amemuonya Rais Nana Akufo-Addo kuhusu jaribio lolote la wizi, siku chache baada ya nchi hiyo kufanya Uchaguzi Mkuu
Kuelekea kutangazwa rasmi kwa matokeo, wagombea...
Rais Tshisekedi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amesema anavunja ushirikiano wa kisiasa baina ya muungano wa vyama vinavyomuunga mkono-CACH, na vile vilivyo upande wa mtangulizi wake, rais...
Ikiwa imebaki siku moja kabla ya uchaguzi mkuu nchini kufanyika.
Tunataarifiwa mpaka sasa hakuna hta mtu mmoja aliyepoteza maisha, hakuna mgombea aliyeenguliwa na tume, hakuna vurugu zozote...
Afisa wa ngazi za juu wa shirika la kijasusi la mossad ameuawa usiku wakuamkia leo katika mji Tell aviv alipokua kwenye gari ghafla taa
nyekundu ya kuongozea magari ikawaka na gari yake...
Ujumbe wa Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo umetahadharisha hapo jana kwamba mzozo wa kisiasa nchini humo uliochochewa na hatua ya rais Felix Tshisekedi kuuvunja muungano...
In the opening ceremony of Africa - Europe foundation which was attended by various personalities from both continents, including the President of the Republic of Rwanda, Paul Kagame.
President...
Watu 227 wamelazwa na mmoja amefariki dunia katika Jimbo la Andhra Pradesh kutokana na Ugonjwa ambao bado haujafahamika.
Madaktari wamesema miongoni mwa dalili walizonazo wagonjwa hususan watoto...
Ripoti mpya ya taasisi ya kimataifa ya utafiti wa amani SIPRI yenye makao yake mjini Stockholm, SIPRI imeonyesha kuwa makampuni ya silaha ya China na Marekani yalilidhibiti soko la silaha...
Hello JF
Wakili kibinafsi wa Rais Donald Trump, Rudy Giuliani, amepatikana na virusi vya corona na kwa sasa ana pokea matibabu hospitalini.
Rais aliandika katika Twitter yake: “Nakutakia...
Hello JF
Papa Francis ametoa msaada wa kiasi cha dola 121,000 (£90,000) kusaidia wahanga wa mashambulio ya kigaidi yaliyotokea Kaskazini mwa Msumbiji katika jimbo la Cabo Delgado.
Msaada huo...
Naona mambo ni moto kwelikweli kuligana na mtandao wa global firepower iran imekamata nafasi ya 14 kidunia huku Israel ikizidi kudidimia na kukamata nafasi ya 18 kidunia.
2020 Military Strength...
Chama kikuu cha upinzani nchini Sudan Kusini kimetenga asilimia 40 ya nafasi za lazima kwa wanawake, kiongozi wake Riek Machar amesema.
Chama cha Sudan People’s Liberation Movement katika...
Hello JF:
Ripoti mpya ya taasisi ya kimataifa ya utafiti wa amani SIPRI yenye makao yake mjini Stockholm, SIPRI imeonyesha kuwa makampuni ya silaha ya China na Marekani yalilidhibiti soko la...
Brightone Chonjo
Snowden amuomba Trump amuachie Julian Assange kizuizini nchini United Kingdom kabla hajahukumiwa.
Snowden ni mdukuzi (Hacker) ambaye alikuwa ameajiriwa na serikali ya marekani...
Uchaguzi Mkuu wa nchi hiyo unafanyika leo na Tume ya Uchaguzi imetoa rai kwa wananchi kudumisha amani kabla ya baada ya zoezi la kupiga kura
Zaidi ya watu Milioni 17 wanatarajiwa kupiga kura...
Inakuwaje!
Extraordinary detail about Fakhrizadeh's final moments have been revealed by Iranian journalist Mohamad Ahwaze who claims he received leaked information from the country's authorities...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.