International Forum

News and Stories from rest of the World
Habari! Mpango uliofikiriwa muda mrefu wa kuiwekea vikwazo nchi ya Uturuki juu ya hatua ya nchi hiyo kununua mfumo wa ulinzi wa anga wa S-400 kutoka nchini Urusi umeripotiwa kukamilika...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Mamlaka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imetangaza kuweka kafyu ya kitaifa kuanzia Disemba 18 kudhibiti maambukizi ya virusi vya corona. Kwa mujibu wa taasisi ya kukabiliana na janga la...
0 Reactions
0 Replies
995 Views
Mwanasheria Mkuu wa Marekani William Barr, mmoja wa washirika wakubwa wa Rais Donald Trump, anajiuzulu wakati kukiwa na mvutano wa muda mrefu na rais juu ya madai yasio na msingi ya rais ya wizi...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Maelfu ya watu kutoka Tigray, Ethiopia wamekimbilia Sudan. Umoja wa Mataifa umesema kuwa zaidi ya watoto milioni mbili katika jimbo la Tigray nchini Ethiopia wamekatizwa na misaada ya kibinadamu...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Wajumbe wakiwa wamepiga kura siku ya Jumatatu, walimpa rasmi Joe Biden zaidi ya kura 270 za uchaguzi zinazohitajika kuthibitisha ushindi wake wa uchaguzi. Pamoja na kura 55 za wajumbe kutoka...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Marekani imeiondoa rasmi Sudana katika orodha ya wafadhili waugaidi, kwa mujibu wa ubalozi wake mjini Khartoum. "Muda wa ilani ya siku 45 iliyowasilishwa kwa bunge la Congress umepita na Waziri...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
WASHINGTON - With the casting of their Electoral College votes Monday, electors formally gave Joe Biden more than the 270 electoral votes needed to certify his election victory. With Hawaii’s...
0 Reactions
5 Replies
672 Views
DC officials say four people have been transported to the hospital in critical condition following a stabbing involving protesters. Metropolitan police have made at least 23 arrests as sporadic...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Maafisa wa Marekani wamesema chanjo ya virusi vya corona iliyotengenezwa na kampuni mbili za Pfizer na BioNTech itaanza kutolewa kwa mara ya kwanza kesho Jumatatu siku kadhaa tangu matumizi yake...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Daktari Mohsen Fakhrizadeh ambae anasimamia masuala ya Nyuklia Iran, Ameuawa mapema leo baada ya gari aina ya nissan fuga alilokuwa amepanda kupandikizwa bomu na kupigwa shaba kadhaa na mtu...
12 Reactions
179 Replies
18K Views
The Government of Rwanda is set to acquire the coronavirus vaccine in the first quarter of 2021, according to the Minister for Health Dr Daniel Ngamije. Ngamije was appearing on the national...
1 Reactions
0 Replies
479 Views
Mwanaume aliyemuua binti yake karibu miaka 20 iliyopita amekuwa mfungwa wa pili Marekani kuuawa Kifo cha Alfred Bourgeois kwa sindano siku ya Ijumaa kinakuja baada ya Brandon Bernard kuuawa...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Dkt. Tedros Adhanom Ghebreyesus amesema kuwa wamepata chanjo bilioni 1 kwa ajili ya nchi za kipato cha chini na cha kati. Ghebreyesus alifanya...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Kansela wa Ujerumani Angela Merkel amesema hii leo kwamba sserikali kuu na zile za majimbo wamekubaliana kuhusu rasimu ya mapendekezo ya kuweka hatua kali za kujaribu kudhibiti wimbi la maambukizi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Pigo jingine kwa Israel; India yavunja mkataba wa kijeshi na utawala wa Kizayuni Serikali ya India imevunja mkataba wa kijeshi wenye thamani ya dola milioni 500 kati yake na utawala wa Kizayuni...
2 Reactions
30 Replies
4K Views
Maelfu ya wakimbizi waliokimbia kwenye kambi zao katika jimbo la Tigray nchini Ethiopia, baada ya kambi zao kushambuliwa kwenye mapigano baina ya majeshi ya serikali na waasi wa kundi la TPLF...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kabla hawajamaliza Msiba mkubwa wa Mohsen Fakhrizadeh Masikini wanywa Damu Iran wamepatwa na Msiba Mwingine Nchinii Syria baada ya Kamanda wao Mkubwa Muslim Shahdan kuuliwa na Ndege ndogo isiyo na...
2 Reactions
55 Replies
6K Views
Bunge jipya la Kuwait litakuwa na wanaume pekee baada ya wanawake wote waliogombea kushindwa kwenye uchaguzi wa Jumamosi, hii ikiwa ni baada ya matokeo rasmi. Takriban wagombea 326 katika taifa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Wanawake wa dunia ya leo ambao wanapigania "haki" zao wamekuwa wakisema "mwili wangu nina haki nao na chaguo langu".My body,my right my choice. Kwamba wasiingiliwe maamuzi yao pale wanapotaka...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Polisi nchini humo wametoa hati ya kukamatwa kwa zaidi ya Maafisa 40 wakiwemo waliotumikia Jeshi zamani, wakihusishwa na mapigano yaliyoibuka katika Jimbo la Tigray. Miongoni mwa watakaomatwa ni...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom