Habari!
Unaweza kushangaa ama usishangae ila kaa ukijua kuwa Rais wa Shirikisho la Urusi Ndugu, Vladimir Putin bado anatumia mfumo wa Windows XP katika kompyuta zake licha ya hatari nyingi za...
Rwanda na Urusi zimetuma wanajeshi pamoja na vifaa huko Jamhuri ya Afrika ya Kati ili kusaidia kupambana na vurugu zinazotokana ongezeko la makundi ya waasi, kabla ya taifa hilo kufanya uchaguzi...
Watu 698 wamekufa kutokana na ugonjwa wa COVID-19 kwa muda wa saa 24 zilizopita nchini Ujerumani, hii ikiwa ni kulingana na taasisi ya Robert Koch inayoshughulikia magonjwa ya kuambukiza nchini...
Wabunge nchini Marekani wamekubaliana kuhusu pesa za kusaidia biashara na watu wasiokuwa na ajira, kiasi cha dola bilioni 900, baada ya malumbano ya miezi kadhaa.
Pesa hizo zinatarajiwa kuwa...
Mamia ya wavulana waliotekwa wiki iliyopita kutoka shule ya bweni kaskazini -magharibi mwa Nigeria wameachiliwa huru, mamlaka katika eneo hilo zimeambia BBC.
Msemaji wa gavana wa jimbo la Katsina...
Watu wa Tigray Ethiopia ni 6 % ya Waethiopia wote zaidi ya milioni 80,
Lakini ndiyo wanaoIOngoza Ethiopia kwenye kila sekta, Uchumi wote wa Ethiopia uko chini ya Watu wa Jamii ya Tigray , hii...
South African court finds three Tanzanians and one Rwandan "guilty of attempted murder" on Friday, after acquitting two others, including the alleged mastermind and Mr. Nyamwasa's former driver...
Shrika la Afya Duniani WHO limetahadharisha dhidi ya wasiwasi wa kupindukia kuhusu aina mpya ya virusi vya corona vinavyosamba kwa kasi kubwa, baada ya kugunduliwa nchini Uingereza na baadae...
Kwa siku kadhaa magaidi ya boko Haram waliishi, kufanya kazi na kula pamoja na wakulima hawa wa mchele kwasababu nao walijifanya waajiriwa.
Ilipofika alasiri jumamosi iliyopita ghafla wakatoa...
Mamlaka nchini Thailand zinafanya vipimo kwa maelfu ya wananchi baada ya mamia ya maambukizi kuhusishwa na soko kubwa zaidi ya vyakula vya baharini
Wafanyakazi wa soko hilo wameagizwa kubaki...
''Kila mtu anazungumzia na wengine humuuliza kuuliza jinsi waarabu watakavyofanya biashara na Waisrael au jinsi gani watafanyaje? Yeye amesema hapana sina mpango wa kufanya Biashara na Israel...
Viongozi kutoka mataifa ya Afrika Mashariki ya Shirikisho la Maendeleo la Pembe ya Afrika IGAD, wamekutana Jumapili Djibouti kwa mkutano wa kilele, kujadili mzozo wa Tigray pamoja na mvutano kati...
Muungano wa upinzani kwenye Jamhuri ya Afrika ya Kati Jumapili umeomba uchaguzi uliopangwa kufanyika Decemba 27 usitishwe kutokana na ghasia kutoka kwa makundi ya wapiganaji zinazoendelea nje ya...
Waziri Mkuu wa Uholanzi Mark Rutte ametangaza wiki tano za kubaki ndani kuanzia Desemba 15 hadi Januari 19, 2021
Kwa kipindi chote hiko shule, maduka yasiyo muhimu, makumbusho na viwanja vya...
- Ni Ambrose Dlamini ambaye aligundulika kuwa na ugonjwa huo wiki 4 zilizopita
- Amefia nchini Afrika Kusini alikokuwa amelazwa kwa matibabu
- Alikuwa na umri wa miaka 52 tu; amekuwa Waziri Mkuu...
Rais Kagame alisema kwamba mpinzani wake mkuu Paul Rusesabagina alidanganywa akajileta mwenyewe nchini Rwanda.
Waziri wa Sheria nchini Rwanda amemjibu mjumbe wa bunge la Marekani ambaye alikuwa...
Donald Trump ametangaza mapema Jumatatu jioni, Novemba 24, kwamba ameridhia ufunguzi wa mchakato wa kumkabidhi madaraka mrithi wake Joe Biden kutoka chama cha Democratic, zaidi ya wiki mbili baada...
Marekani inapanga kuzifunga ofisi mbili za ubalozi mdogo nchini Urusi kwa sababu ya masuala ya usalama na ulinzi.
Wizara ya mambo ya nchi za nje ya Marekani imesema ubalozi mdogo kwenye mji wa...
Maafisa wa usalama nchini Msumbiji, wamewauwa waasi karibu 50 katika siku za hivi karibuni katika eneo la Cabo Delgado Kaskazini mwa nchi hiyo, eneo ambalo limeendelea kukumbwa na machafuko kwa...
Vikosi vya Yemen vyashambulia tena Aramco ya Saudia
Feb 22, 2020 02:46 UTC
[https://media]
Kwa mara nyingine tena vikosi vya jeshi la Yemen vimefanya mashamblizi kwa kutumia makombora dhidi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.