Tibilisi, Georgia
Wafa mwenye umri wa miaka 25, na dada yake Maha mwenye umri wa miaka 28, waliwalaghai wanafamilia ya kwamba wanasafiri kwenda mji wa Ranyah, huko Saudi Arabia kumtembelea kaka...
Rais Mteule wa Marekani, Joe Biden (78) ametangazwa rasmi kuwa mshindi wa Jimbo la Georgia baada ya zoezi la kurudi kuhesabu kura kwa mkono kukamilika
Ushindi wake unafanya hii kuwa mara ya...
Rais Donald Trump aliwauliza washauri wake iwapo atoe amri ya kushambuliwa kwa vinu vya nyukilia vya Iran akiwa amebakiza miezi 2 aondoke madarakani.
Taarifa hiyo ni kwa mujibu wa jarida la New...
RAIS wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa amesema kuwa kutoroka kwa Nabii wa Malawi na mke wake nchini humo ni jambo ambalo analifuatilia kwa karibu na ameahidi kuchukua hatua baada ya kupata taarifa...
Mwanamama huyu alihudumu akiwa Waziri wa Mambo ya Nje wa 66 wa Marekani kuanzia 2005 hadi 2009
Aidha alikuwa Mwanamke wa kwanza mwenye asili ya Afrika kuhudumu kwenye nafasi hiyo wakati wa...
Nchi hiyo inafanya Uchaguzi leo ambapo inaelezwa kuwa, takriban watu 400,000 wameshindwa kujiandikisha kutokana na mapigano ambayo yamekuwa yakifanywa na Wanajihad
Tishio la mashambulizi hayo...
Waziri wa Fedha, Adriano Maleiane amekanusha madai kuwa China inaweza kuchukua mali za nchi hiyo endapo kutakuwa na changamoto katika ulipaji madeni
Amesema madai hayo hayana msingi na hakuna...
Yawezekana madai ya jimbo la Tigray nchini Ethiopia chini ya chama kikongwe cha uasi cha TPLF yakawa na mantiki katika kile wanachokitetea, hata hivyo hawana nguvu ya kupigana na serikali kuu ya...
Katika Jimbo la Nebraska nchini Marekani, Ernie Chambers akiwa mgombea wa Kwanza mweusi ngazi ya useneta na kuwa seneta wa Kwanza mweusi katika Jimbo Hilo. Pia akiwa seneta wa kwanza kutawala...
North Texas Food Bank distributed more than 600,000 pounds of food for about 25,000 people on Saturday, according to spokeswoman Anna Kurian. There were 7,280 turkeys distributed to families...
Tume ya kupambana na ufisadi nchini Sierra Leone imesema kwamba inaweza kutoa hati ya kukamatwa kwa aliyekuwa rais wa nchi hiyo Ernest Bai Koroma, baada ya kukataa kufika mbele ya tume hiyo kwa...
Baada ya saa sita usiku wa kuamkia leo, Uingereza imetoka rasmi kwenye muungano wa EU, ipo yenyewe sasa.
Uingereza sasa ni mshindani dhidi ya mataifa ya EU, na baada ya mwaka mmoja kuanzia sasa...
Rais Donald Trump ametuma maombi akitaka sehemu ya kura za Jimbo la Wisconsin kuhesabiwa upya huku Timu yake ya Kampeni ikidai kuna mapungufu katika Kaunti za Milwaukee na Dane
Katika maombi yao...
Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) imeongeza adhabu kwa wanafamilia wanaofanya mauaji ya wanawake kama sehemu ya kufuata sheria za nchi za kiislamu.
Serikali ya Falme za Kiarabu imesema itazuia...
Happy birthday to him
Happy anniversary to the family
Kwa niaba ya Makada wote Wazalendo Nchini Tanzania Namtakia kila la kheri Rais Mteule anaposherehekea siku yake muhimu ya kuzaliwa...
Mexico inakuwa nchi ya nne duniani kurekodi vifo zaidi ya 100,000 vya COVID19 baada ya Marekani, Brazil na India
Kwa mujibu wa takwimu za Chuo cha Johns Hopkins, taifa hilo limerekodi vifo...
Waziri Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed amesema nchi hiyo ipo tayari kupokea maelfu ya wananchi wanaokimbia makazi yao Tigray kutokana na mapigano kati ya Jeshi na Vikozi vya Jimbo hilo.
Mbali na...
Sio kila kinachotokea kwa binadamu hujulikana makusudio yake kwa haraka.Mwenyezi Mungu ana majeshi ya aina nyingi kuanzia vidudu visivyoonekana kwa macho kam vile virusi aina mbali mbali, Wako...
Kwa mujibu wa Kituo cha Kuzuia na Kudhibiti magonjwa (CDC) Afrika, jumla ya visa vilivyorekodiwa hadi sasa ni 2,013,388 huku vifo zaidi ya 48,000 vikirekodiwa
Mataifa ya Chad, Misri an Sudan...
Yugoslavia ilivunjika na kutoa Mataifa kutokana na makabila, naona Ethiopia ikienda mlengo huo.
Ethiopia ina makabila makuu manne.
Oromo ndiyo kubwa kama 35 asilimia wanafuata Amhara asilimia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.