Kambi ya Duma imeunga mkono Muswada ambao unawapa Marais wa nchi hiyo na Familia zao kinga dhidi ya mashtaka ya jinai baada ya kuondoka madarakani.
Chini ya Muswada huo, Rais wa zamani na...
Kwa majigambo makubwa juzi raisi Donald Trump wa Marekani alitangaza kutoka ikulu ya Marekani juu ya kurudishwa kwa uhusiano baina ya Israel na taifa la Sudan.
Hata hivyo tangazo hilo limepingwa...
Zaidi ya Wafanyakazi 200 wa Facebook wamedai Kampuni hiyo inawalazimisha wasimamia maudhui kurudi ofisini licha ya hatari ya kupata maambukizi ya CoronaVirus.
Wafanyakazi hao wanadai Kampuni hiyo...
Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza mwisho wa mlipuko wa 11 wa Ugonjwa wa Ebola nchini humo, ikiwa ni takriban miezi 6 tangu visa vya kwanza kuripotiwa.
Mlipuko huo uliotokea Magharibi mwa...
Speaking while addressing war veterans in Washington, Trump warned other like minded dictators who want to die in power, that their time is up and its just a matter of time before they face...
Wazayuni wavamia sehemu alipozaliwa Nabii Issa (Yesu) wawapiga mabomu Wakristo (+ Picha, Video)
Bila ya kujali utukufu wa eneo alipozaliwa Nabii Isa AS, kwa mara nyingine jeshi la utawala wa...
Maradhi ambayo yamesumbua nchi nyingi duniani kwa takriban mwaka mmoja sasa iko karibu kutangazwa si tishio tena kwani mataifa mbali mbali yametangaza kuwa na chanjo zilizofanyiwa majaribio na...
Kitengo cha Uchunguzi wa Makosa ya Jinai, Uchumi, Rushwa na makosa mengine (Hawks) kimemkamata ‘Nabii’ Shepherd Bushiri na mkewe Mary kwa tuhuma za kutakatisha Rand Milioni 102 sawa na takriban...
Kampuni ya Dawa ya Pfizer imesema chanjo yake dhidi ya COVID19 inafanya kazi kwa 95% na haina madhara makubwa kwa watumiaji
Taarifa za majaribio yao zimeonyesha Chanjo inafanya kazi kwa asilimia...
Fugitive Malawian preacher turns himself in to police
Malawian preacher Shepherd Bushiri and his wife Mary have handed themselves over to police in their home country after skipping bail...
Hii ni operesheni iliyofanya na ndege vita za iran dhidi ya kambi hatari kuliko zote za majeshi ya Iraq iyo kambi ililindwa na mifumo mikali kutoka urusi na baadh yake kutoka Marekani lakin kwa...
Mchungaji maarufu barani Afrika, Bushiri ametoroka nchini Afrika kusini baada ya kuachiwa kwa dhamana mapema mwezi huu kwa kushtakiwa kwa utapeli na utakatishaji fedha.
Mchungaji Bushiri, ambaye...
Virusi vya Corona vilikuwa vikizunguka nchini Italia mapema mwezi Septemba 2019, kulingana na utafiti uliofanywa na kituo cha kitaifa dhidi ya Saratani (INT) huko Milan, kikibaini kwamba virusi...
Katika mkutano wa Kitaifa uliomalizika hivi karibuni, Wajumbe wamependekeza Mabunge yote mawili nchini humo kuwa na mamlaka ya kuwashtaki Rais na Makamu wake
Vilevile wameshauri ukomo wa mihula...
Rais Trump amesema "amemfuta kazi " mkuu wa usalama wa mtandao na shirika la usalama wa miundo mbinu ya uchaguzi (Cisa) Chris Krebs kwa taarifa zake "zisizo sahihi kwa kiwango cha juu " kuhusu...
Madaktari nchini humo wameungama kumuomba Rais Donald Trump kutoa taarifa muhimu kwa Rais Mteule, Joe Biden ili kuokoa maisha ya wananchi na kuzuia sekta ya afya kuelemewa.
Taasisi kubwa tatu za...
Mwendesha Mashtaka Maalum wa kupambana na ufisadi nchini humo, Martin Amidu ametangaza kujiuzulu akisema mamlaka na jitihada zake zinakwamishwa.
Katika taarifa yake ameeleza kukosa uhuru katika...
Rais wa Uganda Yoweri Museveni atasimamia mazungumzo ya kuleta amani nchini Ethiopia kati ya serikali na maafisa wa eneo la Tigray.
Kulingana shirika la habari la AFP, maafisa wa serikali ya...
SHIRIKA la kutetea haki za binadamu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (ACAJ), linataka maofisa wa usalama nchini humo kumwachilia huru mwanamziki maarufu Tshala Muana ambaye alikamatwa...
Mwanaume mmoja raia wa Misri amejichoma moto, kisha kuokolewa na polisi na wapita njia katika uwanja wa Tahrir, jijini Cairo, mtu huyo alifanya hivyo kupinga "rushwa na hali mbaya ya maisha".
Mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.