International Forum

News and Stories from rest of the World
Kwa mujibu wa Kituo cha Haki za Binadamu cha Viasna, zaidi ya watu 1,000 waliokuwa wakifanya maandamano kupinga ushindi wa Rais Alexander Lukashenko katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika Agosti...
0 Reactions
1 Replies
819 Views
Jerry Rawlings, Ghana former leader don die. Rawlings die on Thursday morning. Jerry Rawlings John AKA J.J.Rawlings dem born am 22 June, 1947. E die at di age of 73 for Korle Bu Teaching...
1 Reactions
74 Replies
8K Views
Wananchi wamefurahi baada ya Manuel Merino kutangaza kujiuzulu ikiwa ni siku chache tangu kuchaguliwa baada ya Bunge kumtoa Madarakani Rais Martin Vizcarra. Merino alitangaza uamuzi huo kwenye...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Boris Johnson ametangaza kujitenga baada ya kukutana na Mbunge wa Ashfield, Lee Anderson ambaye baadae alithibitishwa kuwa na Virusi vya Corona. Johnson amesema alitafutwa na Mamlaka na kutakiwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Rais Macron wa Ufaransa arushiana maneno makali na polisi wa Israel mjini Quds Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa ambaye yuko safarini katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu amerushuiana maneno...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Trump kushiriki maandamano ya kupinga matokeo ya uchaguzi Marekani Nov 14, 2020 07:21 UTC Rais anayeondoka wa Marekani, Donald Trump amesema yumkini leo atajiunga na wafuasi wake katika...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
The biggest rally in History. We want Trump, we want Trump, we want Trump. ===== Wafuasi wa Donald Trump waandamana mjini Washington, Maelfu ya wafuasi wa Rais Donald Trump wameandamana mjini...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa Ripoti ya The Washington Post, zaidi ya Maafisa Usalama 130 wamethibitishwa kupata COVID19 na kutakiwa kujitenga. Miongoni mwa majukumu yao ni pamoja na kumlinda Rais Donald Trump...
0 Reactions
3 Replies
989 Views
Mkuu wa shirika la mpango wa chakula duniani WFP ameonya kuwa huenda idadi kubwa ya watu wakakumbwa na baa la njaa mwaka ujao. David Beasley amesema iwapo hatua za haraka hazitachukuliwa, idadi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Jeshi limekanusha madai ya kupiga risasi na kuua waandamanaji ambao hawakuwa na silaha Jijini Lagos mwezi uliopita Brigedia Jenerali, Ahmed Taiwo ameliambia Jopo linalochunguza madai ya ukatili...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Inakuwaje wanajamvi! Kuna tetesi huenda mwamba Strongman Vladimir Putin Rais wa Urusi akastaafu Urais mapema 2021. Inasadikika Putin 68, ameanza kuonyesha dalili za Parkinson na kuleta wasiwasi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Umoja wa Ulaya umeitaka China leo kubatilisha mara moja sheria zake mpya zilizopelekea kupigwa marufuku kwa wabunge 4 waliochaguliwa, ikisema uamuzi huo ni pigo kubwa kwa utawala wa ndani wa Hong...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Something wasn't right. Starting earlier this year, police kept arresting associates of Mark, a UK-based alleged drug dealer. Mark took the security of his operation seriously, with the gang using...
0 Reactions
0 Replies
593 Views
Taifa hilo litaona mabadiliko ya Serikali baada ya miaka 12 kufuatia ushindi wa Mgombea kutoka Chama cha Upinzani, Johnny Briceno (60) Wapiga kura wa nchi hiyo ambayo inategemea sekta ya Utalii...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kamishna wa Shirika la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa (UN), Michelle Bachelet amesema Ripoti za mauaji ya Raid nchini zinaweza kuwa uhalifu wa kivita, endapo zitathibitishwa Ameagiza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Zambia had asked bondholders for six month payment deferral Zambia has until market close to pay coupon or trigger default While the coronavirus pandemic added to Zambia’s woes, with the economy...
1 Reactions
8 Replies
904 Views
Nikiwa bado kwenye msoto mkali wa lockdown JamiiForums imekuwa sehemu mojawapo ya kuniondoa upweke, asikuambie mtu ni kazi ngumu sana kukaa ndani masaa yote kwa mtu mwenye akili timamu. Leo...
59 Reactions
285 Replies
41K Views
Kampuni hiyo ya Nchini China imeeleza kuwa imeofuta mamia ya video kutokana na ombi walilolipokea kutoka kwa Serikali ya Urusi Takriban maudhui 711 yameondolewa kwenye program hiyo kwa mwaka 2020...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Maafisa wa kampeni wa rais wa Marekani Donald Trump wamefungua kesi mahakamani kupinga matokeo ya uchaguzi mkuu wa rais katika jimbo la Michigan. Wakati huo huo, Jimbo la Georgia limetangaza...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom