International Forum

News and Stories from rest of the World
Rais Alassane Ouattara na mpinzani wake Mkuu, Henri Konan Bedie wamesema wameamua kufanya mazungumzo ya kuleta aman nchini humo kufuatia wiki kadhaa za vurugu baada ya Uchaguzi Mkuu Kwa mujibu wa...
0 Reactions
1 Replies
854 Views
China: Dawa mpya tuliyotengeza ina uwezo wa kuzima janga la corona 'bila kuhitaji chanjo' Maabara moja nchini China ambayo imekuwa ikitengeza dawa ya kutibu maradhi ya Covid-19 yanayosababishwa...
3 Reactions
19 Replies
3K Views
Katika kuonyesha hataki kuondoka madarakani Rais Donald Trump amefanya mabadiliko makubwa Wizara ya Ulinzi - Pentagon kwa kuweka maofisa waandamizi wapya na kuondoa wale wasiokubaliana naye. Mpaka...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Wakuu, Tuujadili ushindi wa Biden kuelekea makubaliano ya Nyuklia ya Iran. Kama tunakumbuka Trump aliiondoa Marekani kwenye makubaliano ya Nyuklia ya Iran na kurudisha vikwanzo vikali dhidi ya...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari Wanajamvi Serikali ya Ureno imewapatia wahamiaji wote waliokuwa wanaishi nchini humo bila vibali, vibali vya kuishi. Pia imeenda mbali na kuwapa wote ambao maombi yao yalikuwa processed...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Wana bodi, Kwanza kabisa nina furaha kubwa kuona jinsi ambavyo watanzania wame endelea kuheshimu maamuzi ya watanzania wenzao katika zoezi zima la uchaguzi. Utulivu huu na amani tuliyo nayo vime...
0 Reactions
1 Replies
968 Views
Mtumishi wa muda mrefu wa wananchi wa Palestina bw Saeb Erakat amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 65. Marehemu Erakat alikuwa mtu wa karibu wa kiongozi mwasisi wa PLO na ameendelea kuwa chini...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Umoja wa Mataifa umetaka mamlaka nchini Msumbiji kuchunguza ripoti kuwa wanamgambo wamewaua takribani watu 50 na kuwachinja wanawake na watoto katika mji wa Carbo del Gado Kaskazini mwa nchi hiyo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwanza nianze kwa pongezi safi kabsa kwa mshindi wa 46 wa kiti cha urais wa Marekani Joe Biden wa Democratic party, si jambo la mchezo mchezo kuingia Ikulu kwa nchi yenye nguvu duniani kama...
10 Reactions
29 Replies
3K Views
Mwanasheria Mkuu wa Marekani, William Barr amewaamuru waendesha mashitaka wa Serikali kuanzisha uchunguzi kuhusu dosari za upigaji kura, kwa sababu Rais Donald Trump amedai kuwa alishindwa...
4 Reactions
20 Replies
3K Views
Belarus ni nchi iliyo mashariki mwa Ulaya, imepakana na Poland, Urusi, Ukraine na Lithuania. Ina jumla ya raia takriban 900,000 na mji wake mkuu ni Minsk. Alexander Lukashenko ni Rais...
0 Reactions
5 Replies
969 Views
Kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa na Chuo cha Johns Hopkins, visa 136,325 na vifo 1,420 vimerekodiwa, ikiwa ni siku ya 8 mfululizo kwa Taifa hilo kurekodi visa zaidi ya 100,000 kwa siku Marekani...
0 Reactions
0 Replies
603 Views
Maafisa wa Sudan wanasema Raia wasiopungua 6,000 kutoka Ethiopia wamewasili nchini humo wakikimbia mapigano yanayoendelea katika Jimbo la Tigray. Mamlaka za Sudan zimejiandaa kupokea wakimbizi...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Viongozi katika utawala wa rais Donald Trump umepuzilia mbali matokeo ya uchaguzi, huku Trump akiwazuia maafisa wa serikali kutoshirikiana na rais mteule Joe Biden. Baadhi ya wanachama wa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wizara ya Afya imethibitisha kuibuka kwa Ugonjwa wa Surua katika majimbo matano. Mkurugenzi Mkuu wa Huduma za Kinga za Afya, John Rumunu amesema kuna visa na vifo lakini hawezi kutaja idadi...
0 Reactions
0 Replies
613 Views
Aliyekuwa Rais wa Bolivia Bw. Evo Morales amerudi nchini mwake Bolivia baada ya kulazimika kukimbia mwishoni mwa mwaka jana. Kiongozi huyo mwenye roho ngumu ya upinzani alitokana na makabila ya...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Rais Donald Trump ametangaza kumfuta kazi Waziri wa Ulinzi, Mark Esper baada ya wawili hao kushindwa kuelewana. Christopher Miller aliyekuwa Mkuu wa Kituo cha Ugaidi atachukua nafasi yake Esper...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Japo Marekani sijafika na kuna uwezekano hata nisifike kabisa, ila tangia Joe Biden 'atangazwe' Mshindi nami najiona kama vile nipo Washington.
0 Reactions
6 Replies
950 Views
Wananchi wa Azerbaijan wametoka mitaani kusherehekea ushindi dhidi ya uvamizi wa Armenia Nagorno-Karabakh na kutiwa saini kwa makubaliano. Raia wa Azerbaijan walianza kufurika barabarani baada ya...
0 Reactions
3 Replies
999 Views
Kuanzia siku ya Jumapili, Uwanja wa ndege wa Bujumbura umefunguliwa kwa ajili ya ndege zinazofanya safari kimataifa baada ya kufungwa kwa miezi saba kutokana na janga la virusi vya corona...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom