SEPAH: Tutafanya juu chini kuwasaidia Wapalestina
Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran SEPAH sanjari na kulaani mauaji ya Wapalestina 17 waliokuwa wakiandamana kwa amani Ijumaa ya...
Kwa viongozi wa ovyo kama hawa wetu wa Afrika, Marekani bado ilitakiwa iwe na Rais kama Trump ili tushikishwe adabu hata kwa kusemwa tu.
Yale mambo ya marais wa Afrika kwenda kupiga selfie...
This is strange. So strange.
The POTUS has gone AWOL while his country is imploding.
The [peaceful] demonstrations and the riots are showing no signs of letting up, 6 days in now.
I am no...
Kwa kweli Huyu Trump tokea aingie madarakani amekuwa tishio kwenye mradi unafadhiliwa na Marekani katika Taasisi ninayofanyia kazi kwa Sasa, na Mara kadhaa ametishia kusitisha mradi huo ingawa...
Watching CNN's announcement of their calling of the US presidential race and conversations proceeding it, I heard something that Van Jones said that resonates with me personally, and that in my...
Ushindi wake unakuja baada ya kushinda kwa kishindo jimbo la Pennsylvania.
Anakuwa Rais wa kwanza kuingia Madarakani akiwa na umri mkubwa (miaka 78). Pia, Marekani imepata Makamu wa Rais wa...
Aliyewahi kuwa Rais wa Marekani, Barack Obama amempongeza Joe Biden kwa kushinda Urais mwaka huu dhidi ya mpinzani wake Donald Trump
Katika taarifa yake amesema kwa mara ya kwanza mwaka huu...
Baada ya pressure toka kwa DT hatimae maafisa wa uchaguzi wa jimbo la Georgia wamekubali kuruduia kuhesabu kura zote zilizopigwa kwenye jimbo hilo.
Source: BBc Swahili
Mgombea Urais wa Marekani amevunja rekodi iliyoshikiliwa na aliyekuwa Rais wa Marekani Barack Obama kwa kupata kura milioni 70.
Rais Barack Obama alipata kura 69,498,516 zilizoweza kumuweka...
Warren alisema "hata kama tuna tofauti zetu, wengi wetu tunataka kitu hicho hicho. Kuwa na uwezo wa kufanya kazi kwa bidii na kuwahudumia watu tunaowapenda. Hicho ndicho ninachopigania na ndio...
Dobald Trump hajakubali kushindwa katika Uchaguzi uliomfanya Joe Biden kuwa mshindi
Trump amelalamikia udhaifu mwingi uliojitokeza katika uchaguzi na udanganyifu kadhaa uliopora ushindi wake...
Nawasalimu wanabodi,
Baada ya matokeo ya uchaguzi wa Marekani kutoka na Trump kuangukia pua, ningependa wajuzi wa mambo ya Diplomasia mnipe muongozo katika swali langu hapa chini:-
Je, baada ya...
Matokeo ya Uchaguzi wa Marekani yamemtangaza Joe Bidden kuwa Rais wa Marekani baada ya kumshinda Donald Trump.
Trump ameonekana kutoridhika na hali hiyo ametweet kuwa alishinda kwa kiasi kikubwa...
Mshindi wa Uchaguzi Mkuu wa Marekani, Joe Biden amewashukuru wamarekani kwa kumpa dhamana ya kuongoza taia hilo.
Katika tweet yake amesema atawatumikia wote bila kujali kama walimpigia kura au...
Kama ndani ya miaka yake minne ( 4 ) tu kafanya 'Mapungufu' makubwa yafuatayo ya 'Kiutendaji' akiwa Ikulu ( WH ) kwanini arudishwe?
1. Kaharibu Sera ya Nje ya Marekani na Mataifa makubwa
2...
Watu waliandamana, nisikiavyo Trump alikua ndani ya nyumba yake akichungulia dirishani. Baada ya kumuonyesha shit holes zao waliondoka. Ni baada ya kusema developing countries are shit hole...
Makamu rais wa zamani wa Marekani Joe Biden, ambaye anajulikana katika siasa za Washington kwa karibu nusu karne, ametajwa kwamba atakuwa rais na anatarajiwa kuapishwa Januari 20, na kuwa rais...
Kuelekea uchaguzi wa kwanza wa urais Marekani, uliofanyika Desemba 1788 hadi Januari 1789, mtindo wa kumchagua na kupata Rais, ulisababisha vichwa vya mababa waasisi wa taifa hilo viume...
Bwana Trump na timu yake ya kampeni wamekosea mahesabu na inaenda kuwagharimu vibaya sana. Matumaini ya kushinda ni chini ya 20%.
Kwenye siasa propaganda na figisu huwa hazikosekani. Kama ambavyo...
Hellow JF
Joe Biden
Joe Biden ndiye mtu pekee anayeweza kumuondoa Donald Trump ambaye anawania miaka minne zaidi katika Ikulu ya White House.
Makamu wa rais wa Barack Obama amechaguliwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.