International Forum

News and Stories from rest of the World
Hellow JF Hali ikoje katika baadhi ya majimbo Marekani? Marekani ikiwa na majimbo 50, wagombea wakiwa wawili na mamilioni ya wapiga kura. Mpaka sasa majimbo 39 yamehesabiwa na Biden ana kura...
2 Reactions
120 Replies
13K Views
Mamlaka nchini Indonesia zimewahamisha mamia ya watu waliokuwa wakiishi karibu na mlima wenye hatari ya kulipuka kwa volcano baada ya dalili za mlipuko kuongezeka mapema wiki hii. Zaidi ya watu...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Rais wa Burkina Faso Roch Marc Chrstian Kabore, amezindua kampeni yake ya kugombea mhula mwingine madarakani, akiahidi kuimarisha usalama na amani nchini humo. Burkina Faso imekuwa ikikumbwa na...
1 Reactions
1 Replies
944 Views
Sudan imeamua kufunga mpaka wake na Ethiopia baada ya mvutano kati ya serikali ya shirikisho na utawala wa mkoa wa Tigray. Kulingana na shirika rasmi la habari la Sudan, Fethurrahman al-Emin...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Matokeo ya uchaguzi Marekani 2020:Uchaguzi ‘umechafuliwa’ na madai ya wizi wa kura Uchaguzi ‘umechafuliwa’ na madai ya wizi wa kura EPACopyright: EPA Ujumbe wa kimataifa umesema uchaguzi wa...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Trump, rais wa 45 wa Marekani anajivunia rikodi ya kuimarisha uchumi na kupunguza kwa kiwango kikubwa ukosefu wa ajira lakini anakosolewa kwa jinsi alivyoshughulikia janga la virusi vya corona...
9 Reactions
203 Replies
18K Views
Rais Donald Trump Jumamosi alitangaza uteuzi wake wa Jaji Amy Coney Barrett wa shirikisho katika Mahakama ya Juu kujaza kiti cha marehemu Jaji Ruth Bader Ginsburg. Hoja ya kumchagua Barrett...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Mabibi na mabwana, elimu haina mwisho. Je, tuna cha kujifunza kutoka kwao waliotutangualia? Au ni yale yale ya ukichwa ngumu kama mawe kuwa tunajua kila kitu? Mema waliyonayo wamarekani leo...
9 Reactions
92 Replies
6K Views
Uchaguzi Mkuu Marekani Mshauri wa Kiroho wa Rais Donald Trump, Bi Paula White akiongoza maombi ya ushindi kwa Trump. Amesema chama pinzani cha Democrats ni kusanyiko la mashetani, na ameona...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Inaonekana kama kunaweza kutokea vurugu katika Uchaguzi wa Marekani kwa kuwa baadhi ya vyombo vya habari vya kimataifa vimekuwa vikiripoti ghasia kutokana na meneo ambayo matokeo yake bado...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Wanaharakati nchini Marekani wamefanya maandamano ya amani katika baadhi ya miji kudai kuhesabiwa kwa kila kura kufuatia kauli ya Trump kuwa kuna uwezekano wa kuwepo kwa wizi wa kura katika zoezi...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Unaweza kushinda kwa kura nyingi dhidi ya mpinzani wako lakini bado usiwe Raisi.Hivi ndivyo sheria ya chuo za wanazuoni wa Marekani inavyofanya kazi. Katika mjadala huu neno Electoral college...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hivi karibuni, filamu moja inayoonyesha maisha ya wahamiaji imefuatiliwa sana katika mtandao wa Netflix. Filamu hiyo inaonyesha safari ya wakimbizi kutoka Sudan ambao wako tayari kukabiliana na...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Rais wa Kosovo, Hashim Thaci amejiuzulu wadhifa huo hii leo ili kuweza kukabiliana na kesi ya uhalifu wa kivita inayomkabili. Yeye na wengine 9 wanatuhumiwa kusababisha vifo vya watu takriban 100...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Serikali ya Ethiopia imetangaza hali ya hatari katika jimbo la Kaskazini la Tigaray baada ya Waziri Mkuu wa taifa hilo, Abiy Ahmed kulaumu Serikali ya majimbo inayoongozwa na upinzani kushambulia...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Takriban visa vipya 103,000 vya maambukizi ya COVID-19 vimeripotiwa nchini #Marekani ndani ya saa 24, huku hekaheka za Uchaguzi zikidaiwa kuchangia ongezeko hilo Hii ni rekodi kubwa tangu...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Mshauri wa kidini wa Rais wa Marekani Donald Trump, Paula White-Cain anasema "malaika wameshukishwa" kutoka Afrika na Marekani Kusini kumsaidia Trump kuibuka na ushindi. Katika ibada ya maombi...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Ni dhahiri mambo yanavyoenda Trump itakuwa ngumu sana kurudi Ikulu. Washington DC watu wamejaa mtaani ,je haya maandamano yakiendelea hadi wakati wa uchaguzi atabaki vipi madarakani. Yeye kazi...
4 Reactions
27 Replies
3K Views
Rais wa Malawi ameagiza bodi ya mitihani ya kitaifa nchini humo kuvunjiliwa mbali baada ya mitihani ya kitaifa ya mwaka huu kuvuja na kusambaa kwa mitandao ya kijamii kabla ya watahiniwa kuifanya...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Mkuu wa ujumbe wa waangalizi wa kimataifa kwenye uchaguzi wa Marekani 'Michael Georg Link' amesema kwamba madai ya Rais Donald Trump hayana msingi, yanayosema kwamba kumefanyika udanganyifu katika...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom