Marekebisho ya katiba yamepitishwa kwa asilimia 66.8 ya kura zilizopigwa na robo ya wananchi waliojiandikisha kushiriki kwenye zoezi la upigaji kura nchini Algeria.
Akizungumza na waandishi wa...
Katika uchaguzi wa rais uliofanyika Cote d'Ivoire siku ya Jumamosi, tume ya uchaguzi ya nchi hiyo ya Afrika Magharibi imemtangaza Rais Alassane Ouattara kuwa mshindi kwa asilimia 94.27 ya kura...
Taarifa kutoka Msumbiji zinasema kuwa wanamgambo wa Kiislamu wamevamia vijiji kaskazini mwa eneo la Muidumbe mkoa wa Cabo Delgado Jumamosi na Jumapili. Vyombo vya habari vya eneo vimesema kuwa...
Mtoto wa kike aokolewa akiwa hai nchini uturuki.
Waokoaji walimuokoa Ayda Gezgin akiwa hai kutoka katika kifusi cha majengo yaliyoporomoka kwa tetemeko kubwa la ardhi.
Mtoto huyo aliokolewa siku...
Habari!
Awali ya yote, natumai mu wazima wa afya.
Nimemsikia Joe Biden akisema kuwa ana wasiwasi kwamba rais Donald Trump "atajaribu kufanya wizi" katika uchaguzi ujao wa rais wa mwezi Novemba...
Watu kadhaa wameuawa akiwemo afisa wa Polisi, Viena, #Austria na washambuliaji tofauti katika sinagogi
Wizara imesema mmoja wa watuhumiwa wa shambulio hilo amekamatwa, mwingine amefariki kwa...
Mgombea urais kwa kupitia chama cha Democratic nchini Marekani, Joe Biden, anaongoza kwa point 10 dhidi ya rais wa sasa wa nchi hiyo, Donald Trump.
Hojaji iliyofanywa na Shirika la Habari la NBC...
Mke wa Rais wa Zimbabwe, Auxilia Mnangagwa amekana tuhuma za kuhusika na biashara ya kutorosha dhahabu na amewataka polisi wapeleke ushahidi usio na shaka juu ya tuhuma hizo
Auxilia alihusishwa...
Kimbunga kilichofahamika kwa jina la Goni kilichosababishwa na mvua kali kimesababisha vifo vya watu 10 huku wengine watatu wakiwa hawajulikani walipo
Kimbunga hicho kimeathiri familia 372,653...
Popote pale China ilipo inaweka mazingira mazuri kwa ajili ya watu wake. Hivyo hujitahidi sana kukamata Serikali iliyopo Madarakani kwa kui support kwa hali na mali ili Serikali hiyo iendelee...
Mwanasheria Mkuu nchini Nigeria amesema kwamba watu waliowapiga risasi na kuua waandamanaji nchini humo hawajulikani na kwamba huenda watu waliofunika nyuso zao na kuvalia sare za kijeshi ndio...
Opposition protesters see Ouattara's bid for a third term as unconstitutional
Ivory Coast voted in a presidential election on Saturday with opposition leaders rejecting the ballot after a boycott...
Ni nani humu JF anafahamu kwanini Islam State wameivamia Msumbji atujuze. Je, Ni Islam State kweli wanaopigana au ni wananchi wa Msumbiji wenye madai yao kwa serikali yao lakini wakabandikwa jina...
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani, WHO, Tedros Adhanom Ghebreyesus, amesema kuwa amejiweka karantini baada ya mtu mmoja aliyepatikana na virusi vya corona kumtaja kama mmoja wa watu wa...
Rais wa Ivory Coast Alassane Ouattara anaongoza katika hesabu ya kura katika Uchaguzi uliofanyika Jumamosi.
Ouattara mwenye umri wa miaka 78, anagombea muhula wa tatu madarakani licha ya...
Donald Trump awaonya Ethiopia bwawa la nchi hiyo litalipuliwa na Misri, akizungumza na Waziri Mkuu wa Sudan , Trump amekaririwa akisema Misri italipuwa bwawa hilo kutokana na Ethiopia kukataa...
Prime Minister Boris Johnson has announced a second national lockdown for England to prevent a "medical and moral disaster" for the NHS.
He said Christmas may be "very different" but he hoped...
Kwa mujibu wa Mamlaka, raia wapatao 21 wanakadiriwa kuuawa katika shambulio kwenye Kijiji kilichopo Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) ambapo kundi la ADF linashukiwa kuhusika...
Waislamu hasa kwenye nchi zenye fedha wameamua kususia bidhaa za Ufaransa ikiwa ni kuonesha hasira zao kutokana na mwendelezo wa kejeli za raisi wa nchi hiyo Emmanuel Macron kwa dini ya uislamu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.