International Forum

News and Stories from rest of the World
Melinda Gates said she feared coronavirus in Africa would lead to dead being put out in street, as in Ecuador 08:05 | 20th April 2020 (GMT) Disclosure: The Bill and Melinda Gates Foundation is one...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Wanaofanyia Kampeni Mgombea Urais wa Marekani, Donald Trump walifungua kesi kupinga matokea kwa jimbo la Georgia. Wafuasi hao wa Republican walidai kuwa maboksi 53 ya kura yaliingizwa kwa...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Matukio yanayoendelea Marekani hivi sasa ni wazi kuna tatizo kubwa zaidi ya tunayoyashuhudia kwenye uchaguzi huo. Rais wa sasa Donald Trump alishatoa msimamo wa kuyagomea matokeo ya uchaguzi...
2 Reactions
32 Replies
3K Views
Kumekuwa kuna maswali mengi, kwa nini Trump amepitwa kwa kura lakini kashinda Uraisi? Nataka nitolee maelezo ili tupate kujua kama ifuatavyo, japo maelezo yatakuwa mengi kidogo. Rais wa Marekani...
12 Reactions
123 Replies
16K Views
Wakuu, heshima yenu, kadiri ambavyo tunazidi kusubiria matokeo ya uchaguzi wa aneyejiita baba wa Demokrasia Marekani, kwa manufaa yangu na wanajamvi wengine tafadhali tufahamishane kwa kirefu...
3 Reactions
2 Replies
1K Views
Marekani imejiondoa rasmi kutoka kwa mkataba wa Paris wa kupambana na athari za mabadiliko ya hali ya hewa. Hatua hiyo inatimiza ahadi ya Rais Donald Trump ya kuiondoa Marekani ambayo ndio...
2 Reactions
9 Replies
5K Views
Rapper aliyechanganyikiwa kakubali kushindwa kwenye uchaguzi Marekani ambapo alikuwa anashindana kuchaguliwa kuwa Rais kupitia chama chake cha "birthday party" . Jumla za kura alizopata 0.2%...
8 Reactions
19 Replies
2K Views
Uchaguzi wa Marekani 2012 kati ya Obama na Mtt Romney Trump aliwahimiza wamarekani kwa wingi wajitokeze kumpigia kura mgombea wa Republicans Mitt Romney na kutweet kwenye tweeter kura zikishapigwa...
6 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari! Hali si hali kwa rais Donald Trump, wapenzi na wafuasi wa Chama cha Republican kwa ujumla wakati ambapo tukielekea katika Uchaguzi wa Rais panapo mwezi Novemba mwaka huu. Hii ni...
7 Reactions
30 Replies
3K Views
Wizara ya Fedha ya Namibia imepanga kufuta asilimia 95 ya riba zilizopo, na kubatilisha adhabu zote kwa walipa kodi ambao watalipa gharama zote ndani ya miezi 3 kuanzia Februari 2021 Msamaha huo...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Birmingham Albama, Msimamizi Mkuu kawazuia wakala wa upinzani kuingia Kwenye vituo vya kupiga kura..,Wakala wa Republican amegundua uwepo wa wapiga kura feki kutokea Kawe ambao wameshawasili mara...
12 Reactions
81 Replies
6K Views
Donald Trump ameamua kujitangaza mshindi wa uchaguzi wa Marekani wakati kura bado zinahesabiwa na ametangaza anenda mahakamani kupinga matokeo. Kwa taifa ambalo wapinzani kama ACT Wazalendo na...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Watu wapatao 40 waliokuwa wanakimbia mauaji yanayofanywa na makundi ya itikadi kaskazini ya Msumbuji wamekufa baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kuzama baharini katika kisiwa cha Ibo jioni ya...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
More than 800,000 people with phone numbers tied to six presidential swing states have been targeted with automated phone calls on Tuesday suggesting they remain at home on Election Day, a tactic...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Tazama jengo la shule lililojengwa zaidi ya miaka 85 iliyopita likihamishwa zima zima kama lilivyo katika mji wa Shanghai, China, kwa kutumia teknolojia iliyopewa jina "Mashine Inayotembea"...
7 Reactions
28 Replies
3K Views
Napata shida kufanya tathmini kwamba Hillary Clinton alishinda majority votes kwa tofauti ya kura zaidi ya laki moja, lakini swala la electoral votes yenye idadi ya 270 votes bado sijaelewa vizuri...
18 Reactions
108 Replies
16K Views
Katika hali ya kushangaza dunia, Dinald Trump rais anaetetea kiti chake kajitangaza mshindi kabla ya matokeo ya mwisho. Mpaka sasa Trump ana kura za wajumbe 213 huku Joe Biden akiwa na 238...
4 Reactions
35 Replies
4K Views
Habari wanaJF, Nachukua fursa hii kutoa onyo kwa nchi ya Marekani kuendesha uchaguzi wao kwa Uhuru, Uwazi na Haki. Navionya vyombo vyake kutochukua Sheria mikononi kukandamiza wapiga kura hasa...
15 Reactions
28 Replies
2K Views
Wakati kura zikiendelea kuhesabiwa kufuatia Uchaguzi Mkuu nchini Marekani, mtandao wa Twitter umetoa tahadhari kuhusu chapisho la Rais wa Marekani, Donald Trump alilochapisha katika mtandao wake...
6 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom