International Forum

News and Stories from rest of the World
Muswada tata wa Kikatiba ulishindwa kupitishwa Bungeni jana Oktoba 29, 2020 kufuatia upinzani mkali kutoka kwa Asasi za Kiraia na Vyama vingine vya siasa Wabunge waliopiga kura kuunga mkono...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Maafisa hao wa juu ambao hufanya kazi kwa karibu na Rais Recep Tayyip Erdogan na kukutana naye mara kwa mara wamesema wamekutwa na maambukizi ya Virusi vya Corona Msemaji wa Rais, Ibrahim Kalin...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Janga uchaguzi wa Rais Cote d'Ivoire jana Oktoba 31: Vituo havijafunguliwa wafuasi wa chama tawala RDR cha Rais Alassane Ouattara walishapiga kura. Kilio kilichosikika "ont déjà voté" (wameshapiga...
0 Reactions
0 Replies
785 Views
Raia wa Algeria watapiga kura ya maoni leo kuhusiana na mapendekezo ya mabadiliko ya kikatiba ambayo upinzani unasema yatasaidia kuupa nguvu udikteta. Kura hiyo inakuja karibu miezi kumi na tisa...
1 Reactions
2 Replies
873 Views
Raia wa Marekani aliyekuwa ametekwa nyara nchini Niger ameokolewa katika operesheni ya kijeshi iliyotekelezwa na Kkosi Maalum cha Jeshi la Marekani (US Special Force) karibu na mpaka wa Nigeria...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Chanzo cha maandamano nchini Nigeria ni kuisukuma serikali ifute kitengo cha usalama cha SARS. Serikali ya Nigeria iliwasikiliza waandamanaji na ikatangaza kufuta hiyo agency. Ila naona...
16 Reactions
194 Replies
16K Views
14 September 2020 Muscat , Oman Sultan wa Zanzibar Jamshid Bin Abdullah hatimaye akanyaga ardhi ya Oman Sultan wa mwisho wa Zanzibar Jamshid Bin Abdullah mwenye umri wa miaka 91 ameruhusiwa...
2 Reactions
6 Replies
6K Views
Kwa mujibu wa BBC hii imetokea Ufilipino. Askari polisi huyo ambaye sasa ni marehemu alikwenda kuzuia pambano haramu la kugombanisha majogoo, mmoja wa majogoo hao alikasirishwa na kitendo hicho na...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Shirika kubwa la Mawasiliano la Zimbabwe -Econet- limesema limeamrishwa na Serikali ya Zimbabwe kufunga Internet, "Until further Notice" Mawasiliano ya Facebook, WhatsApp na Twitter yalikatishwa...
4 Reactions
65 Replies
7K Views
Wakati mamia ya wananchi wakiandamana kushinikiza ajiuzulu, Rais wa Belarus, Alexander Lukashenko amesema Mtu yoyote anayemshika mtoa huduma angalau aondoke bila mikono. Wanafunzi, wafanyakazi wa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Baada ya takwimu za hivi karibuni kuonyesha Ubelgiji ina kiwango cha juu zaidi cha maambukizi Ulaya, imetangaza kurejesha lockdown ambapo maduka yasiyo na huduma muhimu yatafungwa kuanzia kuanzia...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Tetemeko la Ardhi lililotokea mchana wa Ijumaa ya tarehe 30 Octoba 2020 katika ukanda wa Bahari ya Aegean limeharibu miundombinu katika miji ya pwani. Watu katika Mji uliopo Magharibi mwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mwakilishi Mkuu wa Muungano wa Umoja wa Mataifa (UN), Miguel Angel Moratinos, amehimiza kuheshimiana kwa dini zote na imani na kukuza utamaduni wa udugu na amani. Moratinos, katika taarifa yake...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Kampuni hiyo kubwa ya mafuta nchini Marekani imesema itapunguza wafanyakazi kwa 15% kutokana na mlipuko wa Virusi vya Corona kuathiri uhitaji wa nishati hiyo Mapema mwezi huu, Exxon ilisema...
1 Reactions
1 Replies
978 Views
Watu wapatao 140 wamepoteza maisha baada ya meli iliyokuwa na wahamiaji wapatao 200 kuzama katika pwani ya nchi hiyo Katika taarifa yake, Ofisi ya Uhamiaji ya Kimataifa (IOM) imesema ajali hiyo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Leo majira ya asubuhi watu watatu wameuwawa nje ya kanisa huko ufaransa..kati yao mwanamke mmoja ameuwawa kwa kukatwa kichwa. Muuaji amekamatwa akiwa hai..Mayor na polisi wanasema alisikika akilia...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Malawi’s Re-Run Election is Lesson for African Opposition The overturning of the result in the fresh presidential contest sets a bold precedent for the continent, as a process built upon the...
0 Reactions
1 Replies
572 Views
Mchungaji Wavel Ramkalawan ameshinda kura katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika visiwa vya Shelisheli. Hii ni mara ya sita kwa Ramkalawan kugombea urais katika Visiwa hivyo vilivyo katika Bahari ya...
5 Reactions
22 Replies
5K Views
Huko China na kwengine duniani limezuka gonjwa lisilotibika kutokana na "mdudu" aka "kiti moto" aka "mbuzi katoliki" aka nguruwe. Nguruwe katika vitabu (vya imani zote kuu mbili za hapa kwetu)...
13 Reactions
188 Replies
40K Views
Back
Top Bottom