International Forum

News and Stories from rest of the World
Waandamani wanataka amabadiliko kamili, Nigeria imehairisha mtihani wa taifa kwa wanafunzi wa mwaka wa mwisho huku ghasia zikiendelea kati ya waaandamani wanaopinga unyama unaotekelezwa na polisi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Serikali ya Msumbiji imetangaza kuwa vikosi vya ulinzi nchini humo (FDS) vimedhibiti mji wa Macomia, katika jimbo la Cabo Delgado Kaskazini mwa Msumbiji na kuwaua viongozi wawili wa kundi la...
7 Reactions
156 Replies
27K Views
Kuna ufafanuzi nilitaka niutoe ila nimeghairi kwanza, labda aje mtu aseme anabisha
0 Reactions
34 Replies
5K Views
Mgogoro huu inasemekana ni wa muda wa karibu miongo minne. Lakini ulikuja kuwa mkubwa sana baada ya nchi hizi mbili kupata uhuru wao kamili miaka ya 1990 na kuendelea. Inasemakana Russia...
8 Reactions
237 Replies
23K Views
Wananchi 8 na polisi wawili wameuawa katika mji wa Conakry, #Guinea baada ya kutokea rabsha baada ya matokeo ya uchaguzi yaliyotangazwa kuwa Alpha Conde ameshinda Urais Watu wengi wamejeruhiwa...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Shirika la Amnesty International limedai watu wasiopungua 12 wameuawa wakati Vikosi vya Serikali vilipowafyatulia risasi waandamanaji eneo la Lekki Mjini Lagos. Shirika hilo linalotetea Haki za...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Waandamanaji mjini Lagos waliweka vizuwizi na kufunga barabara katika mji huo mkubwa wa kibiashara Watu kadhaa walioandamana dhidi ya polisi wakatili wameripotiwa kupigwa risasi na kufa na huku...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Waziri wa Afya wa Ujerumani, Jens Spahn amethibitishwa kukutwa na #CoronaVirus na ana dalili kama za mafua Wizara ya Afya imesema waziri huyo amejitenga lakini watumishi wengine wa wizara hiyo...
1 Reactions
1 Replies
995 Views
CIC Malema mwanasiasa mwenye misimamo mikali ameleta hali ya wasiwasi huku SA, hii ni baada ya kuwaambia wanachama na mashabiki wake kujiandaa kuuvamia mji unaokaliwa na Wakulima weupe uitwao...
10 Reactions
56 Replies
6K Views
Wapiganaji wenye silaha wamewaachilia huru wafungwa wasiopungua 900 kutoka jela mjini Beni, mashariki mwa Congo, katika shambulio la kupanga mapema Jumanne, ambalo meya wa mji huo amelilaumu kwa...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Argentina inakuwa nchi ya tano duniani kurekodi visa zaidi ya Milioni 1 baada ya maambukizi mapya 12,982 kurekodiwa ndani ya saa 24 zilizopita na kupelekea idadi kufikia 1.002,662 Kwa mujibu wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwakile kinachoonekana ni maagizo ya China kwa USA toka wizara ya mambo ya nje ya China Wizara hiyo imesema kuwa. "Tunataka marekani iache kuwasumbua wanafunzi wanaosoma marekani wakitoka China...
0 Reactions
1 Replies
985 Views
Samora Machel,the first presidenr of Mozambique after the country's independence,died on 19 october 1986,when a Soviet-crewed Tupolev 134A carrying his entourage bavk from a regional summit in...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Wanajeshi wawafyatulia waandamanji risasi Jumanne usikuImage caption: Wanajeshi wawafyatulia waandamanji risasi Jumanne usiku Tume ya kudhibiti Vyombo vya Habari Nigeria imeonya vyombo vya habari...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mamlaka za Lagos zimeagiza Shule kufungwa kufuatia maandamano yanayoendelea kupinga ukatili unaofanywa na Polisi Kamishna wa Elimu katika Mji huo, Folasade Adefisayo amesema hakuna uhakika wa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Noma sana! Mr. Virtual signaling extraordinaire, Jeffrey Toobin, ambaye ni mwanasheria, mchambuzi wa masuala ya sheria CNN, na mwandishi wa gazeti la The New Yorker, wiki iliyopita akiwa kwenye...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ukiacha mbali habari zilizopikwa na Cnn, Msnbc, abc,nbc, cbs, New york times,n.k Ama hizi Polls feki za kura zinazochakachuliwa. Kiukweli Trump ana wafuasi aisee, Majuzi tu hapo kulikuwa Msafara...
3 Reactions
30 Replies
3K Views
Marekani inatekeleza hukumu ya kifo kwa mfungwa wa kike kwa mara ya kwanza katika kipindi cha karibu miaka 70, kulingana na Wizara ya Sheria. Lisa Montgomery alimyonga mwanamke mjamzito huko...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Kutoka New Zealand chama cha Labour party kimepata ushindi wa kishindo ambao haujawahi kushuhudiwa toka 1995
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom