International Forum

News and Stories from rest of the World
October 12, 2020, 6:30 PM EDTUpdated on October 13, 2020, 6:00 AM EDT [emoji3591]Fuel shipments intercepted on way from Iran to Venezuela [emoji3591]U.S. alleges that fuel is connected to...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Picha ya kombora jipya kuuubwa la kinyuklia (ICBM) la North Korea (Picha kwa msaada wa AP) Baada ya kimya kirefu, yule mtemi wa mtemi wa dunia Kim Jong-Un amekuja na kitu kipya. Naam ni kombora...
9 Reactions
125 Replies
13K Views
Naomba kufahamishwa hilo na pia faida zake ni zipi Je Nchi yetu inaweza kutumia Electro collage votes?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kama unahisi watanzania Ni watu wa ajabu Basi wa south Africa ni waajabu zaidi Jamaa waamua kuandamana na kuchoma magari kisa walikuwa wanapewa umeme wa bure lakini Sasa wameambiwa walipie Jamaa...
0 Reactions
1 Replies
963 Views
Serikali ya Uholanzi imeidhinisha mipango ya kuruhusu kifo cha mapema au mauaji ya huruma kwa watoto wenye ugonjwa usiopona kati ya mwaka 1 na miaka 12. Jumanne, Waziri wa Afya Hugo de Jonge...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Maandamano yameendelea kushuhudiwa nchini Nigeria, kulaani dhuhuma zinazodaiwa kufanywa na jeshi la Polisi nchini humo, licha ya serikali kuahidi, kulifanyia mageuzi na kuvunjwa kwa kikosi maalum...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Russia: Ndege ya zamani ya Umoja wa Kisovieti "Caspian Monster" yaonyeshwa kwa umma Ndege ya zamani ya Umoja wa Kisovieti Lun Class Ekranoplan imetua kwenye pwani ya Bahari ya Caspian. Itaonyeshwa...
13 Reactions
56 Replies
6K Views
Serikali ya #Rwanda imehalalisha kilimo cha Bangi ili kuuza nje ya nchi, matumizi ya kujifurahisha au kujitibu bado yanahesabiwa kuwa haramu kisheria Rwanda inatarajia kukuza mapato ya...
2 Reactions
18 Replies
4K Views
Wanasayansi wanaonya kuwa ziwa la lava linajaa kwa kiwango cha kutishajuu katika Mlima wa volcano wa Nyiragongo uliopo juu ya mji wa Goma Mashariki mwa Jamuhuri ya kidemokrasi ya Kongo. Mwezi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mtu mmoja mwenye asili ya Kiafrika ameishitaki Mamlaka ya jiji la Texas baada ya polisi waliomkamata kumfunga kamba na kumvuta nyuma ya farasi, akitaka kulipwa fidia ya dola milioni moja (sawa na...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Baada ya siku kadhaa za maandamano ya kutaka kuvunjwa kwa kilichokuwa Kikosi Maalumu cha Kuzuia Wizi (Special Anti-Robbery Squad maarufu kama SARS) nchini Nigeria, IGP wa Polisi jana Jumapili...
7 Reactions
30 Replies
4K Views
Free Wedding Icon From Iconfair When hiring or buying a temporary building you might want to have it linked to an existing building. Often having some kind of weather proof link like this is...
0 Reactions
0 Replies
347 Views
The Nigeria Police Force has dissolved an anti-robbery unit following days of protests against alleged human-rights abuses by some of its officers. “All officers serving in the unit will be...
3 Reactions
2 Replies
901 Views
Wakuu habari, Ni nchi gani ya Europe ambayo mtanzania akitaka kwenda kwa matembezi mafupi visa yake haina gharama kubwa sana. Nyingi naona zinahitaji insurance ambayo ni euro 30000 ambayo ni...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Salama wana JF? Naomba kujua historia ya hii sanamu iliyopo huko New York City nchini America, na iliwekwa mwaka gani? Asanteni. Inaitwa "Statue of Liberty" ipo Manhattan, New York. Ni...
12 Reactions
29 Replies
9K Views
KANYE WEST AUNGANA NA WANAIJERIA KUPINGA UKATILI WA POLISI Mwanamuziki yota wa muziki wa hiphop wa Marekani, Kanye West ameungana na Raia wa Nigeria wanaoandamana kupinga ukatili wa polisi nchini...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Rais Donald Trump wa Marekani amerejea tena kwenye kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa kufanya mkutano wa kwanza jimboni Florida siku kadhaa tangu alipogundulika na maambukizi ya Virusi vya Corona. Rais...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ushirikiano chini ya utaratibu wa pande nyingi waisaidia Afrika kutimiza ufufukaji wa uchumi na maendeleo ya Afrika Benki ya Dunia na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) wametoa tena mwito wa...
0 Reactions
0 Replies
634 Views
Wananchi wa kawaida wa USA na viongozi wa kisiasa wamshukia kama mwewe Waziri wa kigeni mambo ya kigeni wa USA bwana mike pompeo. Pompeo ambaye anaonekana hajui chochote kuhusu Africa, wamarekani...
4 Reactions
51 Replies
4K Views
Rais Lazarus Chakwera Alhamisi alirudi nchini kwakwe baada ya kukatisha ziara yake nchini Tanzania kutokana na kupata dharura. Muda mfupi baada ya kufika katika uwanja wa ndege wa (KIA) Rais huyo...
7 Reactions
19 Replies
2K Views
Back
Top Bottom